#COVID19 Hayati Magufuli alificha taarifa ya Vifo vya Corona at our Risk

Ndo kusema corona si ugonjwa unaoua bali watu kwenye nchi za wenzetu walikufa kutokana na kutangaziwa uwepo wa ugonjwa huo na kuwekwa lockdown na kwamba sisi tulisalimika kutokana na msimamo wa Magufuli. Seriously?
Magufuli alisisitiza tuombe kwa mungu na kama ametupangia kufa kwa Corona, tutskufa tu[emoji23][emoji23],ulikua uamzi wa kijasiri kweri kweri[emoji847][emoji847]
 
Mimi binafsi hata mgonjwa wa ukimwi sijawahi kumuona na nipo tangu 1983
 
Mkuu kama colonel powel kafa kwa corona,, na hao ndo deep state,, nini kinakufanya usiamini ugonjwa upo?, Boris johnson nusra afe kwa corona, almanusra tu, kama hawa wenye dunia ndo wanakufa, unadhani kuna mtu kweli anafanya mizengwe?
Corona ipo, ni virus disease, hizi hazinaga tiba mara nyingi labda chanjo,
Hizi chanjo hazifanyi kazi kwa wazee sana na wenye underlined health issues,
Pia hizi chanjo waliziwahisha sana kuzi approve,
So kinga binafsi ya mtu ndo itamuokoa,,
Pilipili manga limao etc zinaongeza sana natural immunity agaisnt covid, kuliko hata hizi artificial immunities za chanjo kutoka ulaya[emoji23][emoji23]
 
Hata Amne Salim Ahmed Salim bila shaka hata sasa hujamsikia. Kagua masikio yako mkuu:

View attachment 1982761

Kama kungali kukavu fikiria fikiria pia kuchukua ubini sahihi.

Yawezekana wewe siyo bin Adamu 😁😁.
This is fearmongering.Sasa kutomsikia Salim ndio nini,anaugua Corona!Wewe ni fearmonger tu unayetumiwa na Shetani.Hii Corona mnayo ongelea mitandaoni ambayo mitaani hatuioni ni Corona gani.Tatizo lenu pia ni kwamba siku hizi mnaamini kwamba kila ugonjwa including respiratory illnesses ni Corona.Change your mind set,that is not true.

By the way tell me why you believe Salim anaugua Corona.That is give me the symptoms he has.
 
Mkuu mnatuambia chomeni chanjo, juzi Johnson Johnson, from juzi Chinese vaccine baada ya hii kuna ile ya Russia inawasubuli!.

What you want to tell us kwamba ina kinga?.
 
Mimi binafsi hata mgonjwa wa ukimwi sijawahi kumuona na nipo tangu 1983
Ukimwi nao ni sintofahamu nyingine,sijui bado upo.Ukisikiliza stories za madaktari kuhusu jinsi wanavyolazimishwa kuripoti false data unapata picha tofauti kabisa.
 
Uwezi pata haki hapa duniani mkuu,hata Mungu tunayemsema anatenda haki,ukimzingua anakukatilia mbali, jaribu kusoma maneno yake,alafu uone waliopingana nae uone walichofanywa au watakachofanywa,Sembuse mwanadamu ambaye si mkamilifu;ishi kwa kufuata sheria na taratibu tulizojiwekea,hautaona usumbufu.
 
Wewe unashindwa kumuelewa jamaa.Anachosema ni kwamba,chanjo kazi yake ni kinga,sasa imekuwaje kachanjwa full mpaka booster bado kapata Corona?Hili ndilo swali lake.Kama una jibu mpe,kama huna come back to me,I will provide the answer.
 
Magufuli alisisitiza tuombe kwa mungu na kama ametupangia kufa kwa Corona, tutskufa tu[emoji23][emoji23],ulikua uamzi wa kijasiri kweri kweri[emoji847][emoji847]

Hata mbuzi, ndege na wanyama wa porini nao si wanaomba Mungu daily kwamba kama kufa watakufa tu.

Uamuzi wa kipumbafu kweli kweli.

Kama vipi si mahospilali yafungwe basi tuwekeze kwenye kuomba tu, kwani kama kufa si tutakufa tu?

Tofauti hapo ni nini?
 
Hayo ya sabaya ni mada nyingine.
Ila kwenye Corona "magufuli is the best"
Unataka kusema nini? The best wa kuficha takwimu na kuacha watu wafe bila hatua zozote? Na yeye mwenyewe kafia hiyo hiyo, na unamwona "the best"! Watanzania tupo nyuma sana kifikra.
 
Wewe unashindwa kumuelewa jamaa.Anachosema ni kwambaa,chanjo kazi take ni kings,sasa imekuwaje kachanjwa full mpaka booster bado kapata Corona?Hill ndilo swali lake.Kama una jibu mpe,kama huna come back to me,I will provide the answer.

Umeambiwa chanjo si warranty ya kutokuugua.

Ipo tofauti ya magonjwa na ndiyo maana mengine kama malaria hata kupata chanjo tu imekuwa vigumu.

Kigezo kikubwa kikiwa ni muda gani kumbukumbu za taarifa za chanjo (kinga yaani antibodies) zinaweza kudumu mwilini.

Chanjo zinauandaa mwili kupambana na ugonjwa wala si kuwa chanjo yenyewe ndiyo inapambana na ugonjwa.

Kipi hapo usichoelewa kuwa kwanini mtu aliyechanjwa anaweza kuugua akaona au hata akafa ila anayo nafasi nzuri zaidi ya kupambana kuliko aliyechanjwa?!
 
Hata kama imemuondoa kama unavyoamini si ajabu ndio maana tumeshuhudia watu wengi tu waliyokuwa wanazingatia kujikinga na corona ila bado corona ndio ikawa ndio sababu za vifo vyao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…