Hahahaa uwe unajua unaongea na watu gani...hiv unadhani woote hatuna akili kama wewe..shule ya msingi umesoma mpaka la ngapi jomba..embu nenda mtaani uka test theory yako..upate findings za kutosha na conclusion..halaf uje na uharo wakoMimi nakubali Sana kuwa JPM alikuwa na utashi mkubwa na nchi hii lakini uwezo alikuwa Hana. Hii inadhihirishwa na miradi mikubwa aliyoianzisha japo Nina uhakika asingeweza kuimaliza mana tayari alinipiga Pini yeye mwenye kwa kuweza mazingira magumu kwa wafanyabiashara wakubwa kutoamini kuwekeza tena nchini kwa sababu ya kufokafoka kwake na ikumbukwe Hawa ndo walipa Kodi. Yeye alibaki tu anazalisha machinga wengi ambapo kimsingi hawalipi Kodi.
Pili alishajenga ukuta na mayaifa wahosani kwa kauli zake hivyo mikopo au misaada tukanyimwa kabisa.
Ndiyo alipenda nchi yake lakini uwezo alikuwa Hana. Akaanza kuvamia akaunti za matajiri ili kuiba hela kwa ajiri ya kumaliza miradi hiyo ambapo in the long run nchi ingeburuzwa mahakamani ndo ndo mana kila kukicha ndege zilikuwa zinakamatwa hapa na pale ambapo baadae shirika lingejikuta halina ndege tena.