Hayati Magufuli alikamata kila mwenye akili ya kuhoji, alitaka kuongoza nchi ya Wajinga tu, Hata hivyo ilishindikana

Kuna wakati kwa sababu ya ujinga kujaa kichwani, kina sisi tunakuiteni ni wapuuzi tu

Wewe binti kumbe ni mpuuzi tupu, huna chochote ulichowahi kuisaidia hii nchi, wewe utaandikwa lini kama unavyoendelea kusherehesha jina la Magufuli?
Mkuu mada umeielewa , jielekeze kwenye mada tu , rudia kusoma pale juu
 
Ukiweza kuweka ushahidi mwanana na ukiweka na sababu za Mkapa kumuchia kwa msamaha wa Rais Dereva Wa Chacha Wangwe aliyehukumiwa kwa kusababisha kifo basi tuko tayari kuchangia , Kumbuka makala za uharamia wa awamu ya 5 ndio kwanza zimeanza leo
M/kiti wako kwa sababu ya maridhiano na kwa sababu ya huruma ya kiongozi wa nchi, saa hii angekuwa ananyea ndoo kwa ugaidi
 
Shekhe Abubakar ameshakufuturu kwa style zote sasa unakuja kucheua alichokumwagia mana ulimpa blow job.
 
Ukiweza kuweka ushahidi mwanana na ukiweka na sababu za Mkapa kumuchia kwa msamaha wa Rais Dereva Wa Chacha Wangwe aliyehukumiwa kwa kusababisha kifo basi tuko tayari kuchangia , Kumbuka makala za uharamia wa awamu ya 5 ndio kwanza zimeanza leo
Kumbuka siku ya mazishi viongozi wa chadema walikimbizwa na mapanga hebu elezea ule mkasa!
 
Ni kweli Jiwe hayupo na watu walimlilia na kuzimia

Lakini Bashiru na Polepole bado wapo
 
Kumbuka siku ya mazishi viongozi wa chadema walikimbizwa na mapanga hebu elezea ule mkasa!
Mwandishi wa ITV George Malato alifungiwa kwa uongo ule na akapotea mazima kwa laana hadi leo

Umemsikia tena ? usicheze na Mungu wewe !
 
Erythrocyte,
Wewe ni libwabwa, yaani ni mjinga.. kujadili hayo ili yakusaidie Nini??

Ungesubiri miaka ya 2060 kama utafika ili uwadanganye wajukuu zako.
 
Erythrocyte,
Wewe ni libwabwa, yaani ni mjinga.. kujadili hayo ili yakusaidie Nini??

Ungesubiri miaka ya 2060 kama utafika ili uwadanganye wajukuu zako.
Usimalize matusi yote , kuna makala 20 kama hii zinakuja kuanzia kesho , sasa ukitukana matusi yote huko mbele utatukana nini ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…