Hayati Magufuli alijenga vituo vya afya 44 kwa miaka mitatu, Rais Samia anajenga 220 kwa miezi mitatu

hii iD toka ime funguliwa ni habari za mama tu kwa kwenda mbele kweli kila kitabu na zama zake
wapi Lizaboni,barbosa,Magonjwa mtambuka,ussr wamepiga kelele humu za chattle wameishia kulamba mchanga badala ya teuzi
 
Ripoti za CAG jazijawahi kuwa nzuri popote maana nature ya ukaguzi wake unahitaji mrejesho Ili kuhalalisha kama kina ufisadi au laaa maana huwa ni ishu za mahesabu kutokaa sawa.

Ndio maana kesi za hivyo ni chache Sana mahakamani.
Mrejesho huwa unatakiwa kutolewa ndani ya siku 21 so msiporespond ndio anaandika kama kilivyo.

Sio hivyo tu ikifika bungeni huwa inachambuliwa na wahusika huitwa kuhojiwa sasa kama hatua hazichukuliwi huo ni udhaifu wa chama tawala na serikali.

Mfano kwenye SGR ilionekana pesa inalipwa kwa Forex rate tofauti na ile waliokubaliana mwanzoni!! Ko unakuta 200m ya leo utalipa 220m kesho ili labda upate dollar laki 1. Sasa hyo 20m inaliwa tu kifisadi!! Sasa hayo yanahitaji enquiry gani??
 
Siyo kweli. MagufuliJP amejenga vituo 400 vya afya. Hospitali 67 hiyo taarifa yako uongo
 
Acha uwongo wewe praise and worship leader, chawa pro max
Hivi kila mtu huwa ana chawa wake eeehhh??? Maana Samia hakugombea kuwa Rais isipokuwa imetokea kufa kufaana tu lakini hajakosa watu wa sifa na kumuabudu!!!!!
 
Maumivu ya tozo unayajua wewe?
 
Kama kweli mambo haya yanafanyika basi ni jambo jema sana na inapaswa ata viwango vya tozo viongezwe. Serikali ituhakikishie uwepo wa hivyo vituo kwa kututajia majina na sehemu vilipo.
 
Sawa kwa kesi ya kulipa kwa fedha za nje pengine unaambiwa tuu acha na wanaacha
 
What goes around comes around!!
Ndicho mlichokuwa mnakifanya Team Chattle enzi za Mwendazake, tulieni hivyohivyo na "Atake Asitake" wenu!!!
 



Serikali ya mama ni ya uwazi na ukweli,
Tegemea makubwa toka kwa Mama,

Tuendelee kumwombea tu mpaka hiyo 2030 tutakuwa mbali,
 
Usipende kufananisha watu... Hukuwa na ndege hata moja, hukuwa na miradi mikubwa kama ya SGR, BWAWA LA UMEME
Waliosema muda ni mwalimu mzuri kweli hawakuwa wajinga!! Leo hamtaki habari za kufananisha watu 🀣 🀣
 
Samia si mchezo, Magufuli ilikuwa kitu kidogo Radio zote TV zote mpaka wale Wapumbavu kina Masanja kutangaza kote
 
Auze ndege ajenge vituo vya afya ndege za Kazi gani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…