Hayati Dkt. Magufuli aliletwa duniani mahsusi na Mungu ili kuleta masomo fulani tujifunze

Mjomba yako alikuwa mtumishi hewa wewe mwenyewe ulikuwa na vyeti feki lazma uponde tu

Kumbuka duniani kote hapakuwawi kutokea kiongozi ambaye alipendwa na jamii yake yote bila kupingwa

Tofauti ipo kwenye alama zinazoachwa na uongozi wao hapa duniani matendo makuu kwa watu wa chini

Kuwa heshimisha masikini na wanyonge wasio na haki na haswa wale tuliopo vijijini

Ndugu zangu utampima vp kiongozi bora kama si kwa alama alizoacha alama ambazo zilishindikana kwa miaka mingi huku tukipewa polojo ni vi story vya kitoto

Niamini mimi alipotoka mwl JK aliye fuata ni Dkt John na baada ya hapo tunayo safari ndeeeefu labda Mungu pekee aamue hii kesi
Walitoa wapi vyeti fake km utawala wa nchi siyo fake? yeye alikuwa mmoja wa watawala miaka hiyo! mbona yeye aliiba kura? eti mkemia kweli? tumia mwizi kumshika mwizi!

aliogopa kwenda nje ya nchi kuemea sababu yai lilikuwa halipandi? ataanzia wapi kwanza, Alijua wazi ukiamusha amusha Huku Africa wakoloni wanakuua kwani yeye hakujua amsha amsha zake ni hatari?? wakt alikuwa waziri?

kama hakujua hatari simple kama hizi alikuwa ni Rais mpumbavu ''ever seen in dis world'', so ina maana hakuwa na uwezo wa kujifunza kwa yaliyowapata Saddam, na Gaddafi? so alikuwa kilaza!

kifo kimemsaidia sana huko mbele ingekuwa ni aibu tupu! tena alikuwa anashukuru amekufa! aliomba afe, n kwa kile kiaibu kilichokuwa kinakuja mbele yake! Rais muoga yule alitumia nguvu kubwa sana kukabiliana na upinzani, km...

kuua hovyo kina anzori gwanda na wenzake, kufunga watu hovyo! vitisho! hasa kwa watu wa Darisalama hakuwapenda sana, eti wanajidai, wako matawi! alitamani Dar kiwe kijiji choka mbaya! lkn wapi.. jiji linajijenga km gamaba la nyoka!

Nchi tajiri, utajiri upi?, eti Almas, dhahabu? kweli? hata wewe hapo hujui matumizi ya hizo almas, zaidi ya pete!! baasi!! si ni mkemia kwa nini hakuzitumia hizo dhahabu kuundia mashine za kilimo? taangu akiwa waziri, hakuwahi unda tinga tinga!

Hakujua ule udongo wa mfinyanzi maeneo ya Ihungo pale ni mzuri kutengenezea bara bara! hakujua kubuni! Akafilie kwa mbali huko na dongo zito! apigiliwe.

Tangu alipo pona kutunguliwa na rubani wake alikuwa muoga sana, mara alie eti ''nimelishwa sumu!'' sasa mbona hakufa? hiyo sumu hakuwahishwa Hosp wala kunywa maziwa yaani anacheza na sumu yule! ile ni pale pale!! ntolee!
 
Hakika alikuwa mwamba Tanzania , Africa na duniani,bila kutajwa siku zenu hazikamiliki, endeleeni kumtaja,maisha yenu yajaribu kujisogeza
Africa ipi ya chato? any way yaache yamtaje tu! hayo ni mana chato na lile likiwanja la ndege nilipita one day limechokaaaa
 
Mungu Kuna watu anawatumia hapaduniani Kama shule kwa umma wake ili uongoke au ujifunze Jambo fulani magufuli ni mmoja wao.

Somo la kwanza
Ndugu pataneni mnapogombana maana mkishindwa mnampa nafasi adui kuneemeka na ugomvi wenu.Mtifuano wa kina lowasa ndani ya ccm ndio uliompa JPM kula kwamba wote tukose.

Somo la pili
Usimtegemee binadamu mwenzako Bali mungu tu. Kuna watu walimtegemea JPM kuliko mungu wakasahau JPM ni mwanadamu tu Sasa katwaliwa kawaacha wanahanyahanya. Rejea polepole makonda bashiru msiba na sabaya nk.

Somo la tatu
Hakuna aijuae kesho yake Bali Mungu tu. Ccm walifikia mahali wakataka JPM atawale milele aongezewe muda atakeasitake. Mungu kumbe ndie aliejua ukomo wa siku zake. Rejea Sanga na mbunge wa kongwa aliekuwa mtangazaji wa radio.

