Kwahiyo ulitaka tu wakimaliza waajiriwe wote sio?,
Vipi unaongeleaje shule ina waalimu wa kiswahili 10,na inaongezewa tena watatu,lengo tu ni kuajiri au kufikia uhitaji?.
Pia,ukiona mtu anakwepa au hataki interview kwenye eneo alilosomea,huyo hayuko competent kabisa.
Kama nchi hatupaswi kuajiri ili kufurahisha watu,bali kukidhi uhitaji.
Serikali ianze kufanya interview kada zote hata waalimu,maana huko nyuma tumejaza watu incompetent ofisi za umma.
Nashukuru kwa interview ile,ilikua halali,hakuna vimemo,watu waliokua wakiisema vibaya ile taasisi tuliwaprove wrong,na hata wasiotaka usaili ufanyike nawaprove wrong.