Kwamba watu walimpenda Magufuli kwa sababu ya madaraja na flyover? Kwahiyo hao watu hawamkubali sasa Rais Samia kwa sababu hajengi madaraja na flyover? Ina maana Magufuli aliposema "mtanikumbuka" alikusudia hayo madaraja na flyover?Sio unafiki au kutojua. Watu wanamjaji Magufuli kwa ujenzi wa madaraja na flyovers. Kila rais anajenga hayo mambo kama mpango endelevu wa nchi.
Ushenzi wa Magufuli ni mkubwa na unajulikana na wenye uelewa, wajinga kama kawaida hawajui mambo.
Hatuna option nyengine zaidi ya kuchagua kati ya mfumo wa kidikteta au serikali dhaifu.Mungu yupo aisee kwa jinsi tulivyoishi maisha ya huzuni kipindi lile jamaa Lipo tuliteseka sana Mungu akaamua aturudishie furaha yetu
Na viongozi wazuri hawakumbukwi kwa miundombinu; akina Nyerere, Mandela, etc ni mifano mizuri.Kwamba watu walimpenda Magufuli kwa sababu ya madaraja na flyover? Kwahiyo hao watu hawamkubali sasa Rais Samia kwa sababu hajengi madaraja na flyover? Ina maana Magufuli aliposema "mtanikumbuka" alikusudia hayo madaraja na flyover?
Jibu hoja. Pamoja na kuua bunge ili liwe la kupiga mhuri yale anayotaka afanyike kama vile kutumia hela nje ya budget aliua aliua pia 1) mfumo wa haki kwa kuteua majaji bila kufuata vigezo kama kumpa mtu ujaji eti kwa sababu ameandika hukumu kiswahili 2) Uteuzi wa M-DED na ma-RAS kuweka makada wa CCM na kuathiri utendaji na uchaguzi wa mwaka 2019 na 2020 3) Kuanzisha miradi mikubwa inayohitaji pesa nyingi bila kuzungatia ilani ya uchaguzi ya CCM yenyewe ya mwaka 2015 4) kuwekeza hela nyingi nyumbani bila kuzungatia maslahi ya nchi.Wewe ni kichefu chefu tu, tena wewe utakua ni mmoja wa mafisadi au wakwepa Kodi ktk nchi hii.... WaTanzania Wana akili tofauti na unavyo dhani, ndiyo maana unawaona hawakusoma lakini namna wanavyo endesha maisha yao ni zaidi ya wasomi, kwa hivyo wanaelewa sana JPM alikua anafanya nini, unaponda maendeleo aliyokua akifanya kweni nchi na wananchi inahitaji nini zaidi ya hivyo alivyo fanya ambavyo wewe unaponda? Mi naona wewe ni mpuuzi tu
Yaani tufanye unaponda daraja la Busisi, sehemu ambayo watu walikua wakizama maji kwa kuvilisha mazao ya bustani na samaki kupitia mitumbwi, leo waje wapite salama juu ya daraja then wewe uwaambie hayo ni mambo rahisi kwao na wakuelewe, mjinga tu wewe
Kwamba watu hawamkubali Rais Samia kwa sababu hajengi madaraja na flyover?Na viongozi wazuri hawakumbukwi kwa miundombinu; akina Nyerere, Mandela, etc ni mifano mizuri.
Ni kweli kabisa ila siku tukichinjana kwa wizi wenu ndio mtaelewa maana kuna wanajeshi wanafia nchi yao kujenga nyumba zao mpaka wakope wakati nyie mnatafuna tu keki peke yenu na wao wanaishia kuwalinda.ipo siku tutaelewana tu pale Dodoma.Kwa vipimo vyote magufuli alikuwa kiongozi mbaya ila kwakuwa watanzania ni watu wenye upeo mdogo aliwa win mioyo yao.
Magufuli alihakikisha mifumo yote ya good governance anai paralyze au kuiuwa kabisa ili yeye ndio awe sheria alisahau kwamba binadamu hupita ila continuity ya taifa inategemea mifumo imara na sio mtu imara.
Watu huja na kupita ila mifumo hubaki kwa muda mrefu. Stability ya taifa hutegemea mifumo sio mtu.
Magufuli alihakikisha bunge linakuwa mfukoni mwake na ndio maana alidiriki kununua wapinzani na kuvuruga uchaguzi wa 2019 na 2020.
Kwakuwa watanzania wengi wana upeo na uelewa mdogo walimpongeza kwa vile waliona akiwajengea miundombinu mizuri na kwa bahati nzuri watanzania ni watu wa kuridhika haraka na kwa vitu vidogovidogo. Wanasahau kwamba popote penye utawala bora au good governance kwa kizungu hayo yote ya barabara madaraja stendi masoko ya kisasa huja automatically. Kwahiyo magufuli alitumia ujinga wa watanzania kuwarubuni na wao qakarubunika. Magufuli alikuwa anajinasibu kuwa mtetezi wa wanyonge huku akigawa hela barabarani na kukaa chini ili wananchi wamshangae wampende kumbe ule ni utapeli wa kisiasa angeishi hata mwaka mmoja taifa lingeangamia.
