#COVID19 Hayati Magufuli alificha taarifa ya Vifo vya Corona at our Risk

#COVID19 Hayati Magufuli alificha taarifa ya Vifo vya Corona at our Risk

Ubinafsi mkubwa. Unategemea walioguswa na udhwalimu huu wamshangilie mwuaji wao kuwa ni shujaa?

Unajua kuna familia zimeachwa yatima kwenye dhuluma hizi. Unajua kuna watu wamebakia vilema hawawezi kujimudu tena nk kwenye dhuluma hizi. Wewe unaona sawa?!

Mafikara yako ni kama binadamu wengine jweli?

Unajua kina Ben, Lijenje, Azory na wote walikuwa na dependants wakiwategemea mno?

Ilikuwa muhimu mkaangaliwa vinasaba wandugu. Something is not right.

Yawezekana tunashughulika na wala watu!
Kuna watu wanakufa kila siku na kuacha wategemezi na Maisha yanaendelea Dunia iko hivo,na kila kifo kinasababu zake, mwingine anakufa akiwa usingizini, mwingine anakufa kwa ajali, mwingine ugonjwa,tarehe ya kufa ikifika unaondoka tu.Alafu vingine mnamsingizia Magufuri tu huyo Azory na Lijenje walikuwa na athali gani kwa utawala wa Magufuri mpaka kuuwawa na utawala Wake?
 
Kwenye barabara Kikwete ndiye alijenga kilomita nyingi kuliko za wengine wote ukiziunganisha pamoja.
Msimamizi mkuu alikuwa wa Wizara ya Ujenzi akiwa Dkt John Pombe Magufuli, ndio maana JK alikuwa anamuogopa sana JPM, maana alijua akileta fyoko fyoko tu na yeye anaweza kushughulikiwa accordingly.
 
Kuna watu wanakufa kila siku na kuacha wategemezi na Maisha yanaendelea Dunia iko hivo,na kila kifo kinasababu zake, mwingine anakufa akiwa usingizini, mwingine anakufa kwa ajali, mwingine ugonjwa,tarehe ya kufa ikifika unaondoka tu.Alafu vingine mnamsingizia Magufuri tu huyo Azory na Lijenje walikuwa na athali gani kwa utawala wa Magufuri mpaka kuuwawa na utawala Wake?

Tatizo si kufa bali kuuwawa. Ndiyo maana kumwajibisha mwuaji ni jukumu takatifu.

Mkuki kwa nguruwe kwa binadamu mchungu. Unasikika kuwa kupotea kwa hawa haikuhusu. Hilo ni kwako. Lakini je umewafikiria linalowahusu?

Ndiyo maana tunamhoji aliyekuwa na dhamana yote ya kuhakikisha usalama wa maisha yao.

Ndiyo maana wewe na mimi ni sahihi kupaza sauti, watwambie tulio hapa dhamana walipo Moses Lijenje, Azory Ben na wote waliopotea.

Wewe huoni hivyo? Au kwa vile si nduguzo tuache tu wafilie mbali?
 
You seem to lack internal coordination. Very poor IQ.

Hukumbuki ulichosema a minute ago!

Uko kilabu gani hapo?
Sijawahi kuona bandiko lako hata moja JF ni comments tu,tena za kijinga.Does that make you a person of high IQ?You be the judge.Worse still you are being used by the Deep State kama agent,does that make you a person with a high IQ,again you been the judge.Kwa taarifa yako kwa kuwa umenichokoza nitakuambia my qualifications.Mimi nina MSc.ya Microbiology with specialization in Virology, ambayo nimeipata Agricultural University of Norway.Baada ya kufanya research kwa miaka mitatu Upsala University ambayo ilikuwa a collaboration between Upsala University na Agricultural University of Norway nilikuwa awarded a PhD.

Anyway nirudie tena,wewe ni wa ku-ignore tu,wewe ni ka-dumper ka CIA.
 
Faida hizo unazoziongelea ni zipi?

Hapa chini kuna malaki kwa maelfu waliokufa.

#COVID19 - Kwa mujibu wa Zitto Kabwe, Tunapoteza watu kwa kiwango kikubwa kutokana na Corona

Bado WHO wanasema cases 6 out of 7 hazitambuliwi leo Afrika. Sembuse wakati huo na takwimu kutokulewa rasmi?
lakini tangu chanjo zimekuja sijawaona hawa wa dizaini hii wakiipongeza serikali, wangekuwa wanamaanisha wanachokisema wangejitokeza kupongeza hatua tuliyofikia ila mpaka sasa wapo kimya nahisi walikuwa wanaichukulia kama kiki ya kisiasa tu walipoona imekwisha tumika wameingia chimbo wanasubiri kiki ingine, nahisi tu, ni hisia tu...
 
Bila kujali walifanya upuuzi au la lakini kila sehemu watu walikufa kwa COVID-19[emoji3083][emoji40] tena pengine zaidi ya Tanzania

Je huko unakosema walipuuzia?? Then leta takwimu za huko na za Tz kuthibitisha kuwa huko unasema walikufa wengi kuliko Tz...
 
Hauna proof kama JPM alikufa kwa Covid hivyo tulia tu.

