Kwa maarifa yako yote na ujuzi wako wote, cha ajabu huna cha kuandikwa chochote kama unavyomwandika JPMMada ni Jiwe na Tito Magoti , haihusiani na huo ujinga ulioandika
Cha ajabu wameendelea kuwa wale wale waliokuw wakiugulia kwa sababu ya kuishi maisha ya kiuwongouwongo! JPM aliwakomeshaMsijifiche kwenye chala la "Haki" au "Demokrasia" wala "Uhuru wa Kuhoji"
Semeni Ukweli Watanzania wajue.
Magufuli alikuwa akipambana na Mashirka makubwa ya Wazungu. Big Corporations.
Zaidi ya hapo, waliokuwa na Uhasama na Magufuli walikuwa na hawa Vibaraka wa mabeberu kama kina Mbowe na Lissu. Ukitazama marafiki wao wote wa CHAMA chao, friends of Democracy and what have you ikiongozwa na yule Fashisti wa Italia, utaona kuwa wameshikwa na Fikra(Ideologies) za Kifashisti na Ukuu wa rangi ya ngozi-kama wewe unayutumia lugha zao hapa-utaona CHADEMA imeshanunulika na inasambaza Lugha za Uhasama Visasi na Vinyongo. Hulka za Wazungu
Na ndio maana wakamtuma yule Mercinery kuja kufanya waliyoyafanyam Aliongoza ujumbe wa majadiliano wa makanika.
Halikadhalika
Jenerali aliwauliza, Mlikuwa "mazuzu" mpaka mkashindwa kuhoji?
Maridhiano kwanini yafanyike nyuma ya pazia? CHADEMA mnaficha nini-manake kama mnasema haya masuala yaliyotokea wakati Serikali ikiongozwa na J.P.M yapo wazi, kwqniji msiweke yale mliyoyafanya yawe wazi. Kwanini mnataka Maridhiano yawe na Msamaha? Akuanzae si Ummalize Kwanini Maridhiano yawe na Msamaha.
Wewe endelea kuchagiza haya. Soon sumu zenu hizi zitawafikia hao wasiokuwa na akili ndio mtajua mnajua.
Uzeni sera na sio Uhasama.
Mnang'ang'ana na marehemu Magufuli yanatusaidia nini? Sisi wananchi tangazeni sera zetu kama zina tija sio kumsema sema marehemu asiyewasikia wala kujibu subirini zamu yenu pia mtaondoka dunianiIkiwa tumeingia mwezi wa 3 , ambao kwa mahesabu ya Tanzania na wanazuoni ni mwezi wa Mungu ( wenye akili wameelewa ) , tutajitahidi kuanzia leo na kuelekea mwisho kuwaletea makala za kusikitisha za uozo wa serikali ya awamu ya 5 na viongozi wake , wakiwemo waliokufa na walio hai , wakiwemo wenye madaraka hadi leo na wale ambao wako Benchi .
Tunachoahidi ni kuhakikisha kwamba kila hoja zetu zitakuwa na ushahidi uliotukuka bila longolongo yoyote , kikubwa twende na kanuni ileile ya kwamba AKUANZAE MMALIZE
Pichani ni Tito Magoti aliyetekwa na kunusurika kuuawa na utawala huo akipelekwa mahakamani , nusura yake ilitokana na makelele ya Watu kutaka apatikane akiwa hai , hii ni baada ya Mashuhuda kuona namna alivyotekwa tangu mapema kabisa , huyu aliponea tundu la sindano
View attachment 2933711
Ombi letu ni hili , kila mwenye ushahidi wa mambo yote machafu ya awamu ya 5 ajitokeze kuuleta , katika makala zetu hizi kabambe za Mwezi huu wa Mungu
NITASEMA KWELI DAIMA FITNA KWANGU MWIKO
Andiko reeeeefu lakini uchafu mtupuMsijifiche kwenye chala la "Haki" au "Demokrasia" wala "Uhuru wa Kuhoji"
Semeni Ukweli Watanzania wajue.
Magufuli alikuwa akipambana na Mashirka makubwa ya Wazungu. Big Corporations.
Zaidi ya hapo, waliokuwa na Uhasama na Magufuli walikuwa na hawa Vibaraka wa mabeberu kama kina Mbowe na Lissu. Ukitazama marafiki wao wote wa CHAMA chao, friends of Democracy and what have you ikiongozwa na yule Fashisti wa Italia, utaona kuwa wameshikwa na Fikra(Ideologies) za Kifashisti na Ukuu wa rangi ya ngozi-kama wewe unayutumia lugha zao hapa-utaona CHADEMA imeshanunulika na inasambaza Lugha za Uhasama Visasi na Vinyongo. Hulka za Wazungu
Na ndio maana wakamtuma yule Mercinery kuja kufanya waliyoyafanyam Aliongoza ujumbe wa majadiliano wa makanika.