Sasa unashauri tumfanye nini huyu Magufuli Ili asiendelee na hii tabia yake. Au aletwe kwanza mbele yako ajitetee (kusudi tufuate utawala bora na haki)! Unasemaje kuhusu hilo?Kwa vipimo vyote magufuli alikuwa kiongozi mbaya ila kwakuwa watanzania ni watu wenye upeo mdogo aliwa win mioyo yao.
Magufuli alihakikisha mifumo yote ya good governance anai paralyze au kuiuwa kabisa ili yeye ndio awe sheria alisahau kwamba binadamu hupita ila continuity ya taifa inategemea mifumo imara na sio mtu imara.
Watu huja na kupita ila mifumo hubaki kwa muda mrefu. Stability ya taifa hutegemea mifumo sio mtu.
Magufuli alihakikisha bunge linakuwa mfukoni mwake na ndio maana alidiriki kununua wapinzani na kuvuruga uchaguzi wa 2019 na 2020.
Kwakuwa watanzania wengi wana upeo na uelewa mdogo walimpongeza kwa vile waliona akiwajengea miundombinu mizuri na kwa bahati nzuri watanzania ni watu wa kuridhika haraka na kwa vitu vidogovidogo. Wanasahau kwamba popote penye utawala bora au good governance kwa kizungu hayo yote ya barabara madaraja stendi masoko ya kisasa huja automatically. Kwahiyo magufuli alitumia ujinga wa watanzania kuwarubuni na wao qakarubunika. Magufuli alikuwa anajinasibu kuwa mtetezi wa wanyonge huku akigawa hela barabarani na kukaa chini ili wananchi wamshangae wampende kumbe ule ni utapeli wa kisiasa angeishi hata mwaka mmoja taifa lingeangamia.
Umemsingizia, hujui unachotaka na unacho kitetea. JPM si ameisha kufa Sasa unayasema hayo Ili ajisahihishe au aache? Mbona miaka ya utawala wake hukuonyesha Kwa vitendo kwamba hukubaliani na anayo yafanya? Inawezekana wewe ni wale waliokuwa washauri wake wakuu!Kama nimeandika uongo au nimemsingkzia sema jamiiforum ni jukwaa huru.
Wewe ni mbaya zaidi yake! Mbona hukuwahi kumwambia alipokuwa hai unaanza kutusumbua leo akiwa hayupo? wewe uliye mzuri umetufanyia nini? Umeifanyia nini Tanzania so far? Mh Magufuli alishamaliza kazi yake aliyotumwa na sasa amepumzika! Ni wajibu wako wewe unayejiona mzuri kuliko yeye kufanya mazuri!Kwa vipimo vyote magufuli alikuwa kiongozi mbaya ila kwakuwa Watanzania ni watu wenye upeo mdogo aliwa win mioyo yao.
Magufuli alihakikisha mifumo yote ya good governance anai paralyze au kuiuwa kabisa ili yeye ndio awe sheria alisahau kwamba binadamu hupita ila continuity ya taifa inategemea mifumo imara na sio mtu imara.
Watu huja na kupita ila mifumo hubaki kwa muda mrefu. Stability ya taifa hutegemea mifumo sio mtu.
Magufuli alihakikisha bunge linakuwa mfukoni mwake na ndio maana alidiriki kununua wapinzani na kuvuruga uchaguzi wa 2019 na 2020.
Kwakuwa watanzania wengi wana upeo na uelewa mdogo walimpongeza kwa vile waliona akiwajengea miundombinu mizuri na kwa bahati nzuri watanzania ni watu wa kuridhika haraka na kwa vitu vidogovidogo.
Wanasahau kwamba popote penye utawala bora au good governance kwa kizungu hayo yote ya barabara madaraja stendi masoko ya kisasa huja automatically.
Kwahiyo Magufuli alitumia ujinga wa watanzania kuwarubuni na wao qakarubunika. Magufuli alikuwa anajinasibu kuwa mtetezi wa wanyonge huku akigawa hela barabarani na kukaa chini ili wananchi wamshangae wampende kumbe ule ni utapeli wa kisiasa angeishi hata mwaka mmoja taifa lingeangamia.
Unaona unavyotukanwa usirudie tena kuongea upuuzi kama huu.Kwa vipimo vyote magufuli alikuwa kiongozi mbaya ila kwakuwa Watanzania ni watu wenye upeo mdogo aliwa win mioyo yao.
Magufuli alihakikisha mifumo yote ya good governance anai paralyze au kuiuwa kabisa ili yeye ndio awe sheria alisahau kwamba binadamu hupita ila continuity ya taifa inategemea mifumo imara na sio mtu imara.
Watu huja na kupita ila mifumo hubaki kwa muda mrefu. Stability ya taifa hutegemea mifumo sio mtu.
Magufuli alihakikisha bunge linakuwa mfukoni mwake na ndio maana alidiriki kununua wapinzani na kuvuruga uchaguzi wa 2019 na 2020.
