Dahh... Magu licha ya maovu yake mengii.. Kwa hili.. Hapana jamani.Kulingana na tunayosikia katika utetezi wa Ole Sabaya huko Arusha, ati alikuwa akiagizwa kufanya vitendo vya kihalifu na Rais Magufuli.
Kama itathibitishwa kuwa ni kweli basi hili linatoa picha ya uvunjifu mkubwa wa sheria uliokuwa ukitekelezwa na Magufuli katika Awamu yake.
Kuna minong'ono mingi ya uhalifu uliofanywa Awamu ya Tano kwa maelekezo "toka juu".
Sitaki kuamini zile hela zilizokuwa zikigawiwa kwenye msafara ni mtunda ya general magirini eeti!?Kulingana na tunayosikia katika utetezi wa Ole Sabaya huko Arusha, ati alikuwa akiagizwa kufanya vitendo vya kihalifu na Rais Magufuli.
Kama itathibitishwa kuwa ni kweli basi hili linatoa picha ya uvunjifu mkubwa wa sheria uliokuwa ukitekelezwa na Magufuli katika Awamu yake.
Kuna minong'ono mingi ya uhalifu uliofanywa Awamu ya Tano kwa maelekezo "toka juu".
Unajichanganya try to be sober wakati unasomaInaonekana hujamsoma na kumwelewa mleta mada...
Kama unamaanisha ukisemacho hapa, basi ina maana Sabaya - DC wa Magufuli huko Hai wakati huo alimchukia sana JPM...!!
EeenHeeee, unanikumbusha majibishano kati yangu na wewe na Jidu kuhusu neno nililotumia la "Ulaghai" kumwelezea Magufuli!Kulingana na tunayosikia katika utetezi wa Ole Sabaya huko Arusha, ati alikuwa akiagizwa kufanya vitendo vya kihalifu na Rais Magufuli.
Kama itathibitishwa kuwa ni kweli basi hili linatoa picha ya uvunjifu mkubwa wa sheria uliokuwa ukitekelezwa na Magufuli katika Awamu yake.
Kuna minong'ono mingi ya uhalifu uliofanywa Awamu ya Tano kwa maelekezo "toka juu".
Na je serikali ya awam sita , kwamba walimfunga Sabaya ili kumdhalilisha Maghufuli?? Twende tuInaonekana ni kweli, ndio maana Sabaya licha ya kurekodiwa na camera akivamia maeneo ya watu na silaha mkononi, lakini hakuwahi kuwa na hofu yoyote na hilo.
Hili linathibitisha kweli alikuwa anatumwa akijua ana ulinzi wa kutosha upande wake, ndio maana siku ya kumuaga Magufuli jamaa alilia kama mtoto akijua fika mwisho wake umewadia.
Lakini pia hili linazidi kuthibitisha yale madai kuwa utawala wa Magufuli ulikuwa unaichukia mikoa ya Arusha na Kilimanjaro, huu unyama uliokuwa unafanywa na Sabaya, akitanguliwa na Mnyeti mikoa hiyo, haukuwahi kuonekana ukifanywa mikoa mingine Tanzania.
Uhalifu gani alioufanya? Polisi akienda kukamata mtuhumiwa anafanya uhalifu? Hebu tusubiri mahakama ifanye kazi yake tusiwe wepesi wa kuhukumu masuala tusiyoyajua kwa kufuata mkumbo. Ndo yale yale mtu anatuhumiwa kwa ugaidi wengine wanaandamana mahakamani kupinga.Huyu hakuwa na chochote cha kufanya awe special Kwa aliyemtuma..kosa la uhalifu haliondoki Kwa kuwa katumwa na mamlaka..Sheria inakata kote na hakuna aliye juu ya Sheria tz...Hii issue ya sabaya itachochea madai ya katiba mpya...tena Sanaa..huu ni Moto..
Hayo unaongea wewe kwa kufuata mkumbo. Subiri Mahakama itoe hukumuUtaalamu wa utesaji , kuiba na dhuluma?
Chuo gani mmepitia mkuu?
