#COVID19 Hayati Magufuli alificha taarifa ya Vifo vya Corona at our Risk

Cowen powell waziri wa mambo ya nje mstaafu wa marekani kafa na corona juzi wakati wao ndo watoa chanjo na waathirika wakubwa, je hilo ni jina kubwa je wale ambao hawana majina hwatangazwi je?
Sema wewe leo wagonjwa au watu waliokufa marekani kwa corona ni wangapi, unawajua?
Mambo mengine muwe mnatuliza vichwa na sio kufyatuka tu.
 
Kosa lake siyo kutokutangaza lockdown, kosa lake kubwa ni watu walipokufa kwa Covid (hasa waheshimiwa) alificha kuusema ukweli na alizizuia familia za wahanga zisiseme ukweli (japo zenyewe zilitamani kudisclose). Na ndo unaona leo Salim Ahmed Salim Foundation imefunguka rasmi baada ya kuzibwa mdomo.

Kutangaza vifo vya Covid kungeongeza umakini wa watu kujilinda,kutokutangaza kukafanya watu wajiachie na waambukizwe zaidi (akiwemo yeye mwenyewe). NA NINAFURAHI KWAMBA ILIMUONDOA kwa upumbavu wake.Mawaziri wake walikuwa wanatamani wajikinge sana publicly yeye akawa anawakejeli na kuwadhalilisha.

Kwani Corona ni ugonjwa wa aibu sana?Mbona Dr.Kenneth Kaunda aliwatangazia Wazambia kuwa mwanae amekufa kwa Ukimwi? Mbona Nelson Mandela alitangaza mjukuu wake amekufa kwa Ukimwi? Lengo ilikuwa ni kuwakumbusha watu kuwa UKIMWI UPO na unaua bila kujali hadhi ya mtu. Sasa CORONA ni ugonjwa wa aibu sana hadi JPM aone aibu kutangaza kufa Corona inaua na sasa imeshaua 'waheshimiwa' kadhaa na 'wanyonge' kadhaa?
 

Nani alikwambia watoa chanjo hawafi kwa Corona? Hivi hata unaelewa unaongea au huongei nini?

Watoa chanjo wanahimiza tahadhari hata kama umechanjwa. Wewe kapuku unadai chanjo ni upigaji , una discourage chanjo na bila aibu unahamasisha nyungu?



Seriously?!

Tumepoteza watu wangapi kwenye huu utopolo?
 
Dokta John Magufuli aliwajali zaidi watanzania kuliko hata alivyoijali familia yake.
 
Dokta John Magufuli aliwajali zaidi watanzania kuliko hata alivyoijali familia yake.

Yuko wapi Moses Lijenje, Azory, Ben na nani walikuwa kwenye viroba?

Nani alikuwa nyuma shambulizi la Lissu?

Nani alikuwa nyuma ya SABAYA?

Nani alikuwa nyuma ya vifo hivi?

#COVID19 - Kwa mujibu wa Zitto Kabwe, Tunapoteza watu kwa kiwango kikubwa kutokana na Corona

Ipo tofauti ya msingi baina ya watanzania na wanachato aka genge la wasukuma. Pia baina ya wasukuma na genge la wasukuma.
 
Magufuli na wale wasaidizi wake wote waliondoka kwasababu ya nini vile? ugonjwa wa moyo!.

Watu mna kumbukumbu ndogo sana, wenzenu wamezika ndugu zao sababu ya Corona, nyie mnasema simple tu; "hakuna Corona, ni uongo wa wazungu"
Wewe umezika ndugu zako wangapi akiwemo mama yako mkuu!
 

Kufungia watu ndani ndiyo pekee unachojua au ulichowahi kusikia kwenye UVIKO?

Hiiiiii bagosha!

1. Hukuwahi kuvisikia vita vya uchumi dhidi ya Tanzania?
2. Hukuwahi kuzisikia njama za mabeberu dhidi ya Tanzania?
3. Hukuwahi kusikia chanjo kuwa ni upigaji wa mabeberu wakitaka pesa zetu?
4. Hukuwahi kusikia corona haipo?
5. Hukuwahi kusikia mambo ya nyungu, maombi wala matango pori mengine kama sera rasmi ya serikali kuhami watu?
6. Uliwahi kusikia takwimu rasmi za janga hili hapa nchini?
7. Nk nk

Vipi ni kujitoa ufahamu au ndiyo kuwasili kutokea sayari nyingine?

Muda upi wa kukuelimisha wewe. Ngoja kiumane kwa Bolsonaro na hapa kazeni mkao wa kula.

Haijali itachukua muda gani.

Kwani una tatizo gani wewe hapo? Au na wewe ni accomplice?
 
JPM anapaswa kushtakiwa kwa kuficha ugonjwa na kusababisha vifo vya maelfu.

Maelfu yapi Mkuu au tunabeba hadi takwimu za Ecuador na Brazil?

Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni, katika kuhandle issue ya Covid 19 JPM alijitahidi sana.
 
Watu wenye nia ovu walifanya kazi kubwa sana kumchafua Dkt Magufuli

Watu wenye nia ovu. Hii taasisi kuwa rais ni taasisi, uliwahi kuisikia kabla ya 2015?

Taasisi hii imetajwa wapi kwenye katiba?

Wajumbe wake ni nani?

Kwamba walipanga kumchafua na hakujua wala kuwajua?

Seriously?!
 
Watu wenye nia ovu. Hii taasisi kuwa rais ni taasisi, uliwahi kuisikia kabla ya 2015?

Taasisi hii imetajwa wapi kwenye katiba?

Wajumbe wake ni nani?

Kwamba walipanga kumchafua na hakujua wala kuwajua?

Seriously?!
Unauliza maswali irrelevant kiongozi
 
Maelfu yapi Mkuu au tunabeba hadi takwimu za Ecuador na Brazil?

Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni, katika kuhandle issue ya Covid 19 JPM alijitahidi sana.

Kwanini takwimu rasmi zilizimwa na zinaendelea kuzimwa?

WHO wanasema cases 6 katika 7 Afrika hazitambuliwi (hii ni leo). Hapo nyuma ilikuwa je?

Takwimu zaidi ziko hapa:

#COVID19 - Kwa mujibu wa Zitto Kabwe, Tunapoteza watu kwa kiwango kikubwa kutokana na Corona

Wewe waona maelfu wangapi hapo?

Mnyonge? Hakuna mnyonge hapo bali mhalifu wa kuadhibiwa!
 

Hata Amne Salim Ahmed Salim bila shaka hata sasa hujamsikia. Kagua masikio yako mkuu:



Kama kungali kukavu fikiria fikiria pia kuchukua ubini sahihi.

Yawezekana wewe siyo bin Adamu 😁😁.
 

Cases 6 out 7 according to WHO aren't detected in Africa as of today.

Hii ni factor popote kwenye maelezo yako? Kama huna hayo ndiyo mavi yenyewe sasa!

Magufuli anapaswa kupongezwa na wapumbavu. Bado pia ni pongezi. Au nasema uongo ndugu yangu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…