Hayati Magufuli alikuwa akielekeza vitendo vya kihalifu?

Injinia wa uhalifu alikuwa yeye.
 
Na wamepukutika sana. Ndani ya miezi 6 ikulu imekuwa kama Kiyama. bado wengi sana
 
Siku Sabaya anakamatwa alisema utafika wakati atamtaja anayeendesha karakana ya ibilisi na hatimaye kweli jana kamtaja. Hata waliompiga risasi Tundu Lissu walitumwa na mamlaka ya uteuzi.
 
Iko wazi alikuwa anawatuma, ubaya tu waluotumwa hawakujua kuwa wanatakiwa kutenda yote kwa mujibu wa kanuni, sheria na taratibu.
 
Naamini iko siku tutawajua waliomshambulia Lissu
Mara ngapi mkuu? Siku Sabaya anakamatwa alisema utafika wakati atamtaja anayeendesha karakana ya ibilisi na hatimaye kweli jana kamtaja.
 
Mbowe katumwa na nani kuwa gaidi?
 
So what?
Magufuli is long gone....
He is not even qualified to be called as witness.....
 
Nadhani hujui uongozi ulivyo. Kuna wakati siyo kila jambo unaweza kulifanya kwa kutumia watu au vyombo vilivyopo katika eneo husika kwa ajili ya kulinda usiri.

Sent from my SM-A730F using JamiiForums mobile app
 
Karma ipo, na inafanya kazi!
 
Polisi, TAKUKURU, TRA wana kazi gani?
Rais amtume DC, tena nje ya Wilaya yake wakati ana vyombo vya kisheria?
Kuna namna hapo.
Namna ipo ndiyo. Kama kuna TAKUKURU, TRA, na Polisi kwanini hao watu walikua hawakamatwi siku zote? Ndo ujue kuna kitu kilikua kinaendelea ndo maana akatumwa Sabaya.

Sent from my SM-A730F using JamiiForums mobile app
 
Asante sana bro.
Umenikumbusha mbali kuhusu dhuluma za uhujumu uchumi mwaka 1983 na kilichotokea baadaye
Bado kuna wengi hawatajifunza.
 
Nadhani hujui uongozi ulivyo. Kuna wakati siyo kila jambo unaweza kulifanya kwa kutumia watu au vyombo vilivyopo katika eneo husika kwa ajili ya kulinda usiri.

Sent from my SM-A730F using JamiiForums mobile app
Huyu hakuwa na chochote cha kufanya awe special Kwa aliyemtuma..kosa la uhalifu haliondoki Kwa kuwa katumwa na mamlaka..Sheria inakata kote na hakuna aliye juu ya Sheria tz...Hii issue ya sabaya itachochea madai ya katiba mpya...tena Sanaa..huu ni Moto..
 
Hivi kila mtu akisemacho kwa mbaya wako huwa unakiamini na kukikomalia? Tunajua mlimchukia JPM.
Inaonekana hujamsoma na kumwelewa mleta mada...

Kama unamaanisha ukisemacho hapa, basi ina maana Sabaya - DC wa Magufuli huko Hai wakati huo alimchukia sana JPM...!!
 
Kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…