Hayati Magufuli alikosea kwenye mambo mengi mno. Kubwa mojawapo ni kumchagua huyu mtu

Mtu huyo ni Rais Samia!

Nashawishika kabisa kuamini kuwa huyu Samia alichaguliwa kutokana na jinsia yake tu [kama ilivyojuwa kwa Kamala Harris…the word salad queen…kule Marekani].

Kamala yeye alichaguliwa na Biden kuwa mgombea mwenza kwa sababu ni mwanamke mweusi [ingawa kiuhalisia ni chotara wa Kihindi na Kijamaica].

Kamala ni mweupe kabisa. Yaani hovyo to the nth degree. Anaongeaga mashudu tu [word salads].

Hana kabisa uwezo wa kuongoza. Yeye ni kucheka cheka tu na kuongea mambo yasiyoeleweka.

Ukimwangalia Biden, unaona kabisa jamaa anapaswa awe nyumbani. Kazi ya urais wa Marekani kwa sasa haiwezi.

He is a creepy old guy. Hebu angalia hapa

Hivi alikuwa anafanya nini hapo kwa hako katoto? Na hiyo ni wiki iliyopita alipokuwa Finland baada ya kutoka Lithuania kwenye mkutano wa NATO.

Biden muda wowote anaondoka. Iwe kwa kujiuzulu, kuamua kutogombea tena muhula wa pili, au hata kufa [ingawa kifo hakina mwenyewe].

Wazo la Kamala kuja kuwa Rais wa Marekani endapo Biden ataondoka, linatisha watu wengi sana.

Haya, tuje kwa huyu wa kwetu hapa.

Huyu naye alichaguliwa kwa sababu ya identity politics tu. Ni mwanamke na ni Mzanzibari.

Kwa ninayoyaona, ni mtu asiye na uwezo wa kiuongozi ngazi ya Rais wa nchi.

Hakuchaguliwa kutokana na sifa zake za kiuongozi.

Inavyoonekana Magufuli alikuwa anataka sifa ya kuwa na mgombea wa kwanza wa CCM kumchagua mwanamke kuwa mgombea mwenza wake.

Haiwezekani kabisa kuwa Samia alichaguliwa kutokana na sifa zake kiutendaji [kwa sababu hana].

Jahazi limeshamshinda hivi sasa. Kabaki kutoa vitisho na kutumia dola kukabiliana na wanaompinga.

Na ukiongeza na inferiority complex aliyonayo kutokana na jinsia yake, ndo kabisa anakuwa paranoid kwamba kila anayempinga, anafanya hivyo kwa kusukumwa na chuki dhidi yake kwa sababu yeye ni mwanamke!

Rais Magufuli hakuwa kiongozi mzuri. Nilishasema mara nyingi tu kuwa yeye alikuwa msimamizi/ mnyapara mzuri.

Yeye mpe kazi au mradi ausimamie, halafu umpe mamlaka ya kutosha kuweza kufanya maamuzi ndani ya ukomo fulani, utampenda maana hakuwa wa mchezo mchezo.

Sidhani kabisa kuwa Magufuli aliwaza kuhusu yeye kuishia njiani na kumwacha Samia ndo awe Rais.

Nadhani alidhani kuwa atamaliza vipindi vyote viwili na kustaafu kama walivyofanya waliomtangulia.

Lakini haikuwa hivyo. Tumeachiwa huyu Samia.

Makamu wa Rais, Dkt. Mpango, kwa mtazamo wangu, ni bora mara 100 kuliko Samia [I got bars too 😀].

asante sana kwa kuonyesha hisia zako juu ya Raisi Samiha Suluhu.

Kwa kweli Magu hakumpenda kabisa Mama lakini kama imeandikwa kuwa, litakuwa tu. Magu aliwatukana wapemba hadi mama akakasirika. Akamjibu Magu. Magu akarusha kofi, yule body guard wa mama akaushika mkono wa Magu kabla kufika usoni. Magu alishituka sana. Usalama wa taifa wakamchukuwa Magu kando na kumpumzisha. Yule binti bado yupo na mama na ndio mlinzi wake namba moja. Baada ya kisa hicho, wazee wastaafu (ALI H MWINYI) wakaingiliya kati. Na ndipo mahusiano yakazidi kuwa tete. Viongozi wenu waliokuwepo zanzibar waliiba Dola millioni 75 za mtoto wa mfalme wa Qatar.