Somo la nne
Watu wasikulalamikie Sana kwa matendo yako vilio vyao vinasikika kwa muumba wao. Utawala wa JPM uliliza wengi kila Kona ya nchi na kila kundi liliguswa vilio vinasikika mbinguni.

Somo la tano
Usijiamini kupita kiasi. JPM alikuwa na over confidence kitu ambacho kilimfanya ajisahau hivyo akajikuta anaharibu mambo mengi pengine kwa kutokujua.

Somo la sita
Umuhimu wa katiba mpya. Sidhani Kama CCM wenyewe wangependa atokee mtu Aina ya magufuli Tena katika chama Chao. Hilo ni funzo na utawala wa magufuli umewafanya watu waone umuhimu wa katiba mpya na demokrasia.

Somo la Saba
Tii Sheria na uifwate hata Kama itakubidi kuwajibika kwa kukataa maagizo mabovu ya wakubwa wako. Sabaya alipokuwa DC alifanya maufiri mengi na mpaka akaiambia mahakama kwamba alikuwa anatii maagizo toka juu Sasa Leo amebaki peke yake na maufiri yake aliyemtegemea kumlinda hayupo.

Ongezea masomo mengine uliyojifunza kwa hayati Magufuli.
Kwa akili za kipumbavu kama zako watz tunasafari ndefu , hayo yote uliyo yakosoa ndiyo TUNDA LA UZARENDO WA KWELI, VITA VILIVYOPO TANZANIA NI BAINA YA UZARENDO NA UFISADI mfano kikwete ni kielelezo cha ufisadi sasa
Pale uzarendo unapo chukua nchi chini ya ufisadi ni lazima patokee mlipuko wa moto hicho ndiyo kilicho tokea lakini magufuli ni mzarendo wa kweli mpende msipende na kuja kwake kutakuwa kielelezo kichungu kwa mafisadi wakati wote ,maana uzarendo wa magufuli ulikuwa ni pure quality kwa sababu ulikuwa siyo wamaneno kuliko vitendo ndiyo maana ya hapa kazi tu ,kikwete alikuwa raisi kwa miaka 10 watu dar na tz kwa ujumla tulikuwa tunakufa kwa kipindupindu magu kachukua nchi tu katoka kwenda kusafisha uchafu.wewe ujiulizi ni raisi gani mwenye moyo wa hivyo ,magu alikuwa anafanya kazi muda wote kana kwamba yupo kwa kampeni ya uchaguzi kumbe la
 
Walitoa wapi vyeti fake km utawala wa nchi siyo fake? yeye alikuwa mmoja wa watawala miaka hiyo! mbona yeye aliiba kura? eti mkemia kweli? tumia mwizi kumshika mwizi!

aliogopa kwenda nje ya nchi kuemea sababu yai lilikuwa halipandi? ataanzia wapi kwanza, Alijua wazi ukiamusha amusha Huku Africa wakoloni wanakuua kwani yeye hakujua amsha amsha zake ni hatari?? wakt alikuwa waziri?

kama hakujua hatari simple kama hizi alikuwa ni Rais mpumbavu ''ever seen in dis world'', so ina maana hakuwa na uwezo wa kujifunza kwa yaliyowapata Saddam, na Gaddafi? so alikuwa kilaza!

kifo kimemsaidia sana huko mbele ingekuwa ni aibu tupu! tena alikuwa anashukuru amekufa! aliomba afe, n kwa kile kiaibu kilichokuwa kinakuja mbele yake! Rais muoga yule alitumia nguvu kubwa sana kukabiliana na upinzani, km...

kuua hovyo kina anzori gwanda na wenzake, kufunga watu hovyo! vitisho! hasa kwa watu wa Darisalama hakuwapenda sana, eti wanajidai, wako matawi! alitamani Dar kiwe kijiji choka mbaya! lkn wapi.. jiji linajijenga km gamaba la nyoka!

Nchi tajiri, utajiri upi?, eti Almas, dhahabu? kweli? hata wewe hapo hujui matumizi ya hizo almas, zaidi ya pete!! baasi!! si ni mkemia kwa nini hakuzitumia hizo dhahabu kuundia mashine za kilimo? taangu akiwa waziri, hakuwahi unda tinga tinga!

Hakujua ule udongo wa mfinyanzi maeneo ya Ihungo pale ni mzuri kutengenezea bara bara! hakujua kubuni! Akafilie kwa mbali huko na dongo zito! apigiliwe.

