Joseph lebai
JF-Expert Member
- Jul 19, 2017
- 8,447
- 8,723
[emoji1787][emoji1787][emoji16][emoji16]Alikiuwa anawaambia wao ni wanyonge na kwamba wamechezewa sana? Halafu anamalizia na kumtumbua afisa mmoja wa karibu aliyepo hapo wananchi weweeeeeeee.[emoji2223][emoji2223][emoji2223][emoji2223][emoji2223]
Masikini ni kiumbe mwenye tabia mbaya sana, chuki, wivu vyote vyakehata mimi pia najiuliza alitumia mbinu gani kuwafanya watu wenye kipato cha chini(wanyonge kama yeye alivyokuwa anawaita) wawachukie matajiri?.
nilikuwa nashangaa unakuta mtu kaajiriwa na Mo dewji na 90% ya maisha yake yanategemea mshahara, hapohapo anamchukia tajiri huyo bila sababu.
Bora umekuja na Id yako tunayoikubali. Ukweli ni kuwa Magufuli hakuwahi kuwa msaada kwa hao masikini, na hakuna tajiri yoyote aliyekuwa akimuogopa masikini. Ila yeye alidhulumu matajiri wengi, kitu ambacho masikini walifurahi kwani ni kawaida kwa masikini kufurahia mtu anaposhuka kama wao.Alichokifanya ni kuminya uhuru wa habari na uhuru kujieleza, na akawabrainwash hao masikini kwa propaganda kuwa anawajali.Baada ya Rais Mstaafu Kikwete kutoka Madarakani Matajiri walikuwa na Jeuri za kila aina mpaka Kuamua Uhai wa Watu Masikini na wasifanywe lolote lile kwani walimweka Mifukoni mwao.
Alipoingia Hayati Rais Dkt. Magufuli alitaka Kuwaheshimisha Masikini ( GENTAMYCINE nikiwemo ) kuwa hata Sisi pia ndani ya hii Ardhi ya Mama Tanzania pia tuna Thamani yetu hivyo akatupa ( akatujaza ) Jeuri mpaka Matajiri nao wakaanza Kutunyari ( Kutuogopa )
Kwa hivi sasa ndani ya huu Utawala wa Rais Mama Samia Matajiri na Masikini bado tunamsikilizia ( tunampima ) Mama tuone Yeye atalia upande wowote ili tuanze Kumlaumu ( Kumsiliba ) japo ninavyomuona ni kama vile anataka kutuweka katika Mzani sawa kitu ambacho si kibaya pia na Mimi nakiunga mkono.
Jibu rahisi.Alijinasibu wazi kuwa yeye ni Rais wa wanyonge.
"Kazi hii ni ngumu"
"Tumechezewa sana nchi hii"
"Msiwasumbue mama ntilie na machinga, kitambulisho cha 20,000 kinatosha. Wafanye biashara kokote"
"We're in a right track"
"Niombeeni kwa Mungu"
"iiiiiiiiiii.....Ahaaaa"
Hizo ni baadhi ya kauli zake zilizomzolea mtaji wa watu wa hali ya chini.
Njia ni rahisi tu.
Masikini wengi wana roho mbaya, wivu na akili ndogo hivyo:
Kwasababu huwa wana wivu na chuki kwa kila aliyenacho, wewe hakikisha unatukana kila siku mwenye nacho na kuwadhalilisha hadharani huku ukiwasifia wao masikini.
Tukana sana wazungu. Na hakikisha wakikupa pesa zao, hao masikini wasijue.
Dhibiti habari zote za mabaya yako, hakikisha unasifuwa na kutangazwa muda wote kwenye vyombo vya habari kwa mema tu.
Jifanye mcha mungu, na kila ukienda kwenye ibada hakikisha watu wanajua na picha zinatoka ukiwa mnyenyekevu.
Ukimsaidia ombaomba hata Jero hakikisha unachukua picha na video na zinaruka kila wakati kwenye TV ili kukuonesha ulivyo mwema .
Kila ukiongea na tajiri au mwenye cheo hakikisha unamfojea LIVE kwenye TV ili watu waone.
Mnyonge ni nani ??
Na ni kitu gani hicho alichofanikiwa kukipata bila usumbufu??
Hata wewe upo kwenye Hilo kundi la wenye chuki, roho mbaya na wivu kwa wenye nachoNjia ni rahisi tu.
Masikini wengi wana roho mbaya, wivu na akili ndogo hivyo:
Kwasababu huwa wana wivu na chuki kwa kila aliyenacho, wewe hakikisha unatukana kila siku mwenye nacho na kuwadhalilisha hadharani huku ukiwasifia wao masikini.
Tukana sana wazungu. Na hakikisha wakikupa pesa zao, hao masikini wasijue.
Dhibiti habari zote za mabaya yako, hakikisha unasifuwa na kutangazwa muda wote kwenye vyombo vya habari kwa mema tu.
Jifanye mcha mungu, na kila ukienda kwenye ibada hakikisha watu wanajua na picha zinatoka ukiwa mnyenyekevu.
Ukimsaidia ombaomba hata Jero hakikisha unachukua picha na video na zinaruka kila wakati kwenye TV ili kukuonesha ulivyo mwema .
Kila ukiongea na tajiri au mwenye cheo hakikisha unamfojea LIVE kwenye TV ili watu waone.
Hakujikweza mbele ya watu wa chini. Aliwasikiliza na kuwasaidia mbele ya macho yao.Jana maeneo ya matumbi matraffic wakiwa wametanda kila kona, Dereva wa daladala alipowaona tu
Akasema " Baba yetu amefariki sasa wameanza kutusumbua".
Kauli kama hizi zimekuwa zikisikia kwa watu wa vipato vya chini kuona kama hayati alikiwa ndio kila kitu. Na sasa hivi kila rekebisho linalotokea na litakalotokea inaonekana ninkwa sababu mtetezi wao hayupo.
Hizo mbinu alizotumia kuteka mashabiki wengi kuliko wafuasi wa chama chake ni zipi, na kwa nini wabunge, madiwani na serikali za mitaa walishindwa kututeka hivyo miaka yote?
Angalau Deo Filikunjombe na yeye alifanikiwa kwa kiasi flani.
Nawasilisha
Hapo pa Ben, Pana utataBaba ake Ben Saanane anakucheki tu anasema hiiiiiiiii.
Kundesha uchumi kwa sera ambazo hazina mulekeo 'regime uncertainty and herding behavior' you can not plan business growth with policy uncertainty (herding behavior-ni maamuzi ya kikundi fulani kufanya maamuzi ya watu wengi kwakujitoa ufahammu) Herd behavior is the behavior of individuals in a group acting collectively (in ways that seem intelligent) without centralized direction.Brainwashing tactics. kwa mfano propaganda 24/7 TBC1
Kuminya uhuru wa vyombo vya habari, visiandike ukweli
Kuziba watu midomo wasichallange madudu yake waziwazi na hivyo jamii kuendelea kuwa gizani
Kutunga sheria kandamizi juu ya takwimu hivyo kuzuia data za kuwafumbua macho watu kutolewa au kupatikana kiurahisi
Kutumia populist approaches za kujifanya anawatetea, anawasemea, kujifanya ni mwema na mkarimu kama vile kugawa hela njiani