Hayati Magufuli alidhibiti ukatwaji wa umeme au mazingira yalimbeba?

Hayati Magufuli alidhibiti ukatwaji wa umeme au mazingira yalimbeba?

Duh!...tuvute subira Nyerere dam itakuwa suluhisho
Bahati mbaya sana Bwawa la Nyerere nalo chanzo chake cha maji bado ni kile kile ambacho kinatumika kwa bwawa la Kidatu, Mtera na Kihansi. Kwa ujumla maji ya mabwawa yetu kwa zaidi ya asilimia tisini yanatoka kwenye vyanzo vile vile!!
 
Mimi kweli nnamaisha magumu ila sio mm ni karibia 90%ya wa tanzania wote Maisha Magumu na chanzo ni watu wajinga kama wewe,unajifanya kusoma kumbe kichwani kamasi tu zimekuja...
Unanitaka nitukane kazi ya bodaboda na nimestuka. Kama ulimpenda sana MFALME JUHA kufa ili mkutane nae huko nasikia amekuwa kiongozi wa Malaika kama alivyokuwa anaropoka mbele yenu. Mzalendo ambae ametorosha mahela huko China na chato
 
Asilimia 28 (28%) ya umeme huvuja njiani wakati wa usambazaji kutokana na kuchakaa kwa mifumo ya usambazaji. Kwa ivo 28% inategemeana na wingi wa umeme unaozalishwa...
Alipoingia Makamba tu, ukaanza kuvuja, siyo?

Mgao kutokana na ukame masika ni historia mpya nchi hii hata ukame wa 2006 na 2012 mgao mkali hivi haukuwa March.

Lengo ni kuleta Richmond wengine watu mpige 10%.
 
Alipoingia Makamba tu,ukaanza kuvuja, siyo?
Hapana hii ni taarifa ya kitambo sana na iko kisayansi zaidi hata kama anayeitoa humpendi. Miundo mbinu ya kusambaza umeme kwa nchi yetu imechakaa na inahitaji ukarabati.

Kumbuka pia ongezeko la matumizi ya umeme vijijini kutokana na mradi wa REA pia yanaongeza mahitaji kwenye miundo mbinu yetu ya kusambazia umeme!.
 
Unanitaka nitukane kazi ya bodaboda na nimestuka. Kama ulimpenda sana MFALME JUHA kufa ili mkutane nae huko nasikia amekuwa kiongozi wa Malaika kama alivyokuwa anaropoka mbele yenu. Mzalendo ambae ametorosha mahela huko China na chato
Ndo amana umeambiwa ww ni uzao wa bao la masturbation.
 
Lima au kula mihogo unajua mambo ya GROBAL ECONOMIC CRISIS au mnahisi rais ndo anaenda kusema mchele kilo na uuzwe 4000 Tsh per kilo? Unajua mambo ya force of demand and supply au nabishana na dish

Pisheni viti hivyo waje wanaume wafanye kazi mchele ushuke bei...

Kiingereza kiingiii .... Ugoro umejaa kichwani

Demand and supply my foot...toka hapo una unalololijua..unatuzingua tu...
 
Kwani ukikaa kimya ili kuficha ujinga wako utapungukiwa nini,Yaani uharibu transfomer kwa kuzalisha umeme ambao vyanzo vya uzalishaji huo hakuna unazalishaje wakati maji hakuna/mvua hazinyeshi?.
Mkuu physics ya wapi hii?

Maji yakiwa machache yanaua Transformer?

Kwanini usijikite na kina kinjekitile Ngwale uliowasomea?
 
Mkuu physics ya wapi hii?
Maji yakiwa machache yanaua Transformer?
Kwanini usijikite na kina kinjekitile Ngwale uliowasomea?
Hacha kukurupuka basi, kuna kiazi mmoja kama ww ndo kasema hivyo nilikuwa napambana nae....Jitahidin basi muwe mnasoma comments ata kama sio zote na muelewe ndo mjibu....Sawa chawa wa mama yupo kazini?
 
Jamani huyu Rahisi wa sasa amerithi kiti anachokikalia kikatiba. Hilo halikwepeki. Mapungufu mnayoyaona kwake sasa ajibiwe kwenye kura ya uchaguzi 2025.
 
Vyanzo vya maji kwa ajili ya Mabwawa makubwa matatu ya kuzalishia umeme, yaani Bwawa la Mtera, Kidatu, na Kihanzi, vyote kwa asilimia tisini (90%) vinategemena na sehemu kubwa vinatokana na vyanzo vile vile. Kwa mfano sehemu kubwa ya maji yanayojaza bwawa la Mtera na Kidatu chanzo chake ni kile kile.

Kwa miaka miwili mfululizo kumekuwa na ukame mkubwa sana kwenye maeneo yanayotoa maji kwa ajili ya mabwawa ya Mtera na Kidatu. Wiki hii nilikuwa Mtera na kwa kweli hali ni mbaya sana kiasi kwamba inawezekana upungufu wa maji mtera umeweka historia kwa miaka ya hivi karibuni.

Sasa kama sehemu kubwa ya umeme wetu tunategemea umeme unaozalishwa kwa maji, na ukame ndiyo huu umeshika kasi, tunategemea muujuzi gani utakaotuzalishia umeme!!??

Enzi za Magufuli kulikuwa hakuna mgao mkubwa wa umeme, lakini jee pia kulikuwa kuna ukame kama ulioko sasa? Mara hii tumeshasahau ni kwa nini Enzi za Kikwete wafugaji walihamishwa toka hifadhi ya bonde oevu Ihefu?

Jiwe alikua Mwamba!!.. over
 
Huko kulala yoooh, nawewe utalalatu it's just matter of time, you can't change it.

Kila kilicho hai kita lala.
Na ukijua hivo ni vema kwamba kila mtu atalala yooohh sasa yeye aliishi utadhani ana ahadi ya kuishi milele kutesa watu kuuwa pambafff sana alale tena
 
Back
Top Bottom