Hayati Magufuli alikosea kwenye mambo mengi mno. Kubwa mojawapo ni kumchagua huyu mtu

Si mlidai CCM sijui unaandaa viongozi mara sijui Marais huandaliwa tokea mapema, vipi Leo mnakiri kuwa hamkumuandaa Samia?

CCM Is overrated
 
Sio kweli, hakuna aliposema wazee walichagua Samia. Yeye alisema "ukishindanishwa na mwanamke huwezi kushinda". But it's obvious Mwinyi alikua reserved amrithi Shein that's all ila hakuna popote alisema hayo maneno unayomlisha.
Your browser is not able to display this video.
 
Si mlidai CCM sijui unaandaa viongozi mara sijui Marais huandaliwa tokea mapema, vipi Leo mnakiri kuwa hamkumuandaa Samia?

CCM Is overrated
Ukiiangalia video utaelewa kabisa Mwinyi ndo alikuwa namba moja ila chama "wazee" wakamchukua Samia kwa kigezo cha jinsia na sio uwezo
 
Mwanzoni nilidhani ni upinzani tu wa uwekezaji bandarini kwa kigezo cha mkataba.

Lakini Hamza Johari na Dr Possi waliuelezea kifungu kwa kifungu na nilimsikiliza na nikamuoja live kwenye TV wasiwasi wote ukanitoka.

Kila nikisikia hoja mpya zinazozaliwa naona kinachopingwa ni asili ya mwekezaji mwenyewe na sio mkataba, Mwabukusi na hao wachungaji wote wamefikia hatua ya kujiita watanganyika kisa ni mkataba.

Hii haihitaji akili ya mwanasayansi mvumbua roketi kuweza kuzisoma hizi akili ambazo kwanza kwa muda mrefu zilikuwa zinamchukia Rais Samia na muda huu ndio zimeupata wa kuonyesha zinavyomchukia na pili zinautumia uwekezaji wake kama nafasi ya kuweka chuki hadharani!.

Tuwe makini sana Tanzania ni moja tu, na awe ni mtu mwenye ushujaa ulioshiba upumbavu atakayependa kwa dhati kabisa kutoka moyoni mwake kuiona nchi hii inavunjika vipande vipande.

Kule Kenya kuna wasomi na wastaarabu kuliko Tanzania, tuwe makini sana mwelekeo wetu wa kitaifa usifikie hatua ya kufanana na wao.

Tulitakiwa tujikite katika kuifikiria geographical advantage tuliyonayo kwa sasa na sio sisi kuwa kama wapumbavu na kuanza kubaguana kwa kuitana yule mtanganyika na yule mbara, pathetic mindset.

Mkataba wa DPW hauna matatizo yoyote kwani umeshafafanuliwa kwa kina. Faida za uwekezaji ni nyingi kwa wafanya biashara sio kwa hawa wachungaji wanaoshinda makanisani na kondoo zao pamoja na masheikh wanaoshinda misikitini na waumini.

Faida ni kuwezesha usimamizi mzima wa TPA, kuondoa foleni na urasimu unaotengeneza kila aina ya rushwa.

Faida nyinfgine ni usomeshaji wa wataalam wetu wa masuala ya bandari, na hapo sijaongelea ongezeko la makusanyo ya TRA.

Mwendeshaji bandari akiwa na uzoefu wa kazi hata vifaa kama cranes vinapoharibika anaweza kuwasiliana na makampuni ya watengenezaji kwa haraka zaidi kuliko namna TPA wenyewe wanavyoweza kusogezewa miezi ya mbali zile order zao.

Pia ni faida kwa nchi kwani DPW ana mali huku Congo na Rwanda ambazo zinahitaji pia kutumia SGR yetu. End to end logistic chain ndio maana ya bandari kisasa.

Hakutakuwa na masuala ya upitishaji wa madawa ya kulevya unaowezeshwa na mifumo kutokuwa ya kisasa zaidi.