Halikadhalika
Jenerali aliwauliza, Mlikuwa "mazuzu" mpaka mkashindwa kuhoji?
Maridhiano kwanini yafanyike nyuma ya pazia? CHADEMA mnaficha nini-manake kama mnasema haya masuala yaliyotokea wakati Serikali ikiongozwa na J.P.M yapo wazi, kwqniji msiweke yale mliyoyafanya yawe wazi. Kwanini mnataka Maridhiano yawe na Msamaha? Akuanzae si Ummalize Kwanini Maridhiano yawe na Msamaha.
Wewe endelea kuchagiza haya. Soon sumu zenu hizi zitawafikia hao wasiokuwa na akili ndio mtajua mnajua.
Uzeni sera na sio Uhasama.
upotoshaji wa aina yoyote utabainishwa kinagaubaga ili ukweli uendelee kutamalaki dhidi imotinal scripts za kutengeneza ili kuhadaa wanainchi...Ikiwa tumeingia mwezi wa 3 , ambao kwa mahesabu ya Tanzania na wanazuoni ni mwezi wa Mungu ( wenye akili wameelewa ) , tutajitahidi kuanzia leo na kuelekea mwisho kuwaletea makala za kusikitisha za uozo wa serikali ya awamu ya 5 na viongozi wake , wakiwemo waliokufa na walio hai , wakiwemo wenye madaraka hadi leo na wale ambao wako Benchi .
Tunachoahidi ni kuhakikisha kwamba kila hoja zetu zitakuwa na ushahidi uliotukuka bila longolongo yoyote , kikubwa twende na kanuni ileile ya kwamba AKUANZAE MMALIZE
Pichani ni Tito Magoti aliyetekwa na kunusurika kuuawa na utawala huo akipelekwa mahakamani , nusura yake ilitokana na makelele ya Watu kutaka apatikane akiwa hai , hii ni baada ya Mashuhuda kuona namna alivyotekwa tangu mapema kabisa , huyu aliponea tundu la sindano
View attachment 2933711
Ombi letu ni hili , kila mwenye ushahidi wa mambo yote machafu ya awamu ya 5 ajitokeze kuuleta , katika makala zetu hizi kabambe za Mwezi huu wa Mungu
NITASEMA KWELI DAIMA FITNA KWANGU MWIKO
Tunang'ang'ana na awamu ya 5 , kumbuka aliyekufa kwenye awamu ile ni mmoja tu , kibao wako haiMnang'ang'ana na marehemu Magufuli yanatusaidia nini? Sisi wananchi tangazeni sera zetu kama zina tija sio kumsema sema marehemu asiyewasikia wala kujibu subirini zamu yenu pia mtaondoka duniani
Na hicho ndicho tulichoeleza wakati tunamalizia uzi huu , ila hatutakuwa na mswalie mtume , Wallah Wabhillahupotoshaji wa aina yoyote utabainishwa kinagaubaga ili ukweli uendelee kutamalaki dhidi imotinal scripts za kutengeneza ili kuhadaa wanainchi...
na kwa Neema na Baraka za Mungu amjaalie kila moja wetu ustahumilivu, upendo na moyo wa subra katika vipindi hivi muhumu sana kiimani vya kwaresma na ramadhan...