Magu alikuja akakaa siku tatu anaongea na watu wake namna gani fedha zimepotea. Walikula Dr. Shein na watoto wake, Sefu Ali Iddi(mkongo), na makada kadha waCCM. Baada ya hapo, Haji kheri amejenga hoteli kumi na moja za kitalii. Wote hawa ni wapenzi wa Magu hatujui katika wizi huu na mahoteli haya , share ya Magu ni kiasi gani.

Paul Makonda alikuwa akitumiwa kufanya kazi ya bwana mkubwa mpaka siku alipogusa sehemu isioguswa, uhusiano ukapunguwa. Kweli ukiwa hutaki kufuata amri ya Bwana Magu utakuwa mbaya. Makonda alikuja zanzibar baada ya wafanya biashara wawili kutuhumiwa kuiba madini. Basi katika makubaliano, alitumwa Makonda kuja zanzibar kuchukuwa dola zaidi ya elfu ishirini. Hiyo ndio hukumu ya MAGU.

Kama ni wizi , makada wote wa CCM ni wezi.

Mama hakukubaliana na mambo mengine ya Magu ndio maana akawa mbaya. Wizi wa maduka ya dhahabu, forex kufungiwaetc etc zote wakati wa Magu. Mimi nawashangaa sana wanao msifia Magu kuwa kaleta maendeleo. Mikataba aliyositisha imetugharimu mara kadhaa kwa kuwa hakutumia ujasiri.

Kiburi cha Magu kilipita mipaka. Halafu, kama sisi wazenji tumsifu Magu kwa kitu gani wakati alituletea jeshi kutuuwa wakati wa kupiga kura. Hadi leo wameshindwa hata kuomba samahani kwa vitendo vyao. Mwinyi ambae yupo pale kwa nguvu za Maguhawezi hata kupata 5% ya kura za wazenji ndio wakauwa watu ovyo.

Sisi tuna kitu gani kizuri cha kumsemea MAGU na HUSSEIN wake?. Mama ameonyesha ujasiri na uungwana kututuoa kwenye mkwamo..
 
Uzi mwingine wa chuki unaokosa mantiki yenye kuweza kuingia kichwani. Samia ni sehemu ya serikali tangu miaka hiyo 2000.

Na kwa nchi hizi rais hawi yule anayeongelewa sana midomoni mwa watu. Lowassa alipambana kila alivyoweza akaja kuukosa urais.

January Makamba anapambana sana aje kuwa rais na hatakuwa rais huko tuendako.

Ukiukamia sana urais huwa huupati, unaishi kutengeneza makundi ya majungu na kuwa na wapambe wengi kama huyu mleta mada lakini ikulu huwezi kufika.

Tunakuwa na marais ambao sio maarufu midomoni mwa watu na ni kwa kheri ya taifa zima. Mungu anatuokoa na tabia nyingi za ajabu za hao wanaoutafuta urais kwa udi na uvumba.

Steven,

Unasahau hata historia ya karibu tu!

Ukiukamia sana urais huwa huupati, unaishi kutengeneza makundi ya majungu na kuwa na wapambe wengi kama huyu mleta mada lakini ikulu huwezi kufika.

Kuna mtu alikukamia urais Kama Kikwete!

Uchaguzi wa Samia kuwa mgombea mwenza ni ule ule uzoefu wa kijinga wa CCM, kama ilivyokua jana itakua vile vile kesho!Na kesho kutwa! Katiba iko wazi mno, akifa Rais makamu atachukua! Kwa CCM Rais ni kama "mungu" alikuwa hawezi kufa!

In short Kikwete pia ndio mwanzilishi wa makundi, wapambe na majungu ndani ya CCM, Usiikimbie historia ya chama chako ndugu yangu! Bado itawatesa mno.
 
Uchawa usikupofushe akili.
Lakini angalau sasa unajitambulisha pia kuwa chawa wa Samia na siyo genge tu lililomweka chini ya himaya yake.

Kuhusu nadharia yako, ni kama hujawahi kumsikia mtu aitwae Kikwete, hadi ukumbushwe, au ustuliwe tu kwa vile ulijisahaulisha kwa maksudi.

