Hayati Magufuli alikamata kila mwenye akili ya kuhoji, alitaka kuongoza nchi ya Wajinga tu, Hata hivyo ilishindikana

Kachambe kwanza naona nyuma Kuna uharo...
 
Maisha ni Hadithi; Chagua Maisha yako kuwa Hadithi nzuri" Marehemu A.H. Mwinyi
Huyo huyo Mwendazake Ali Hassan Mwinyi alimwaga misifa kibao pale msibani.

Alielezea kwa Ufasaha Hadithi ya Hayat Rais au Alikuwa mnafiki? Unaeza thibitisha unafiki wake?

Alisema kati ya Maraisi wote combined, Magufuli tu ndie aliyeweza kufanya maamuzi makubwa na magumu.

Kwamba ndie aliye kuwa na Uthubutu na Ujeuri. Uthubutu na Ujeuri huo ndio unapigwa vita na sio Magufuli per se



Tuwe wakweli....Wazungu ndio walimchukia sana tu kwa Upana mrefu, Ila walikuta Jiwe ni Jiwe kweli kweli na alishajitoa kafara.
Na hakuficha haya na kutamka wazi kuwa anafanya hivyo.

Sasa leo hii kwanini hawa kina Erythrocyte na genge lao na vi Bots vyao humu hawasemi hayo na badala yake wanatafuta Uhasama wa Watanzania kuwachukia Watanzania wenzao.

Ndio maana kwenye lugha zao za kumkanda, scripted messaging wanamuondoa utu. Akwilina kapigwa risasi au wanaleta picha Tundu Lissu akichechemea au picha ya vyuma vyake vile miguuni, yote hayo kuamsha hisia tu kama picha na Ujumbe(mada hii) wa huyu wakala na kibaraka wa Wazungu Erythrocyte

Wanatukana kiasi kwamba ukiwa na nafsi ambayo ndio inaanza kukomaa , (ya Ujanani)Unaeza kukata tamaa kwa kuogopa haya matusi.

No No No. Magulification has to go on.

Hawawezi kutuua wote

...Wanakandia sera zake.

Hatahivyo ukiwauliza sera gani Wanasema Ben saanane kapotea. Tundu Lissu kapigwa risasi, Ni Ben saanane na Tundu L peke yake waliokuwa wakihoji?

Tutaeleza Hadithi yake.

Ni mkombozi wa Fikra. Na alikuwa kila siku akimaka. Tubadilishe mindset. Hawa sio marafiki zetu.
 
Chomoa tu man kma inauma.
 
Ushawahi peleka ushahidi wako mahakamani?
 
Mimi nasubilia kuchangia Sana ile mada Jiwe alitaka kumuua Mh Lissu bahati mbaya sir God alimnyonga huwu mwezi huwu,hivi mkuu Erythrocyte hiyi mada utaileta lini?? Maana nimwiba Sana kwa washabiki wa Katili Jiwe
 
Niko ndani ya mada,

Mbowe alishauri wote wasiochanja wapingwe pingu ,wadungwe Chanjo ya CORONA Kwa nguvu,

Magu alikuwa sahihi katika Hilo, na alifanikiwa sana.

Mungu ambariki Nabii Magufuli huko aliko!!
Mleta mada katoa angalizo kuwa ukileta hoja humu njoo na ushahidi. Tunaomba ushahidi please
 
Katika nyuzi 20 tutakazoweka hapa kuanzia kesho utaelewa unyama wa jiwe , weka bando tu , tutakuwekea ushahidi mwanana mno
 
Mimi nasubilia kuchangia Sana ile madam Jiwe alitaka kumuua Mh Lissu bahati mbaya sir God alimnyonga huwu mwezi huwu,hivi mkuu Erythrocyte hiyi mada utaileta lini?? Maana nimwiba Sana kwa washabiki wa Katili Jiwe
Usiondoke JF Kwenye mwezi huu wa Mungu
 
Sasa hivi una uhuru wa kuhoji ila hauna uhakika kama ukirudi nyumbani utakuta umeme upo na maji yapo. Muda huo huo rais anakuambia kuna mtandao unatafuna pesa za serikali ila hana uwezo wa kuudhibiti. Demokrasia hoyee
 
Sasa hivi una uhuru wa kuhoji ila hauna uhakika kama ukirudi nyumbani utakuta umeme upo na maji yapo. Muda huo huo rais anakuambia kuna mtandao unatafuna pesa za serikali ila hana uwezo wa kuudhibiti. Demokrasia hoyee
Chadema imeturudisha nyuma sana, uchaguzi ujao tuipige chini chadema na serikali yake yote!
 
Hamuachi huu us.....e kila kukicha..mtu yupo kaburin ila bado tu...watu wa hovyo kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…