Tangu alipo pona kutunguliwa na rubani wake alikuwa muoga sana, mara alie eti ''nimelishwa sumu!'' sasa mbona hakufa? hiyo sumu hakuwahishwa Hosp wala kunywa maziwa yaani anacheza na sumu yule! ile ni pale pale!! ntolee!
Dah umeandika kwa hisia sana. Duku duku lako lote umelitema.
Mwamba aliogopeka hatari. Yule angetawala miaka mingine hii mitano uovu wake ungeishi miaka 1000.
 
Somo la nane

UNAFIKI ni dhambi isiyompendeza Mwenyezi Mungu huwezi sema tumtangulize Mungu mbele alafu ukafanya dhuluma kwenye machaguo ya watu.

Yani ukimbie na masanduku ya kura alafu udownload matokeo yako then uje kusema tumtangulize Mungu mbele? katika dhuluma si ndio
Wewe ni chizi,,,,,kama magufuli hata sasa amekufa ila akishindanishwa na yoyote kwenye sanduku la kura atachukua 80%
 
Mungu Kuna watu anawatumia hapaduniani Kama shule kwa umma wake ili uongoke au ujifunze Jambo fulani magufuli ni mmoja wao.

Somo la kwanza
Ndugu pataneni mnapogombana maana mkishindwa mnampa nafasi adui kuneemeka na ugomvi wenu.Mtifuano wa kina lowasa ndani ya ccm ndio uliompa JPM kula kwamba wote tukose.

Somo la pili
Usimtegemee binadamu mwenzako Bali mungu tu. Kuna watu walimtegemea JPM kuliko mungu wakasahau JPM ni mwanadamu tu Sasa katwaliwa kawaacha wanahanyahanya. Rejea polepole makonda bashiru msiba na sabaya nk.

Somo la tatu
Hakuna aijuae kesho yake Bali Mungu tu. Ccm walifikia mahali wakataka JPM atawale milele aongezewe muda atakeasitake. Mungu kumbe ndie aliejua ukomo wa siku zake. Rejea Sanga na mbunge wa kongwa aliekuwa mtangazaji wa radio.

Somo la nne
Watu wasikulalamikie Sana kwa matendo yako vilio vyao vinasikika kwa muumba wao. Utawala wa JPM uliliza wengi kila Kona ya nchi na kila kundi liliguswa vilio vinasikika mbinguni.

Somo la tano
Usijiamini kupita kiasi. JPM alikuwa na over confidence kitu ambacho kilimfanya ajisahau hivyo akajikuta anaharibu mambo mengi pengine kwa kutokujua.

Somo la sita
Umuhimu wa katiba mpya. Sidhani Kama CCM wenyewe wangependa atokee mtu Aina ya magufuli Tena katika chama Chao. Hilo ni funzo na utawala wa magufuli umewafanya watu waone umuhimu wa katiba mpya na demokrasia.

Somo la Saba
Tii Sheria na uifwate hata Kama itakubidi kuwajibika kwa kukataa maagizo mabovu ya wakubwa wako. Sabaya alipokuwa DC alifanya maufiri mengi na mpaka akaiambia mahakama kwamba alikuwa anatii maagizo toka juu Sasa Leo amebaki peke yake na maufiri yake aliyemtegemea kumlinda hayupo.

Ongezea masomo mengine uliyojifunza kwa hayati Magufuli.
Umetoa masomo murua kabisa kama Vile ni sikunya dominika.

Mungu alimeta Nebkadreza ili wana wa Israel wamtambua Yeye Bwana wa Majeshi ni nani.
 
Msoga sasa hizi mnajimwayawaya nchi yenu bhana,kila zama na wakati wake ipo siku nanyi hamtakuwa hapo mlipo!
 
Walitoa wapi vyeti fake km utawala wa nchi siyo fake? yeye alikuwa mmoja wa watawala miaka hiyo! mbona yeye aliiba kura? eti mkemia kweli? tumia mwizi kumshika mwizi!

aliogopa kwenda nje ya nchi kuemea sababu yai lilikuwa halipandi? ataanzia wapi kwanza, Alijua wazi ukiamusha amusha Huku Africa wakoloni wanakuua kwani yeye hakujua amsha amsha zake ni hatari?? wakt alikuwa waziri?

kama hakujua hatari simple kama hizi alikuwa ni Rais mpumbavu ''ever seen in dis world'', so ina maana hakuwa na uwezo wa kujifunza kwa yaliyowapata Saddam, na Gaddafi? so alikuwa kilaza!

kifo kimemsaidia sana huko mbele ingekuwa ni aibu tupu! tena alikuwa anashukuru amekufa! aliomba afe, n kwa kile kiaibu kilichokuwa kinakuja mbele yake! Rais muoga yule alitumia nguvu kubwa sana kukabiliana na upinzani, km...

kuua hovyo kina anzori gwanda na wenzake, kufunga watu hovyo! vitisho! hasa kwa watu wa Darisalama hakuwapenda sana, eti wanajidai, wako matawi! alitamani Dar kiwe kijiji choka mbaya! lkn wapi.. jiji linajijenga km gamaba la nyoka!