Ni suala jema, na litapiganiwa mpaka litimie bila ya kusikiliza hizi kelele za mawakala wa wapigaji na mafisadi.
 
Na ww pia ni mtanzania? Umesoma ule mkataba au na wewe umeishia kusikia wakiufafanua kimagumashi.
 
Hebu taja mmiliki wa TICTS, We kweli una matatizo au mnadhani mkipitia kwenye dini ndio mtashinda hii vita.
Hunchingson ya Korea ambao ni wakristo wenzangu. DPW mvaa kanzu Tanzania ndio hatumtaki.

Mwarabu wa kisasa hana muda wa kuwa karibu na biashara zake, anaajiri wazungu kumuendeshea kila kitu.

Ni sawa na Man City ameajiriwa Pep Guardiola na wataalam wengi ambao ni wazungu.

Tuna akili za kitumwa sana za kudhani mwarabu anarudi kutufunga minyororo shingoni na kutuchapa bakora, hii ni dunia ya kidigitali hutamuona mwarabu hata siku moja pale bandarini.

Utakutana na wazungu wachache wenye utaalam wa fani mbalimbali, huyo mchungaji anasambaza chuki na ubaguzi sababu kubwa ni kukosa exposure, kukosa elimu kunamtesa akili.
 
Siku hizi ikulu watu wanaenda tu muda wowote ni wewe tu, ili mradi usiandamane tu
 
Mamako ndio hana uwezo, ameshindwa kukulea wewe ndio angeweza nini. Samia ni zaidi ya mwanaume, she is very smart, amefanya mambo makubwa sana ndani ya miaka 2 tu. Ni wivu na fitna zinawasumbua,
 
Na waliotaka kujitenga na Tanganyika na waliokuwa na chuki dhidi ya Tanganyika yupo huyo huyo, kama alivyokuwa bosi wake na Mentor wake mkuu Amana Karume.
Yaani huyooooooo, ndio huyo uliemfikiri na wewe!. Sema hamumjui tu
Mmeingia cha kike Tanganyika
 


President John Magufuli once admitted that he wanted Dr. Hussein Mwinyi to be his Vice President but CCM ' the system' wanted Samia Hassan.
 
Hata hueleweki inaonyesha umeishia form 2
 
Mfano wako ni wa kuunga unga unachuki tu hapa haona fact zozote
 
Ubunifu ndo kwenda kusaini mkataba wa hovyo bila hata kushirikisha mwanasheria mkuu na serikali ,na ndo maana wwnahaha kila kona kumuabisha na aibu huku wakijichanganya wenyewe
 
Onesha huko kukosa uwezo kwa mtu ambaye ndani ya miezi sita iliyopita kavutia 5tr kwenye FDI,kaajiri wengi tangu aingie,miaka miwili kaongeza zaidi ya tr 20 kwenye uchumi,Jenga vyumba vingi vya madarasa kuliko Nyerere,mwinyi na mkapa kwa pamoja nk
Kukosa uwezo ni pamoja na kusiani mkataba kama balazo wa nyumba kumi , bila kushirikisha mwanasheria mkuu ,na baraza la mawaziri ,.na baadae wanataka hao watu wamsaidie ,na ndio maana kila mtu anamtetea hovyo hovyo
 
Kukosa uwezo ni pamoja na kusiani mkataba kama balazo wa nyumba kumi , bila kushirikisha mwanasheria mkuu ,na baraza la mawaziri ,.na baadae wanataka hao watu wamsaidie ,na ndio maana kila mtu anamtetea hovyo hovyo
Mkataba gani uliosainiwa bila mwanasheria mkuu?..ambao pia ni WA hovyohovyo
 
Hata huyu JPM kupata huo uraisi ilikua bahati nasibu tu using kua ugomvi kati ya Lowassa na marehemu Membe JPM angekufa kama Msukuma wa kawaida.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…