Alaf si kila anayekufa amekufa na Covid, ujio wa Covid uliweka marufuku ya kufa kwa vifo vya sababu zingine?
After all hata wewe unayeona ni mwerevu utakufa tu

Nimekuuliza una uhakika gani sina proof? Je wewe una proof hakufa na covid? Una proof ya kilichomfyeka...!?
Then wapi nimesema wote wanaokufa ni Covid? Then nimesema wapi kuwa sitakufa...!? Akili zako zinaonekana zimejaa ugoro tu!
 
Sijawahi kuona bandiko lako hata moja JF ni comments tu,tena za kijinga.Does that make you a person of high IQ?You be the judge.Worse still you are being used by the Deep State kama agent,does that make you a person with a high IQ,again you been the judge.Kwa taarifa yako kwa kuwa umenichokoza nitakuambia my qualifications.Mimi nina MSc.ya Microbiology with specialization in Virology, ambayo nimeipata Agricultural University of Norway.Baada ya kufanya research kwa miaka mitatu Upsala University ambayo ilikuwa a collaboration between Upsala University na Agricultural University of Norway nilikuwa awarded a PhD.

Anyway nirudie tena,wewe ni wa ku-ignore tu,wewe ni ka-dumper ka CIA.

Hujaona bandiko langu ila ni comments tu 😁😁.

Unajua hata unaongea nini?

Hiiiiii bagosha!

Ama kweli hujui hata tofauti maneno "bandiko" na "comments" unayoyatumia wewe mwenyewe?!

Kwamba ulikuwa awarded Ph.D? Hiyo si ya kwako? Nani kakwambia kuna mashindano ya CV hapa? Au umesikia kunatafutwa employment hapa?

The rest, you can honestly tell it to the birds.

Ninakazia:

Hiiiiii bagosha!
 
Sawa kulikuwa na Covid wakati wa JPM ulitaka afanyeje?
Waliofanya tofauti na JPM kama Kenya, Uganda na nchi zingine walifanikiwa kiasi gani kumzidi JPM kwenye mapambano dhidi ya Covid?

JPM alijua kuna Covid lakini alijua akiwatia hofu wananchi hofu ingewamaliza, alijua kabisa lock down sio suluhisho ndio maana hata nchi zilizowekwa lock down bado watu walikufa sana na saiv wamekuja kugundua JPM alikuwa sahihi kutoweka lock down
Kwani saizi kuna lockdown? Hofu ya nini ugonjwa si ni ugonjwa? Swala ni kuwa muwazi Ili usiumbuliwe na kifo.
 
Msimamizi mkuu alikuwa wa Wizara ya Ujenzi akiwa Dkt John Pombe Magufuli, ndio maana JK alikuwa anamuogopa sana JPM, maana alijua akileta fyoko fyoko tu na yeye anaweza kushughulikiwa accordingly.
Jogoo la shamba haliwiki mjini, roho yake mbaya imemrudia mwenyewe.
 
lakini tangu chanjo zimekuja sijawaona hawa wa dizaini hii wakiipongeza serikali, wangekuwa wanamaanisha wanachokisema wangejitokeza kupongeza hatua tuliyofikia ila mpaka sasa wapo kimya nahisi walikuwa wanaichukulia kama kiki ya kisiasa tu walipoona imekwisha tumika wameingia chimbo wanasubiri kiki ingine, nahisi tu, ni hisia tu...

Hizi ni baadhi ya nyuzi zetu JF baada ya awamu ya tano kuhusiana na ugonjwa huu:

1.Yanayotukonga nyoyo zetu kutoka kwa Rais Samia Suluhu

2.Corona: EU Yafungua Milango kwa Wageni hali Inapotengamaa

3.Chanjo ni dhidi ya Waafrika? Namba Hazidanganyi!

4.Kwanini kama Taifa Corona ni tishio kubwa?

5.Corona: Kama Taifa, inafurahisha Busara inapoendelea kutamalaki

Hisia zako zina makengeza mkuu?

Si mbaya kujifunza ku search. Itakusaidia kuacha kuandika unaoweza kuonekana kuwa ni utopolo.

Ziko nyingi za kumwaga.

Hiiiiii bagosha!
 
Salim Ahmed Salim foundation imetoa mchango wa 100m/- MUHAS kuunga mkono jitihada dhidi ya UVIKO-19.

Hatua ya kupongezwa kabisa yenye kustahili kuungwa mkono bila kujali nani haoni umuhimu huo.

Hata hivyo wakfu huo wamesema walisukumwa kutoa pesa hizo katika kuyaenzi maisha ya marehemu mke wa Waziri Mkuu mstaafu huyu, ambaye alifariki 20 Oct 2020 kwa ugonjwa hatari wa UVIKO.

Hayati Magufuli kwa wakati huo Rais wa JMT kumbe alijua akamuombea ila akaendelea kudai hakukuwa na Corona nchini.

Roho ngumu kabisa za binadamu zenye kustahili kuangaliwa vinasaba vyake.
Hakuna covid 19 uswahilini,tuondoleeni upuuzi
 
Mbona unanipa kimabavu brooo, wewe baki nacho tuu, ila ukikwama nacho omba msaada usaidiwe.

Kiswahili si mali ya Chatto

IMG_20211022_205850_201.jpg

Waachia vipi usichokuwa nacho?

Hiiiiii bagosha!
 
Back
Top Bottom