Usinitishe. Kwani hiyo picha hapo ni ya Uzushi? Mbowe hakufikishwa Mahakamani kwa Ugaidi?Huwezi kumzushia mtu mwema kama Mbowe uongo na ukabaki salama
Kama una ujinga basi utaelimika kama una upumbavu can't help,hii mifano yote ni wajibu wa police kutolea maelezo,ni wajibu wa sitting president kulinda raia wake,mzee sumaye ni mwoga kama walivyo wengi ,tuhuma hizo zingekua msaada mkubwa kama angeziwakilisha police,kupotea kwa watanzania regardless tofauti zao za kiitikadi,bucket hii inaishia mlangoni mwa president officeUpumbavu ni kuendelea kuuliza maswali ya kijinga tu
Saa 8 kwa mjibu wa gazeti mwanahali la aliyekuwa mbunge wa Ubungo, lilisema, mara ya mwisho saa 8 kuonekana, alikuwa na mwenyekiti wenu mzee wembo, kamuulize yeye, na usisahau kumuliza pia kwamba, Chacha wangwe yuko wapi
Muulizie pia kuhusu tuhuma aliyoitoa mzee Sumaye, kuhusu kugombea uwenyekiti
Wewe binti kumbe ni mpuuzi kiasi hiki?Na hicho ndicho tulichoeleza wakati tunamalizia uzi huu , ila hatutakuwa na mswalie mtume , Wallah Wabhillah
Hayo ni matusi makubwa kwa Familia nyingi sana hapa Nchini. Viongozi wengi walikufa wakati Hayat Rais alikuwa Raisi.Tunang'ang'ana na awamu ya 5 , kumbuka aliyekufa kwenye awamu ile ni mmoja tu , kibao wako hai
upotoshaji wa aina yoyote hautaachwa utarekebishwa na kukanushwa barabara bila mbabamba....Na hicho ndicho tulichoeleza wakati tunamalizia uzi huu , ila hatutakuwa na mswalie mtume , Wallah Wabhillah
Shetani ametajwa kwenye vitabu vya Mungu tangu babu yako hajazaliwa na anaendelea kutajwa hadi leoKwa maarifa yako yote na ujuzi wako wote, cha ajabu huna cha kuandikwa chochote kama unavyomwandika JPM
Cha ajabu ni kwamba, mbali na kumsema sana JPM, cha ajabu mmeendelea kuwa wale wale mliokuwa na sifa za kijinga, wizi, ufisadi, wauza ngada, vilaza wa kununua vyeti na wanufaika kupitia watumishi hewa
Wajinga nyinyi, tulishawapuuza
mwanzo uliuliza Saa 8 yuko wapi, nikakujibu na kukuongezea kwamba, ukifika kwa Wembo, umuulize pia Chachawangwe alimpeleka wapi?Kama una ujinga basi utaelimika kama una upumbavu can't help,hii mifano yote ni wajibu wa police kutolea maelezo,ni wajibu wa sitting president kulinda raia wake,mzee sumaye ni mwoga kama walivyo wengi ,tuhuma hizo zingekua msaada mkubwa kama angeziwakilisha police,kupotea kwa watanzania regardless tofauti zao za kiitikadi,bucket hii inaishia mlangoni mwa president office
Halafu tukimaliza tunaleta miaka 20 ya uongozi wa mbowe na viongozi wenzie waliopotea wakiwa ofisini pamoja!Ikiwa tumeingia mwezi wa 3 , ambao kwa mahesabu ya Tanzania na wanazuoni ni mwezi wa Mungu ( wenye akili wameelewa ) , tutajitahidi kuanzia leo na kuelekea mwisho kuwaletea makala za kusikitisha za uozo wa serikali ya awamu ya 5 na viongozi wake , wakiwemo waliokufa na walio hai , wakiwemo wenye madaraka hadi leo na wale ambao wako Benchi .
Tunachoahidi ni kuhakikisha kwamba kila hoja zetu zitakuwa na ushahidi uliotukuka bila longolongo yoyote , kikubwa twende na kanuni ileile ya kwamba AKUANZAE MMALIZE
Pichani ni Tito Magoti aliyetekwa na kunusurika kuuawa na utawala huo akipelekwa mahakamani , nusura yake ilitokana na makelele ya Watu kutaka apatikane akiwa hai , hii ni baada ya Mashuhuda kuona namna alivyotekwa tangu mapema kabisa , huyu aliponea tundu la sindano
View attachment 2933711
Ombi letu ni hili , kila mwenye ushahidi wa mambo yote machafu ya awamu ya 5 ajitokeze kuuleta , katika makala zetu hizi kabambe za Mwezi huu wa Mungu , HATUTAKUWA NA MSWALIE MTUME .
NITASEMA KWELI DAIMA FITNA KWANGU MWIKO
Ndio tunachotaka hicho , sisi tumeahidi ukweli mtupu , ukiweza kuukanusha kwa ushahidi kanushaupotoshaji wa aina yoyote hautaachwa utarekebishwa na kukanushwa barabara bila mbabamba....
Kuna wakati kwa sababu ya ujinga kujaa kichwani, kina sisi tunakuiteni ni wapuuzi tuShetani ametajwa kwenye vitabu vya Mungu tangu babu yako hajazaliwa na anaendelea kutajwa hadi leo
Ukiweza kuweka ushahidi mwanana na ukiweka na sababu za Mkapa kumuchia kwa msamaha wa Rais Dereva Wa Chacha Wangwe aliyehukumiwa kwa kusababisha kifo basi tuko tayari kuchangia , Kumbuka makala za uharamia wa awamu ya 5 ndio kwanza zimeanza leoHalafu tukimaliza tunaleta miaka 20 ya uongozi wa mbowe na viongozi wenzie waliopotea wakiwa ofisini pamoja!