Nchi tajiri, utajiri upi?, eti Almas, dhahabu? kweli? hata wewe hapo hujui matumizi ya hizo almas, zaidi ya pete!! baasi!! si ni mkemia kwa nini hakuzitumia hizo dhahabu kuundia mashine za kilimo? taangu akiwa waziri, hakuwahi unda tinga tinga!

Hakujua ule udongo wa mfinyanzi maeneo ya Ihungo pale ni mzuri kutengenezea bara bara! hakujua kubuni! Akafilie kwa mbali huko na dongo zito! apigiliwe.

Tangu alipo pona kutunguliwa na rubani wake alikuwa muoga sana, mara alie eti ''nimelishwa sumu!'' sasa mbona hakufa? hiyo sumu hakuwahishwa Hosp wala kunywa maziwa yaani anacheza na sumu yule! ile ni pale pale!! ntolee!
Umeandika kishabiki mno sisi masikini wa kitanzania hayo yote hayatuhusu

Kinachotuhusu ni yale maji yaliyoimbwa miaka buku hususani vijijini leo hii na Mimi kijijini kwangu nayafungulia tu kama mjini

Nguzo zilipita kijijini kwetu miaka 20 iliyopita lakini hatukuwahi kuwa na umeme

Hospital tulifunga safari zaidi ya km 200 kufuata huduma sasa naamka asubuhi cha kwanza kukiona ni hospital ya wilaya iko kijijini kwangu

Barabara inayopita kijijini kwangu ilikuwa na mabwawa ya kuvulia samaki leo ni mkeka mpaka amerika

Ni nini hasa nihitaji toka kwa kiongozi zaidi ya maswala ya msingi kama haya

Hawa wasomi ndo chanzo cha maafa kwa taifa hili wakifeli kwenye plans zao wanakimbilia saisa uchwala

Watanzania tumechoka tunahitaji kuyaona mapinduzi ya vitendo na sio polojo za kisiasa

Polojo za kisiasa hazimsaidii mwananchi wa kawaida
 
Umelichana kweli kweli lile fala Jiwe.
 
IMG-20210914-WA0001.jpg
 
Naona sasa mamngosha mmeanza kumpangia Mungu majukumu.

Yani Mungu awe na mpango wa kutuletea muuaji?

Mwendazake alikuwa binadamu kama wengine tu, acheni kumtukuza.
Kamuua nani?
 
Umeandika kishabiki mno sisi masikini wa kitanzania hayo yote hayatuhusu

Kinachotuhusu ni yale maji yaliyoimbwa miaka buku hususani vijijini leo hii na Mimi kijijini kwangu nayafungulia tu kama mjini

Nguzo zilipita kijijini kwetu miaka 20 iliyopita lakini hatukuwahi kuwa na umeme

Hospital tulifunga safari zaidi ya km 200 kufuata huduma sasa naamka asubuhi cha kwanza kukiona ni hospital ya wilaya iko kijijini kwangu

Barabara inayopita kijijini kwangu ilikuwa na mabwawa ya kuvulia samaki leo ni mkeka mpaka amerika

Ni nini hasa nihitaji toka kwa kiongozi zaidi ya maswala ya msingi kama haya

Hawa wasomi ndo chanzo cha maafa kwa taifa hili wakifeli kwenye plans zao wanakimbilia saisa uchwala

Watanzania tumechoka tunahitaji kuyaona mapinduzi ya vitendo na sio polojo za kisiasa

Polojo za kisiasa hazimsaidii mwananchi wa kawaida
Utopolo wa maskini wa kipato anawaza low sana.
 
Wewe ni chizi kama magufuli hata sasa amekufa ila akishindanishwa na yoyote kwenye sanduku la kura atachukua 80%
Lakini mi sijasema hawezi shinda ila nimesema habari za watu kukimbia na masanduku ya kura

Vipi kwani huko kwenu hamna wakubwa mpaka kila mtu umuone chizi eti?😏😏😏🤣🤣
 
Rejea sababu zilizopelekea kudai na kupigania Uhuru wa Tanganyika zilikuwa ni zipi?

Maendeleo ya vitu hata Mkoloni angeweza kuleta zaidi ya tulipo!
Kwako wewe maendeleo ya vitu ni yapi? Na yasyo ya vitu ni yapi?
 
Back
Top Bottom