matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 9,514
- 23,523
- Thread starter
- #61
HahahhaaHajapotea huyo, ana ID mia humu.
Ni wale makonkodi wa JF.
Akipotea kabisa ujue kadedi labda.
HahahhaaHajapotea huyo, ana ID mia humu.
Bro usiwe brainwashed kirahisi hivi. Jamaa anachuki tu na vitu vizuri... you have nailed it! Hakuna ukweli zaidi ya hicho ulichoandika. Thank you!
hahahaa nahitaji kufuatilia historia ya HitlerHata hitler alipendwa Sana na wanyonge,na kanuni yake kubwa ni kuwajengea uzalendo wa kuipenda nchi yao,kumpenda yeye kuliko nafs zao na vizaz vyao.
Alikua tapeliMagufuli alikuwa kipenzi cha wengi.
HahahahahMadikteta wote drama zao ufanana.
Hapa iddi amini akimpeleka mnyonge hospitalini Ili kudraw attention zao kupata sapoti ya kisiasa kupata kura zao.
View attachment 1766470
Baba mmoja na mapapai.Hio field wapo vizuri wamefuzu kwenye propagandaHahahahah
Kumbe na uncle Idd naye alikuwa na sanaa hahaha. Akitoka hapo anakwenda kula viporo vya nyama za watu frijininna wakina maryamungu.
Usimfananishe huyu na mkuu wetu aisee.
Hayati JPM hakumpeleka mtu hospitalini alihakikisha zahanati zinajengwa kila mkoa.Madikteta wote drama zao ufanana.
Hapa iddi amini akimpeleka mnyonge hospitalini Ili kudraw attention zao kupata sapoti ya kisiasa kupata kura zao.
View attachment 1766470
Mkuu ulikuwa unamsimanga sana Rais wetu. Hayupo sasa nadhani unajisikia raha sanahahahaa nahitaji kufuatilia historia ya Hitler
We jamaa huwa ni Muungwana sana.Hayati JPM hakumpeleka mtu hospitalini alihakikisha zahanati zinajengwa kila mkoa.
Alihakikisha vivuko vinajengwa kila pesa inapopatikana. Alifufua shirika la ndege.
Wengi wanaomkejeli ni wale waliokuwa wanataka wampande mabegani kwa kigezo cha demokrasia na uhuru wa habari.
JPM alikuwa na vision Ndio maana kinamama walitandika kanga zao ili gari iweze kupita.
Idd Amin alikimbia nchi baada ya majeshi ya Tanzania kumtoa mkuku.
JPM kazikwa na mamilioni ya watu. Idd Amin na Mobutu walitupwa kama wanyama.
Mleta mada kaamua kumtusi hayati lakini haisaidii chochote.
Nkurunziza alikuwa mlokole kabisa na muimba kwaya akosi church jpili lkn akimaliza ibada anaenda kuwashughulikia wapinzani wake.Hahahahah
Kumbe na uncle Idd naye alikuwa na sanaa hahaha. Akitoka hapo anakwenda kula viporo vya nyama za watu frijininna wakina maryamungu.
Usimfananishe huyu na mkuu wetu aisee.
Chato townMkuu ulikuwa unamsimanga sana Rais wetu. Hayupo sasa nadhani unajisikia raha sana
We jamaa huwa ni Muungwana sana.
Sijamtusi ila wachangiaji ndio wanaleta matusi na kumfananisha na wakina iddy.
Mfano: mimi nieshaandika uzi humu kabla ya Magufuli mtaa wetu ulikuwa choka mbaya sana. Ila sasa kuna maendeleo ya watu na vitu makubwa sana sana. Niliweka humu wote wakanipinga.
[emoji16][emoji16][emoji16]Ila lijamaa lilkuwa linajua kutengeneza sura ya unyenyekevu na huzuni utazan hvyo vtu linavyo kumbe hapana,
Kama siku Mv nyerere ilivyozama huko ukara lilkuwa linaongea kinyenyekevu mpaka nkaona linaigiza
Ngoma droo yaani vimebalance kwenye ulimwengu wa roho hakuna deni.kama vile Mobutu vs lumumba,moi vs ouko,iddi amini vs dr kiwanuka,abacha vs sarowia,mugabe vs tsvangiraiHapo pa Ben, Pana utata
Elimu Elimu ElimuJana maeneo ya matumbi matraffic wakiwa wametanda kila kona, Dereva wa daladala alipowaona tu akasema " Baba yetu amefariki sasa wameanza kutusumbua".
Kauli kama hizi zimekuwa zikisikia kwa watu wa vipato vya chini kuona kama hayati alikiwa ndio kila kitu. Na sasa hivi kila rekebisho linalotokea na litakalotokea inaonekana ni kwa sababu mtetezi wao hayupo.
Hizo mbinu alizotumia kuteka mashabiki wengi kuliko wafuasi wa chama chake ni zipi na kwa nini wabunge, madiwani na serikali za mitaa walishindwa kututeka hivyo miaka yote?
Angalau Deo Filikunjombe na yeye alifanikiwa kwa kiasi flani.
Nawasilisha
Imagine masikini ni mtu mbaya sana asee, nauchukia umasikiniSababu kubwa ya hao unaowaita wa kipato cha chini kumpenda na kumshabikia mfu Magufuli ni kwamba ni wanafiki sana, walikuwa wanafurahi sana mtu kufukuzwa kazi eti na yeye asote kama wao. Pia walikuwa wanafurahi sana mtu aliyeajiriwa au mwenye kipato kizuri kufukuzwa kazi au kufilisiwa kwa hoja kuwa eti alikuwa anaringa!
Hata nabii daudi alikuwa anashughulikia magoliati akitokea kuimba mapambio jangwani.Nkurunziza alikuwa mlokole kabisa na muimba kwaya akosi church jpili lkn akimaliza ibada anaenda kuwashughulikia wapinzani wake.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]nimeipenda hii picMadikteta wote drama zao ufanana.
Hapa iddi amini akimpeleka mnyonge hospitalini Ili kudraw attention zao kupata sapoti ya kisiasa kupata kura zao.
View attachment 1766470
Hebu tupatie mifano basi. Au ndiyo kama akina masikini Nape vile aliyewahi kutishiwa bastola? Angalau yeye tulimuona kwenye vyombo vya habari.Ni tajiri gani aliyewahi hata kuwekwa mahabusu kwasababu za kumyanyasa masikini?
Mimi nawajua masikini wengi waliofungwa, kutekwa, kuuawa, kufungwa kwenye viroba, na kutishiwa bastola.
Iddi amini alikuwa so fun Sana huyu bondia,alikuwa na speech nzuri Sana kama brilliant fulani hivi kumbe ni bonge la bogus kama trump.Alikuwa dikteta mcheshi yaani hata akikuua usikii maumivu.[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]nimeipenda hii pic
Mimi mwenyewe nilishawahi kutishiwa bastola wakati nafanya kazi za ulinzi. Tena nilitishiwa na watu wa usalama waliokuwa wanalinda makinikia.Hebu tupatie mifano basi. Au ndiyo kama akina masikini Nape vile aliyewahi kutishiwa bastola? Angalau yeye tulimuona kwenye vyombo vya habari.