Daahh picha inatisha hii..nahisi taiotaVile mwendakuzimu amefurahia comment yako kutokea huko kuzimu😁😁😁
View attachment 1891687
Chadema hawajui kuelewa , wanakukuruka kama kuku mwenye kideri😎Na wengi tuna toa maoni bila kusoma alichosema ni kweli sijaona akisema alitumwa kufanya uhalifu bali kufuatilia watengeza fedha za bandia ambao kimsingi ni wahujumu uchumi na ndio maana wahusika walio tajwa ni waziri wa fedha na gavana
Bado mama aetunyonya na tozo. Hali ngumu kila kitu bei juu, Mafuta ya kupikia imekua Almasi halafu anadiriki kudanganya dunia kuwa tumekubali tozo. Alaaniwe.Na wamepukutika sana. Ndani ya miezi 6 ikulu imekuwa kama Kiyama. bado wengi sana
Hata Sabaya naye alikuwa akimchukia JPM?Ficha aibu yako,Sabaya kawafunua msikopenda tusikie.CCM mtasema Sabaya anatumiwa na mabeberu na CDM.Hivi kila mtu akisemacho kwa mbaya wako huwa unakiamini na kukikomalia? Tunajua mlimchukia JPM.
Hahaha changia maendeleo ya nchi yako ili matapeli ccm waneemeke.Bado mama aetunyonya na tozo. Hali ngumu kila kitu bei juu, Mafuta ya kupikia imekua Almasi halafu anadiriki kudanganya dunia kuwa tumekubali tozo. Alaaniwe.
Sijui watasemajeHata Sabaya naye alikuwa akimchukia JPM?Ficha aibu yako,Sabaya kawafunua msikopenda tusikie.CCM mtasema Sabaya anatumiwa na mabeberu na CDM.
Wasivyokuwa na haya wametajana ila bado watu Jumatatu ndani ya VX 8,4×4 Kali kuelekea ofisini.Hawafahamu kuwajibika,hizo allegations ni kubwa!
Tunadai Katiba ya Wananchi.
Unategemea Sabaya angejiteteaje? Hivi inaingia akilini Rais wa nchi amtume mtu aombe rushwa? Kosa la Sabaya si kukamata, kosa ni kudai rushwa bwasheeHata Sabaya naye alikuwa akimchukia JPM?Ficha aibu yako,Sabaya kawafunua msikopenda tusikie.CCM mtasema Sabaya anatumiwa na mabeberu na CDM.
Wasivyokuwa na haya wametajana ila bado watu Jumatatu ndani ya VX 8,4×4 Kali kuelekea ofisini.Hawafahamu kuwajibika,hizo allegations ni kubwa!
Tunadai Katiba ya Wananchi.
Including ukatili wa kutisha.Ni mpuuzi tu anayeweza kubeza kazi ya JPM aliyoifanyia nchi hii
Kwenye mazuri ubaya haukosekani!Including ukatili wa kutisha.
Kulingana na tunayosikia katika utetezi wa Ole Sabaya huko Arusha, ati alikuwa akiagizwa kufanya vitendo vya kihalifu na Rais Magufuli.
Kama itathibitishwa kuwa ni kweli basi hili linatoa picha ya uvunjifu mkubwa wa sheria uliokuwa ukitekelezwa na Magufuli katika Awamu yake.
Kuna minong'ono mingi ya uhalifu uliofanywa Awamu ya Tano kwa maelekezo "toka juu".
Unadhani tunaosema magufuli alitaka kumuua lisu mungu akagoma akamuua yeye kwa Moto tunakosea?Kulingana na tunayosikia katika utetezi wa Ole Sabaya huko Arusha, ati alikuwa akiagizwa kufanya vitendo vya kihalifu na Rais Magufuli.
Kama itathibitishwa kuwa ni kweli basi hili linatoa picha ya uvunjifu mkubwa wa sheria uliokuwa ukitekelezwa na Magufuli katika Awamu yake.
Kuna minong'ono mingi ya uhalifu uliofanywa Awamu ya Tano kwa maelekezo "toka juu".
Mpuuzi kweli wewe Sasa unadhani sabaya ni mjinga kumtaja marehemu wenuPolisi, TAKUKURU, TRA wana kazi gani?
Rais amtume DC, tena nje ya Wilaya yake wakati ana vyombo vya kisheria?
Kuna namna hapo.