Kalamu,

Huyu jamaa ameua kabisa ufahamu wake! Inapokuja CCM akili yake ina freeze! Huwa najiuliza hivi kuwa CCM ni kweli lazima upoteze rational thinking?

Nimeangalia wabunge walivyo sambaa Tanzania kutetea DP World, wengi tulitegemea wanakuja na hoja zenye mantiki, nimefuatilizia mno nikiamini wanakwenda kujenga hoja za kubomoa kabisa walio kinyume na huo mkataba. Nimekisikitia hicho Chama mno....Huko Mwanza wameambiwa wasubiri "Watoto wa Kiarabu" ......Kweli naamini inabidi kuwa zezeta kwa sehemu kubwa kwa sasa hivi kuwa mfuasi wa CCM!

Uchawa unapofusha mno ufahamu.
 
Kama umeona kikwete alisafisha makosa ya mkapa Anza kusoma suratu kursiyo kimya kimya maana we sio mwenzetu tena
Hakuna sura hiyo duniani. Kafanye tena homework yako.

Sasa unakataa? Mramba na yule mwenzake Yona, walifungwa na Kikwete kwa madudu ya kipindi kipi? Hiyo ilikuwa historia kwa Tanzania, kwa mawaziri kufungwa.

Kama hiyo haikugtoshi, huelewi kuwa Mkapa, na yonaalijimilikisha Mchuchuma na akatemeshwwa na Kikwete?

Kijana, hakuna Rais aliyesafisha uovu na ufisadi Tanzania hii kwa vitendo kama Kikwete.

Unafikiri Lowassa alitemeshwa uwaziri mkuu kwanini na madudu ya wakati gani?

Ni mengi sana, labda ufunge macho uwe hujayaona.
 
Kiwete mnafiki tu
Mla rushwa nambari one nchi hii.
Kauza gesi hivi hivi.

Uozo wote wa babdari ni kazi yake.

Kajimilikisha ardhi sehemu nyeti kila mahali kwa mgongo wa mwanae.

Nani asiyejua kuwa yeye ndiye kamuwahisha Mchattle?

Sasa amerudi Ikulu upya anakula kuku kwa kupuliza kwa mrija.

Dhambi za Msoga ukianza kuziandika hapa itachukua wiki, ungejua bora unyamaze tu
 
Porojo zenu hizo tumezizowea. Gesi kauza Rostam juzi, nyie mmekalia mi fursa inawapita mbele ya macho yenu.

Punguza povu, weka topic moja moja ueleweke, upewe darsa.
 
Nimegundua kuwa weqe ni Chawa wa mafisadi
 
Nimeona mashambulizi ya kihisia na kimhemko tu, sijaona hoja hasa ni zipi. Na kwakuwa mibonto iko mingi humu basi kama kawa, likes kama zote.

Huyo 'Mungu' wenu, kama 15 alishauriwa na watu aaambatane na samia, mbona 20 akamtafuta tena yeye mwenyewe? Alishauriwa tena amteue yeye?!!! Nani alikuwa na uwezo kumpangia wa kufanya nae kazi yule mheshimiwa?!!!!!!

Kumuelewa mama yakupasa uwe na akili nawe......ukiwa bonto unaweza kutoka patupu.

Kutumia hoja za marekani naona kama ndo tunaharibu kabisaaaa, hao ni level zingine na hatutendewi haki sisi tulioganda hapa bongo (hv kinyume cha diaspora ni nini?!!) kulishwa hivi. Hao, kwa namna yoyote, haifai kuchambua wanachofanya kwa mchambuo wetu wa kimipasho na kimihemko.....wanajua wanachofanya.

Mama Samia kwenye dp world umeupiga mwingi, huo mhaho ni uthibitisho tosha......watz wa kweli tupo pamoja nawe saaaaaaaana! 100%!
 
Mtu huyo ni Rais Samia!

Nashawishika kabisa kuamini kuwa huyu Samia alichaguliwa kutokana na jinsia yake tu [kama ilivyojuwa kwa Kamala Harris…the word salad queen…kule Marekani].

Kamala yeye alichaguliwa na Biden kuwa mgombea mwenza kwa sababu ni mwanamke mweusi [ingawa kiuhalisia ni chotara wa Kihindi na Kijamaica].

Kamala ni mweupe kabisa. Yaani hovyo to the nth degree. Anaongeaga mashudu tu [word salads].

