Beesmom
JF-Expert Member
- May 30, 2016
- 17,202
- 28,732
We mi ubabe wake ule tu hamu ilinitokaVyuma vilianza kilaza enzi za jpm kwa sababu pesa zote zilikimbizwa china through capital flight kwa miradi uchwara ile
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We mi ubabe wake ule tu hamu ilinitokaVyuma vilianza kilaza enzi za jpm kwa sababu pesa zote zilikimbizwa china through capital flight kwa miradi uchwara ile
Ndo maana tunamponda jpm aliharibu nchi na watu wake hasa vijana wenye ndoto zao akabaki anapendwa na mbumbumbu ambao hawajui chochote wakabaki wanafurahia tu kutumbua mtu ili afanane na umbulula wao na umaskiniwaambie wajiajiri, watakufa masikini
Embu soma hiiElewa nilichoandila. Fanya utafiti kwamba tajiri namba moja duniani Elon musk alianza kuajiriwa.
Mi nakubali Sana kuwa jpm alikuwa na utashi mkubwa na nchi hii lakini uwezo alikuwa Hana. Hii inadhihirishwa na miradi mikubwa aliyoianzisha japo Nina uhakika asingeweza kuimaliza mana tayari alinipiga Pini yeye mwenye kwa kuweza mazingira magumu kwa wafanyabiashara wakubwa kutoamini kuwekeza tena nchini kwa sababu ya kufokafoka kwake na ikumbukwe Hawa ndo walipa Kodi. Yeye alibaki tu anazalisha machinga wengi ambapo kimsingi hawalipi Kodi. Pili alishajenga ukuta na mayaifa wahosani kwa kauli zake hivyo mikopo au misaada tukanyimwa kabisa.
Ndiyo alipenda nchi yake lakini uwezo alikuwa Hana. Akaanza kuvamia akaunti za matajiri ili kuiba hela kwa ajiri ya kumaliza miradi hiyo ambapo in the long run nchi ingeburuzwa mahakamani ndo ndo mana kila kukicha ndege zilikuwa zinakamatwa hapa na pale ambapo baadae shirika lingejikuta halina ndege tena.
Hivi umelewa kweli nilichoandila? Nimesemea kwamba aim ni kujiajiri ili kupata kipato kikubwa ila lazima upate pa kuanzia. Huwezi kujiajiri from no where. Ndo mana nikatoa mfano wa Elon muskEmbu soma hii
🤗
Benki ya Standard Chartered iliamua kufanya utafiti wa maisha halisi ya wastaafu wapatao 100 kutoka kwenye ajira za Serekalini, Mashirika ya Umma na Makampuni binafsi kwa muda wa miaka mitano (5) wakapata na matokeo yafuatayo:
1. Wastaafu 49 kati ya 100 (49%) walikuwa tegemezi kwa ndugu zao na jamaa zao. (walishindwa kujimudu).
2. Wastaafu 29 kati ya 100 (29%) walikufa kwa sababu ya msongo wa mawazo, masononeko na magonjwa ya moyo kutokana na ugumu wa maisha.
3. Wastaafu 12 kati ya 100 (12%) walifilisika na kuishiwa mali zote walizokusanya wakati wakiwa wanafanya kazi.
4. Wastaafu 5 kati 100 (5%) walilazimika kutafuta kazi nyingine za kuajiriwa baada ya kustaafu ili waweze kujikimu na ugumu wa maisha.
5. Wastaafu 4 kati ya 100 (4%) walikuwa na uhuru wa kifedha, waliweza kuyamudu mahitaji yao bila changamoto kwa kuwa waliwekeza.
6. Mstaafu 1 kati ya 100 (1%) alikuwa tajiri kwa kuwa alijiandalia vyanzo vya mapato wakati bado yuko kazini.
49 + 29 + 12+ 5 + 4 + 1 = 100%
Wewe uliyestaafu unajijua uko kundi gani na Mungu akusaidie na akutie Nguvu.(naomba Usinichukie mimi)
Wewe uliye kazini bado angalia mafungu hayo sita (6) na ujitafakari sasa utakuja kuishia fungu lipi.
Umesema wewe ni Dakitari eeh?Mi nakubali Sana kuwa jpm alikuwa na utashi mkubwa na nchi hii lakini uwezo alikuwa Hana. Hii inadhihirishwa na miradi mikubwa aliyoianzisha japo Nina uhakika asingeweza kuimaliza mana tayari alinipiga Pini yeye mwenye kwa kuweza mazingira magumu kwa wafanyabiashara wakubwa kutoamini kuwekeza tena nchini kwa sababu ya kufokafoka kwake na ikumbukwe Hawa ndo walipa Kodi. Yeye alibaki tu anazalisha machinga wengi ambapo kimsingi hawalipi Kodi. Pili alishajenga ukuta na mayaifa wahosani kwa kauli zake hivyo mikopo au misaada tukanyimwa kabisa.