Kwakuwa watanzania wengi wana upeo na uelewa mdogo walimpongeza kwa vile waliona akiwajengea miundombinu mizuri na kwa bahati nzuri watanzania ni watu wa kuridhika haraka na kwa vitu vidogovidogo.
Wanasahau kwamba popote penye utawala bora au good governance kwa kizungu hayo yote ya barabara madaraja stendi masoko ya kisasa huja automatically.
Kwahiyo Magufuli alitumia ujinga wa watanzania kuwarubuni na wao qakarubunika. Magufuli alikuwa anajinasibu kuwa mtetezi wa wanyonge huku akigawa hela barabarani na kukaa chini ili wananchi wamshangae wampende kumbe ule ni utapeli wa kisiasa angeishi hata mwaka mmoja taifa lingeangamia.
Sawa lakini ashakufa. Kwa nini usiachane naye mkuu? Hawezi kuja kujitetea kwa sababu yumo ardhini.Kwa vipimo vyote magufuli alikuwa kiongozi mbaya ila kwakuwa Watanzania ni watu wenye upeo mdogo aliwa win mioyo yao.
Magufuli alihakikisha mifumo yote ya good governance anai paralyze au kuiuwa kabisa ili yeye ndio awe sheria alisahau kwamba binadamu hupita ila continuity ya taifa inategemea mifumo imara na sio mtu imara.
Watu huja na kupita ila mifumo hubaki kwa muda mrefu. Stability ya taifa hutegemea mifumo sio mtu.
Magufuli alihakikisha bunge linakuwa mfukoni mwake na ndio maana alidiriki kununua wapinzani na kuvuruga uchaguzi wa 2019 na 2020.
Kwakuwa watanzania wengi wana upeo na uelewa mdogo walimpongeza kwa vile waliona akiwajengea miundombinu mizuri na kwa bahati nzuri watanzania ni watu wa kuridhika haraka na kwa vitu vidogovidogo.
Wanasahau kwamba popote penye utawala bora au good governance kwa kizungu hayo yote ya barabara madaraja stendi masoko ya kisasa huja automatically.
Kwahiyo Magufuli alitumia ujinga wa watanzania kuwarubuni na wao qakarubunika. Magufuli alikuwa anajinasibu kuwa mtetezi wa wanyonge huku akigawa hela barabarani na kukaa chini ili wananchi wamshangae wampende kumbe ule ni utapeli wa kisiasa angeishi hata mwaka mmoja taifa lingeangamia.
Hii ni kulingana na mtzamo wako tu,Kwa vipimo vyote magufuli alikuwa kiongozi mbaya ila kwakuwa Watanzania ni watu wenye upeo mdogo aliwa win mioyo yao.

Je hayo mambo madogo kwa wenye upeo mdogo kama tuflyover, tusoko twa kisasa, tudaraja na tubarabara kipind hicho mwanzoni tulishindwa vipi kuwepo?.Wanasahau kwamba popote penye utawala bora au good governance kwa kizungu hayo yote ya barabara madaraja stendi masoko ya kisasa huja automatically.

Magufuli ameshatangulia mbele ya haki. Na ubaya kama unavyosema ulikwenda na yeye alipokwenda. Hebu niambie, kama sasa hakuna mabaya yanayoendelea? Je tunaishi kwenye nchi ya maziwa na asali na unono usiokoma?Kwa vipimo vyote magufuli alikuwa kiongozi mbaya ila kwakuwa Watanzania ni watu wenye upeo mdogo aliwa win mioyo yao.
Magufuli alihakikisha mifumo yote ya good governance anai paralyze au kuiuwa kabisa ili yeye ndio awe sheria alisahau kwamba binadamu hupita ila continuity ya taifa inategemea mifumo imara na sio mtu imara.
Watu huja na kupita ila mifumo hubaki kwa muda mrefu. Stability ya taifa hutegemea mifumo sio mtu.
Magufuli alihakikisha bunge linakuwa mfukoni mwake na ndio maana alidiriki kununua wapinzani na kuvuruga uchaguzi wa 2019 na 2020.
Kwakuwa watanzania wengi wana upeo na uelewa mdogo walimpongeza kwa vile waliona akiwajengea miundombinu mizuri na kwa bahati nzuri watanzania ni watu wa kuridhika haraka na kwa vitu vidogovidogo.
Wanasahau kwamba popote penye utawala bora au good governance kwa kizungu hayo yote ya barabara madaraja stendi masoko ya kisasa huja automatically.
Kwahiyo Magufuli alitumia ujinga wa watanzania kuwarubuni na wao qakarubunika. Magufuli alikuwa anajinasibu kuwa mtetezi wa wanyonge huku akigawa hela barabarani na kukaa chini ili wananchi wamshangae wampende kumbe ule ni utapeli wa kisiasa angeishi hata mwaka mmoja taifa lingeangamia.
Ni ndulele zile za kutibia vibaranga na vibaranga ni vishilingi a.k a mapunyeYaliyopita si ndwele
Tugange yajayo
Nini maana ya ndwele?
Wataalamu wa Kiswahili naomba jibu