Hana kabisa uwezo wa kuongoza. Yeye ni kucheka cheka tu na kuongea mambo yasiyoeleweka.

Ukimwangalia Biden, unaona kabisa jamaa anapaswa awe nyumbani. Kazi ya urais wa Marekani kwa sasa haiwezi.

He is a creepy old guy. Hebu angalia hapa

Hivi alikuwa anafanya nini hapo kwa hako katoto? Na hiyo ni wiki iliyopita alipokuwa Finland baada ya kutoka Lithuania kwenye mkutano wa NATO.

Biden muda wowote anaondoka. Iwe kwa kujiuzulu, kuamua kutogombea tena muhula wa pili, au hata kufa [ingawa kifo hakina mwenyewe].

Wazo la Kamala kuja kuwa Rais wa Marekani endapo Biden ataondoka, linatisha watu wengi sana.

Haya, tuje kwa huyu wa kwetu hapa.

Huyu naye alichaguliwa kwa sababu ya identity politics tu. Ni mwanamke na ni Mzanzibari.

Kwa ninayoyaona, ni mtu asiye na uwezo wa kiuongozi ngazi ya Rais wa nchi.

Hakuchaguliwa kutokana na sifa zake za kiuongozi.

Inavyoonekana Magufuli alikuwa anataka sifa ya kuwa na mgombea wa kwanza wa CCM kumchagua mwanamke kuwa mgombea mwenza wake.

Haiwezekani kabisa kuwa Samia alichaguliwa kutokana na sifa zake kiutendaji [kwa sababu hana].

Jahazi limeshamshinda hivi sasa. Kabaki kutoa vitisho na kutumia dola kukabiliana na wanaompinga.

Na ukiongeza na inferiority complex aliyonayo kutokana na jinsia yake, ndo kabisa anakuwa paranoid kwamba kila anayempinga, anafanya hivyo kwa kusukumwa na chuki dhidi yake kwa sababu yeye ni mwanamke!

Rais Magufuli hakuwa kiongozi mzuri. Nilishasema mara nyingi tu kuwa yeye alikuwa msimamizi/ mnyapara mzuri.

Yeye mpe kazi au mradi ausimamie, halafu umpe mamlaka ya kutosha kuweza kufanya maamuzi ndani ya ukomo fulani, utampenda maana hakuwa wa mchezo mchezo.

Sidhani kabisa kuwa Magufuli aliwaza kuhusu yeye kuishia njiani na kumwacha Samia ndo awe Rais.

Nadhani alidhani kuwa atamaliza vipindi vyote viwili na kustaafu kama walivyofanya waliomtangulia.

Lakini haikuwa hivyo. Tumeachiwa huyu Samia.

Makamu wa Rais, Dkt. Mpango, kwa mtazamo wangu, ni bora mara 100 kuliko Samia [I got bars too 😀].

Way forward?
 
Nimeona mashambulizi ya kihisia na kimhemko tu, sijaona hoja hasa ni zipi. Na kwakuwa mibonto iko mingi humu basi kama kawa, likes kama zote.

Huyo 'Mungu' wenu, kama 15 alishauriwa na watu aaambatane na samia, mbona 20 akamtafuta tena yeye mwenyewe? Alishauriwa tena amteue yeye?!!! Nani alikuwa na uwezo kumpangia wa kufanya nae kazi yule mheshimiwa?!!!!!!

Kumuelewa mama yakupasa uwe na akili nawe......ukiwa bonto unaweza kutoka patupu.

Kutumia hoja za marekani naona kama ndo tunaharibu kabisaaaa, hao ni level zingine na hatutendewi haki sisi tulioganda hapa bongo (hv kinyume cha diaspora ni nini?!!) kulishwa hivi. Hao, kwa namna yoyote, haifai kuchambua wanachofanya kwa mchambuo wetu wa kimipasho na kimihemko.....wanajua wanachofanya.

Mama Samia kwenye dp world umeupiga mwingi, huo mhaho ni uthibitisho tosha......watz wa kweli tupo pamoja nawe saaaaaaaana! 100%!
Mkuu huna akili.

OVER
 
Mkuu huna akili.

OVER
Sawa mkuu, hongera wewe mwenye nazo!