Ndiyo alipenda nchi yake lakini uwezo alikuwa Hana. Akaanza kuvamia akaunti za matajiri ili kuiba hela kwa ajiri ya kumaliza miradi hiyo ambapo in the long run nchi ingeburuzwa mahakamani ndo ndo mana kila kukicha ndege zilikuwa zinakamatwa hapa na pale ambapo baadae shirika lingejikuta halina ndege tena.
Hapa ndo nimeamin Kama alivyo sema mtu hàoendwi na watu wote nisahihiUjui uwezo wa Magufuli Wewe, Magufuli alifungua masoko ya madini na akaingia mkataba na warabu kuwa madini yote yatanunuliwa kutoka hapa nchini,akawa anapata kodi yake bila buguza,ndio maana haukuweza kuona mambo ya tozo,mashariti ya hovyo kwenye mambo ya mikopo,mairais wa nchi kubwa waliomwitaji walikuja wenyewe, pasipo yeye kujipereka kama changu kuuza rasilimali za nchi eti unatafuta wawekezaji,huku wakija unawaambia wasilipe kodi miaka 5, lakini wananchi wako unawaibia chao kupitia tozo na kodi mbalimbali.
Wewe ni daktari siyo?Ndo maana tunamponda jpm aliharibu nchi na watu wake hasa vijana wenye ndoto zao akabaki anapendwa na mbumbumbu ambao hawajui chochote wakabaki wanafurahia tu kutumbua mtu ili afanane na umbulula wao na umaskini
Enzi za jk akina Olimboka walipigwa na kutekwa kwakulamikia upungu huo wa madaktari na vifaa duni.magufuli ameingia madarakani hospital zote za mikoa na Wilaya zilikuwa azina mashine za MRI ma Tc-can wagonjwa wote walipewa rufaa ya kuja Muhimbili, napo walipokuwa wanafika Muhimbili wanambiwa mashine zimearibika waende hospital za private Regency,baada ya Magufuli kushika madaraka ndio mashine zote zilinunuliwa kila Mkoa na Wilaya na wataalamu wakaajiliwa ingawa sio wengi, vijijini hapakuwepo na umeme Magufuli ndiye aliyejitahidi kusambaza umeme vijiji vingi, wataalamu waliokuwa wakiperekwa huko walikuwa wakiacha kazi nakwenda private hapa dar kwasababu ya mazingira, katika watu waliojari madaktari wengi ni Magufuli kwasababu alijenga hospital nyingi na Zahanati hatukuwahi kusikia wala kuona madaktari wakilalamika kwamba wanaupungufu.Mi mwenyewe dakatari hapa singida hospitali ya rufaa niliajiriwa kipindi Cha jk. Hapa Kuna uhaba mkubwa wa madaktari kama kumi hivi wanahitajika upande wa epidemiology nk. Sasa kama mjini Kuna uhaba he vijijini si ni kero na wakati huohuo mtaani wamejaa.
Ninachosema inapaswa uelewe wewe Bado mdogo sana. Enzi za jk hakuna dakatari hata mmoja aliyemaliza akakaa mtaani bila ajira ila jpm aliwarindika mtaani na tatizo likaanzia hapo. Unakuta dakatari amesota miaka mitano muhimbili halafu anauza mitumba kariakoo elimu ikaanza kushuka thamani kipindi chake. We unafikiri kwa Nini wasomi au graduates wamefurahia sana uongozi wa mama
Pa kuanzia ni hiyo elimu yako mkuu?Hivi umelewa kweli nilichoandila? Nimesemea kwamba aim ni kujiajiri ili kupata kipato kikubwa ila lazima upate pa kuanzia. Huwezi kujiajiri from no where. Ndo mana nikatoa mfano wa Elon musk
Hapa nilipo kiniweni tu Kuna madaktari watano hawana ajira ila Wana matumaini mama atasolve tatizo Hilo na wanafurahia sana kifo Cha jpm kwamba kimeleta unafuu wa maisha. Yaani wata walimu ilikuwa vilio wamejazana mtaani tu hata shule binafsi zikawa zinafunga biashara daily. Kwa Sasa angalauEnzi za jk akina Olimboka walipigwa na kutekwa kwakulamikia upungu huo wa madaktari na vifaa duni.magufuli ameingia madarakani hospital zote za mikoa na Wilaya zilikuwa azina mashine za MRI ma Tc-can wagonjwa wote walipewa rufaa ya kuja Muhimbili, napo walipokuwa wanafika Muhimbili wanambiwa mashine zimearibika waende hospital za private Regency,baada ya Magufuli kushika madaraka ndio mashine zote zilinunuliwa kila Mkoa na Wilaya na wataalamu wakaajiliwa ingawa sio wengi, vijijini hapakuwepo na umeme Magufuli ndiye aliyejitahidi kusambaza umeme vijiji vingi, wataalamu waliokuwa wakiperekwa huko walikuwa wakiacha kazi nakwenda private hapa dar kwasababu ya mazingira, katika watu waliojari madaktari wengi ni Magufuli kwasababu alijenga hospital nyingi na Zahanati hatukuwahi kusikia wala kuona madaktari wakilalamika kwamba wanaupungufu.
