Hayati Magufuli alifanikiwaje kuwafanya watu wa vipato vya chini kumuamini kiasi kile?

Hayati Magufuli alifanikiwaje kuwafanya watu wa vipato vya chini kumuamini kiasi kile?

Wewe nawe akili yako haina akili hapa tunaongelea JPM wewe unatuletea habari za Hitler ni akili au matope!! Ulikuwepo wakati wa Hitler?
Hao wanaotuhubiria kuhusu Mtume Muhamad au Yes kristo walikuwepo? Umeishiwa na hoja nini dogo?
 
Exactly, that was what the dude was doing. Jamaa alikuwa ni mtu muovu wa dhahiri.

Hao wanaotuhubiria kuhusu Mtume Muhamad au Yes kristo walikuwepo? Umeishiwa na hoja nini dogo?
Hao wote hatukuwaona. JPM tulikuwepo na tulimuona lakini Hitler hatukumuona na huwezi kujua kama habari zake zilikuwa za kweli au uongo.
 
Brainwash iko wapi? Tembea Kenya au South Africa hapo jirani nenda kaangalie kazi Watanzania walioko huko wanazofanya dhidi ya mataifa mengine ndiyo utajua elimu ya Watanzania ni duni.
Wewe ndiyo duni. Nenda Botswana uone madaktari wa kitanzania wanavyoaminika kwa ubora kuliko madaktari wa nchi nyingine.
 
Wewe nawe akili yako haina akili hapa tunaongelea JPM wewe unatuletea habari za Hitler ni akili au matope!! Ulikuwepo wakati wa Hitler?
Alipoingia tu jiwe, tulirudi nyuma miaka karibia 80...ilikuwa jama vile Hitler kazaliwa kwa mara ya pili nchini Tanzania nasi tukawa tumempata Hitler wetu! Kama Hitler alivyokuwa na watu wa usiku, GESTAPO na jiwe alikuwa na watu wasiojulikana!

Hebu rejea hapa...
1619620778189.png
 
Jana maeneo ya matumbi matraffic wakiwa wametanda kila kona, Dereva wa daladala alipowaona tu akasema " Baba yetu amefariki sasa wameanza kutusumbua".

Kauli kama hizi zimekuwa zikisikia kwa watu wa vipato vya chini kuona kama hayati alikiwa ndio kila kitu. Na sasa hivi kila rekebisho linalotokea na litakalotokea inaonekana ni kwa sababu mtetezi wao hayupo.

Hizo mbinu alizotumia kuteka mashabiki wengi kuliko wafuasi wa chama chake ni zipi na kwa nini wabunge, madiwani na serikali za mitaa walishindwa kututeka hivyo miaka yote?

Angalau Deo Filikunjombe na yeye alifanikiwa kwa kiasi flani.

Nawasilisha
Masikini Wana tabia ya kupenda umasikini na wanapenda sana kuambiwa wao ni masikini (wanyonge) , wanapenda vya bure na wanachukua mtu mwenye pesa no matter alivyozipata either kwa kudanga au rushwa.

Masikini Wana tabia ya kuridhika sana na hali yao ya umasikini na Wana kawaida ya kutafuta wa kumlaumu mtu kana kwamba huyo ndiye aliwasababishia umasikini.

Kwa propaganda za Kayafa aliwalenga watu wa namna hiyo as if alikuwa anawapandishisha bure. Hii imeharibu sana akili za hawa wavivu na wapenda vya bure.
 
Mbona kama mafisadi ndio wenye chuki kwa masikini. Mfano hakuna fisadi tajiri.
Nchi zote zilizonyonya afrika zilikuwa nintajiri.

Matajiri wa sayari ipi unaowazungumzia
 
Ningekuwa naongea na mtu anayeangukia kwenye group gani kati ya niliyoyataja ingenisaidia kukupatia majibu sahihi kulingana na kada iliyopo.
 
Kama wewe ni Mtanzania huamini kuwa Makonda ndiye aliyeongoza kikosi cha watu WASIOJULIKANA kumwagia risasi na kumjeruhi TUNDU LISSU kwa maagizo ya Meko aka Jiwe basi inabidi ukapimwe akili.

Utakuwa ni mllemavu wa AKILI
Blaza usiandike propaganda za kitoto bila ushahidi.

Kama ni kuongeaonga tu hata mimi naweza kujisemea.

Kwa nini msiende kumkamata ili asaidie polisi maana sasa ni raia tu.

Acha majungu mitandaoni
 
Mzee amafanya mambo mengi mazuri ambayo yamegusa jamii yote kwa wakati tofauti mfano ni wakati wa utawala wake watu Wameingia BOT, Treasury na Ikulu bila connection yoyote ile zaidi ya merits zao, sio hayo tu enzi za nyuma ili ugombee ubunge ilikupaswa kwanza ukasake pesa nyingi na uwe Prominent katika hilo eneo ndio upewe dhamana leo tunaona vijana wengi sana wapo bungeni nao wataliaa tu 2025 mana hawatapata tena izo nafasi
 
Jibu hoja usijibu watu
Ilianzisha kujibu watu ni wewe instead ya kujibu mada halafu umaindi business yako wewe ukakimbilia ku-quote na kuanza kunihoji, sasa unakimbia . Anyway mie hoja nilishaijibu so sihitaji kujadili nawe let's go back to the thread
 
Just brainwashing km wafanyavyo madikteta wote duniani km kina Idd amin Dada
 
Hata mimi pia najiuliza alitumia mbinu gani kuwafanya watu wenye kipato cha chini(wanyonge kama yeye alivyokuwa anawaita) wawachukie matajiri?

Nilikuwa nashangaa unakuta mtu kaajiriwa na Mo dewji na 90% ya maisha yake yanategemea mshahara, hapohapo anamchukia tajiri huyo bila sababu.
Lete ushahidi wa maskini kuwachukia matajiri bila sababu,ukiona maskini anamchukia tajiri ujuwe tajiri ni mnyonyaji,na hii ni sifa kubwa ya matajiri wengi,wanyonyaji.
 
Watu wa hali ya chini ni wenye roho mbaya sana. Walifurahia kuona dikteta anafanikiwa adhma yake ya kuwafanya matajiri kushushwa chini na kuishi kama mashetani. Angalia sehemu nyingi zenye umaskini ndiko wanakopatikana wachawi kwa wingi. Magufuli alikuwa na roho mbaya, na wengi wenye roho mbaya walimpenda sana
Hasa sentensi yako ya mwisho ni ukweli mtupu
 
Back
Top Bottom