Akili ninazo Bro.
Watu kushambuliwa bila kujali ni kisiasa maandamano, chuki binafsi, ujambazi etc tangu nyerere, mwembechai enzi za Mkapa, mwangosi enzi za jk na kila wakati uarifu huwa unakuwepo.
Sasa wewe unasema ulitishiwa na usalama aliyekuwa analinda makinikia. Hujasema kwa nini, na ulienda kutafuta nini, ulikuwa ni mida gani, ulikuwa na kibalia huna, hujaeleweka kwa ufupi.
Akwilina ilikiwa ni maandamano, kote duniani maandamano yenye kuzua ghasia hizo kesi zipo. Lissu haijulikani alipigwa na nani. Wenzake chadema, mabeberu, ugomvi wa kindugu, waliochukizwa na jinsi alivyochangia ktk makinikia, uadui katika mambo yao ya kisheria.
Siamini kabisa serikali yenye lasilimali zote nje na ndani yabnchi iamue kitu ishindwe. Ikiwa tunasikia rwandwa watu wanakuwa eliminated hadi nje za nchi uko SA, ulaya serikali ishindwe. Hili la lissu bado ni fumbo uaianze kuhutumu watu bila shahidi shawishi.