Hayati Magufuli alijenga vituo vya afya 44 kwa miaka mitatu, Rais Samia anajenga 220 kwa miezi mitatu

Hivi hawa marais ni mafundi ujenzi? Sikujua hilo!
 
Kuna mtu alikuwa anajenga vituo vya afya kwa kupiga makelele ya kujisifia.
 
Mleta mada umetumwa kuja kuhalalisha tozo.

Btw, tumeshakubali kwa kutokukubaliana ili maisha yaendelee.
Muhimu; msitujengee majumba na kuyabatiza ni vituo vya afya..tunataka vituo vya afya 'full equipped'.
 
Sina uhakika kama hata darasa la nne ulisoma.

Unapofanya mlinganisho weka takwimu za pande mbili; ziko wapi?

2015-2018
Dec 2018-Machi 2021 takwimu ziko wapi? Yaani ujenzi ulichanganya nchi nzima kuanzia 2019-2020 ambapo zote ulizozidai zimejengwa na mtwala wa sasa wakati zilijengwa na mtangulizi wake!!!! Mwenzie alikuwa na uhakika wa vyanzo lakini huyu wa sasa alikimbilia nje kukopa na kuomba misaa ambayo yote imebuma ndio maana kaanzisha TOZO ili angalau kujikongoja halafu wewe bila aibu unaibuka blah blah blah za alinacha!!!
 
usikute jiwe alikuwa anaficha pesa kwenye mahandaki, maana sio kwa kubania kule. Mtu anabana na bado pesa haikuonekana. Hata sababu ya kumwondosha jiwe itakuwa ni siri kubwa mno, wenyewe wanajua.
 
Ripoti za CAG jazijawahi kuwa nzuri popote maana nature ya ukaguzi wake unahitaji mrejesho Ili kuhalalisha kama kina ufisadi au laaa maana huwa ni ishu za mahesabu kutokaa sawa.

Ndio maana kesi za hivyo ni chache Sana mahakamani.
 
Ujinga wa kusoma Data.
Hujaeleza alikuta on going project ngapi
 
Uzuri hivi ni vitu tangible
 
Hivi nyinyi mtaishi kwa uongo huu hadi link?
 
Reactions: Ame
Kwa magufuli vilikuwa vinaonekana. Huku tunaelezewa tu wakati hata msingi hatujaona.
 
Eee Mwenyezi Mungu mbariki mh.Rais wetu Samia Suluhu Hassan aaamin aaaamin 🙏

Siempre JMT
Siempre SSH💪

#YetzerHaTov
#NchiKwanza
#KaziIendelee
 
😍
 
kweli vizuri tu tusisikilize ahadi hewa Tusubiri vijengwe tuonyeshwe vile pale viko tayari vimejengwa ndio tutoe pongezi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…