Kimsingi sikuwa najaribu kumuonyesha yeyote akili, nilikuwa natoa taarifa tu kwenu kuwa Mama Samia, The Mother of Modern Tanzania, tupo pamoja nae sana hadi 2030. Hayo matusi, kejeli na mauzushi ya haters wake wachache wala havimyumbishi hata kidogo. Poleni sana lkn ni ukweli mnaolazimika kuukubali, kuishi nao!
 
Kwani Mama tunamchukia!?
Embu jikite kwenye hoja ya mtoa mada..
 
Kwani Mama tunamchukia!?
Embu jikite kwenye hoja ya mtoa mada..
Ambayo ni ipi hoja hiyo?!!!!!!

Mkuu una umbo dogo kama la sungura nini?!!! Unawezaje sasa kufikiria kujificha katika mkaranga?!!!
 
Mtu huyo ni Rais Samia!

Nashawishika kabisa kuamini kuwa huyu Samia alichaguliwa kutokana na jinsia yake tu [kama ilivyojuwa kwa Kamala Harris…the word salad queen…kule Marekani].

Kamala yeye alichaguliwa na Biden kuwa mgombea mwenza kwa sababu ni mwanamke mweusi [ingawa kiuhalisia ni chotara wa Kihindi na Kijamaica].

Kamala ni mweupe kabisa. Yaani hovyo to the nth degree. Anaongeaga mashudu tu [word salads].

Hana kabisa uwezo wa kuongoza. Yeye ni kucheka cheka tu na kuongea mambo yasiyoeleweka.

Ukimwangalia Biden, unaona kabisa jamaa anapaswa awe nyumbani. Kazi ya urais wa Marekani kwa sasa haiwezi.

He is a creepy old guy. Hebu angalia hapa

Hivi alikuwa anafanya nini hapo kwa hako katoto? Na hiyo ni wiki iliyopita alipokuwa Finland baada ya kutoka Lithuania kwenye mkutano wa NATO.

Biden muda wowote anaondoka. Iwe kwa kujiuzulu, kuamua kutogombea tena muhula wa pili, au hata kufa [ingawa kifo hakina mwenyewe].

Wazo la Kamala kuja kuwa Rais wa Marekani endapo Biden ataondoka, linatisha watu wengi sana.

Haya, tuje kwa huyu wa kwetu hapa.

Huyu naye alichaguliwa kwa sababu ya identity politics tu. Ni mwanamke na ni Mzanzibari.

Kwa ninayoyaona, ni mtu asiye na uwezo wa kiuongozi ngazi ya Rais wa nchi.

Hakuchaguliwa kutokana na sifa zake za kiuongozi.

Inavyoonekana Magufuli alikuwa anataka sifa ya kuwa na mgombea wa kwanza wa CCM kumchagua mwanamke kuwa mgombea mwenza wake.

Haiwezekani kabisa kuwa Samia alichaguliwa kutokana na sifa zake kiutendaji [kwa sababu hana].

Jahazi limeshamshinda hivi sasa. Kabaki kutoa vitisho na kutumia dola kukabiliana na wanaompinga.

Na ukiongeza na inferiority complex aliyonayo kutokana na jinsia yake, ndo kabisa anakuwa paranoid kwamba kila anayempinga, anafanya hivyo kwa kusukumwa na chuki dhidi yake kwa sababu yeye ni mwanamke!

Rais Magufuli hakuwa kiongozi mzuri. Nilishasema mara nyingi tu kuwa yeye alikuwa msimamizi/ mnyapara mzuri.

Yeye mpe kazi au mradi ausimamie, halafu umpe mamlaka ya kutosha kuweza kufanya maamuzi ndani ya ukomo fulani, utampenda maana hakuwa wa mchezo mchezo.

Sidhani kabisa kuwa Magufuli aliwaza kuhusu yeye kuishia njiani na kumwacha Samia ndo awe Rais.

Nadhani alidhani kuwa atamaliza vipindi vyote viwili na kustaafu kama walivyofanya waliomtangulia.

Lakini haikuwa hivyo. Tumeachiwa huyu Samia.

Makamu wa Rais, Dkt. Mpango, kwa mtazamo wangu, ni bora mara 100 kuliko Samia [I got bars too [emoji3]].
Tangu lini ccm wakachaguana kwa vigezo?
 
Back
Top Bottom