Sisi hatuna mambo mengi siyo wanasiasa hatujasoma madomo yenu ya kijinga ya kukalili miaka na akina kinjekitilem
Mkuu mimi nimeajiriwa kipindi jpm akiwa rais,tena kwa interview halali kabisa.Kumbuka miaka mitano hakuweza kuajiri kabisa ndo chanzo Cha walimu, madaktari na manesi kujaa mtaani ambapo amempa shida sana mama kuwaabsorb wote Hawa. Kundi ni kubwa mno. Jk alikwenda vizuri sana ambapo alikuwa anaajiri sector hizi kwa maelefu labda ukatae mwenyewe kuajiriwa na serikali na ukumbuke enzi za jk private sector ilikuwa strong kiasi ambacho wengi hawakitaka kuajiriwa serikalini kabisa. Halafu ukumbuke miaka mitano yote hakuweza kuongeza kabisa mishahara ambapo jk alikuwa anaongeza kila mwaka na hii ikapelekea mzunguko wa pesa kuwa mkubwa. Hili neno vyuma vimekaza limeanza kuimbwa kipindi Cha jpm. Hii ni proof kwamba serikali ya jpm haikuwa na hela ila mabavu tu na ndo mana alitamani kuvifuta vyombo vyote vya habari ali asihojiwe kwa lolote na udictator umeanzia kwake.
Enzi za jk. Mi kwa Sasa naweza jiajiri kwa sababu Nina ajira na imenipatia kipato. Lakini enzi jpm hakukuwa na jaira kabisa ikawa ni vilio kwa wasomi. Sisi kipindi Cha jk hatukukutana na dhahama hiyo kabisaaPa kuanzia ni hiyo elimu yako mkuu?
Udaktari wako uliupatia wapi?
Alikuwa anadokoa dokoa ila jk hakuwa hivyo. Sisi muhimbili tulimaliza kama arobaini hivi ma wote tuliajiriwa pasi na kuomba Wala mainterview ya kijinga ya kipindi Cha jpmMkuu mimi nimeajiriwa kipindi jpm akiwa rais,tena kwa interview halali kabisa.
Naomba kujua unaposema hakuajiri kabisa una maana gani?
Ni kweli. Hakuwa na upeo wa kuwa rais. Lakini bado angeweza kufanya vizuri kama asingekuwa mbishi na akakubali kuweka watu wenye maono wawe wanamuongoza.Mimi nakubali Sana kuwa JPM alikuwa na utashi mkubwa na nchi hii lakini uwezo alikuwa Hana. Hii inadhihirishwa na miradi mikubwa aliyoianzisha japo Nina uhakika asingeweza kuimaliza mana tayari alinipiga Pini yeye mwenye kwa kuweza mazingira magumu kwa wafanyabiashara wakubwa kutoamini kuwekeza tena nchini kwa sababu ya kufokafoka kwake na ikumbukwe Hawa ndo walipa Kodi. Yeye alibaki tu anazalisha machinga wengi ambapo kimsingi hawalipi Kodi.
Pili alishajenga ukuta na mayaifa wahosani kwa kauli zake hivyo mikopo au misaada tukanyimwa kabisa.
Ndiyo alipenda nchi yake lakini uwezo alikuwa Hana. Akaanza kuvamia akaunti za matajiri ili kuiba hela kwa ajiri ya kumaliza miradi hiyo ambapo in the long run nchi ingeburuzwa mahakamani ndo ndo mana kila kukicha ndege zilikuwa zinakamatwa hapa na pale ambapo baadae shirika lingejikuta halina ndege tena.
una takwimu za wanaomaliza vyuo mbalimbali ni wangapi kwa mwaka?Enzi za jk. Mi kwa Sasa naweza jiajiri kwa sababu Nina ajira na imenipatia kipato. Lakini enzi jpm hakukuwa na jaira kabisa ikawa ni vilio kwa wasomi. Sisi kipindi Cha jk hatukukutana na dhahama hiyo kabisaa
Haiwezekani unless unatoka kwenye familia ambayo angalau wanauwezo wa kupata hata elfu moja kwa siku. Vijana wengi wametoka kwenye familia ambazo ni hohehahe ambazo hata kula tu ni shida. Acheni hizo theory zenu bwanaMi nimeuliza tu uwezo wako kitaaluma! Unashindwaje kuelewa tu kwamba mtaji mkubwa wa kuanza nao ni elimu yako?
Unasubiri ajira wakati unaelimu mkononi mwako?
Utakufa ukisubiri ajira