Hayati Magufuli alijiona kama Baba wa Taifa na next to none

Mwingine huyu alieachiwa mimba changa na Magufuli
 
Not next, Magufuli was Lucifer himself! In fact Magufuli alitenda maovu ya ajabu hadi kupelekea hata mashetani wengine walibaki midomo wazi wakimshangaa!
Asante Mungu
Alifanya nini ambacho kina kikwete hawakufanya?
 
Wewe utakuwa na Mimba ya magufuli kitu gani magufuli mnasema alifanya kina kikwete hawajafanya?
Ukiweza kuniambia walipo Ben Rabiu Saanane,Azory Gwanda na wengineo basi nitakuwa na mimba ya huyo shetani wako mjaa laana
Pia,niambie ni nani aliyewatuma wale matahira wakampiga risasi Tundu Lissu?
Kwanini kwenye utawala wake watu walikuwa wanaokotwa kwenye viroba?
Fedha za Pleabaggain alizipeka wapi?
Hapa tunamzungumzia Magufuli na siyo Kikwete,huwezi kukwepa hukumu yako mbinguni eti kwa sababu fulani hazungumziwi!
 
Marehemu asemwi kwa mabaya
Hiyo ni excuse ya kipumbavu, Hitler, Mussolini, Idd Amin and the likes kila siku wanasemwa kwa mabaya na mabaya yao yako mpaka kwenye vitabu vya rejea ili vizazi na vizazi visisahau so why Jiwe peke yake ndiyo awe excluded kwenye kutajwa mabaya yake.
Mimi nashauri atungiwe kitabu kabisa ili iwe onyo,fundisho na kuweka kumbukumbu. Narudia kusema mtu anavuna alichopanda.
 
Tatizo mnamzungumzia kuwa kafanya vitu ambavyo havikuwai kuwepo huko nyuma na ndio maana watu wanawakumbusha ya Kikwete.
 
Lissu alipanda nini hadi akavuna kupigwa zile risasi? Kwanini Mungu hakumuepusha kabisa na lile shambulizi?
 
Basi uambiwe na waliouwa enzi za tawala nyingine kama utawala WA kikwete Kwa Sababu hata Enzi za kikwete watu wengi waliumizwa Sana.yule muandishi Wa habari yupo wapi?uliza pia walioumizwa enzi za tawala zingine.unamkomalia magufuli kama unamimba yake.
 
Wanakwambia Hitler anasemwa hadi leo ila wao wao hawataki kusema maovu yaliyotokea kipindi cha Kikwete au Mkapa wao wamechagua Magufuli tu.
 
Unasema hoja ya kumshtakia kwa Mungu imekuja baada ya kifo chake ? Ama naona maandishi tofauti ?

Sent from my Pixel 3 using JamiiForums mobile app
 
Unasema hoja ya kumshtakia kwa Mungu imekuja baada ya kifo chake ? Ama naona maandishi tofauti ?

Sent from my Pixel 3 using JamiiForums mobile app
Nimeuliza kama wananchi kwa umoja wetu tulifanya nini kama jitihada za kuzuia hayo mauwaji yaliyokuwa yakiendelea ndio nikajibiwa kuwa walimshtakia Mungu na Mungu akajibu walichokiomba, binafsi sikuwa na najua hilo suala la watu kuamua kupeleka mashtaka kwa Mungu kuhusu Magufulia na kumuachia yeye ila alipokufa ndio tunasikia watu wanasema mara alidharau corona ndio imemuuwa,wengine wakisema Mungu kaamuwa kuingilia kati na wengine ndio wanadai walimshtakia Mungu hivyo kifo cha Magufuli ni majibu ya mashtaka yao kwa Mungu.
 
Ukiona mtu kafunga kibwebwe kumzungumzia magufuli halafu haongei hata kitu kimoja kizuri juu yake ujue hana tofauti na yule malaya kule facebook alianza kumtukana akazomewa hadi akazimiwa line.
Mtu unazungumzia ooh alisema watalima kwa ulimi ooh ametoka alidhani hatoki ikulu..hadi cheti feki wako wana akili wewe utakua mjinga tu. Mtu fisadi mzoea vya kunyonga hadi anafikiri ndio sahihi.
 
Tutamsema hadi asikie huko makaburini. Na kabiri lingechapwa viboko, na Serikali inajua ndo maana linalindwa. Mbona la Mkapa halilindwi kwa SMG. Magufuli anaweza fukuliwa akachomwa moto ndo maana kaburi linalindwa kwa Silaha za kivita
Mimi nadhani mkafukue tu labda bei za vyakula zitashuka!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…