#COVID19 Hayati Magufuli alificha taarifa ya Vifo vya Corona at our Risk

Comeon Brazaj you have just told me I have a low IQ,aren't you by saying that comparing yourself to me?How all of a sudden do you say we are not competing.Be serious Brazaj.
 
Sisi tulipunguza vifo vinavyo sababishwa na ile taharuki ya corona, hao majirani zetu maigizo waliyokuwa wanafanya yaliwasaidia nini?
"Taharuki ya corona" unamaanisha nini?
 
Kuhu
Mimi pia siamini lockdown ilikuwa na tija katika kuzuia kusambaa kwa corona. Ninachopishana naye ni kuficha ukweli kuhusu maradhi na vifo vilivyotokana na ugonjwa huu na akaficha jina lake halisi kwa kuuita "changamoto ya upumuaji"
 
Comeon Brazaj you have just told me I have a low IQ,aren't you by saying that comparing yourself to me?How all of a sudden do you say we are not competing.Be serious Brazaj.

There're saying in Swahili which describe you right to the core:

"Debe tupu haliachi kuvuma."

"Simba mwenda kimya ndiye mla nyama."

"Hawavumi lakini wamo!"

Nota Bene:

JF is comprised all sorts of people. Useful to safeguard one's own problems.

Knowledge, ignorance, experience, exposure etc those are one's own problems.

Everyone has those to himself and to the very best.

Long live JF 😁😁.

Hiiiiii bagosha!
 
"Taharuki ya corona" unamaanisha nini?
Nina maana pana sana, mfano tu kuna muda tulifikia hadi watu wenye magonjwa hatari kama ya moyo walikuwa wanaogopa kwenda kwenye clinic zao kwa kuhofia kupata corona hadi Madoctor wakawa wanashangaa hao wagonjwa wanatibiwa wapi?
 
Kuhu

Mimi pia siamini lockdown ilikuwa na tija katika kuzuia kusambaa kwa corona. Ninachopishana naye ni kuficha ukweli kuhusu maradhi na vifo vilivyotokana na ugonjwa huu na akaficha jina lake halisi kwa kuuita "changamoto ya upumuaji"
Ile hali ya kila kifo kuhusishwa na corona ndio kitu ambacho ulikuwa unataka iwe? na huo kwako ndio ukweli ambao unaona Magu alikuwa akiuficha?

Nakumbuka Ummy mwalimu alipokuwa akitangaza vifo, utamsikia akisema "Marehemu alikuwa na maradhi mengine pia" Ilifika muda maradhi mengine yalipumzika kuwa chanzo cha vifo.
 
Una uhakika gani sina...?!? Wewe una proof ya kilichomfyeka ni kitu gani??
Mimi najua alifariki kwa tatizo la moyo.
We mjuaji tuambie Rais wetu alifariki kwa sababu gani unayoijua wewe
 
Kuhu

Mimi pia siamini lockdown ilikuwa na tija katika kuzuia kusambaa kwa corona. Ninachopishana naye ni kuficha ukweli kuhusu maradhi na vifo vilivyotokana na ugonjwa huu na akaficha jina lake halisi kwa kuuita "changamoto ya upumuaji"
Angeweka orodha ya waliokufa kwa Covid wewe ungenufaikaje na takwimu hiyo kama sio kutishana tu?

Kuna watanzania mnapoteza muda sana kwenye kufuatilia mambo yasiyo na ulazika, JPM alisema Covid ipo watu chukueni tahadhari lakini bado mnatafuta sababu oooh mbona hatangazi wanaokufa? Ivi vyombo vya habari kazi yake ni kutangaza vifo vya Covid tu??

Kazi ya Rais iwe ni kutisha watu tu? Sote tutakufa issue ni kutangulia tu
 
Magufuli na wale wasaidizi wake wote waliondoka kwasababu ya nini vile? ugonjwa wa moyo!.

Watu mna kumbukumbu ndogo sana, wenzenu wamezika ndugu zao sababu ya Corona, nyie mnasema simple tu; "hakuna Corona, ni uongo wa wazungu"
Kwanini Corona isiondoke na ndugu zao wanaolala na kula pamoja na ikaondoa Magufuli na wasaidizi wake tu?Yaani Magufuli awe hatarini sana kuliko ndugu wa wasaidiz wake?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…