JAYJAY
JF-Expert Member
- Oct 31, 2008
- 8,191
- 8,490
Vipi!? Kapigwa risasi tena!?Nimekwambia nenda ka test uchumi wako unaousema mitaani..utapata jibu...muulize Lissu yaliyompata
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vipi!? Kapigwa risasi tena!?Nimekwambia nenda ka test uchumi wako unaousema mitaani..utapata jibu...muulize Lissu yaliyompata
Jomba nadhan hapa umeeleza kitu ambacho huna uelewa nacho,,umendandia gari kwa mbele..aibuu....Rudi ufanye tafiti zaidi usicopy maneno ya watu usiyoyaelewa..usiwe kama wale ambao hawana akili..ambao kazi yao ni kupinga tu..kiwe chema au kibayaMimi nakupa fact, angalia mtiririko wa viongozi, hawa,, kambarage nae alikuja akataifisha mali za watu akitaka umiliki sawa wa mapato, wakati ilitakiwa kiuchumi wawepo matajiri ili waweze kutoa ajira kwa wengine,, yeye akasema njia kuu za uchumi lazima zimilikiwe na umma,, matokeo yake watu wakafirisi mashirika ya umma na uchumi wa nchi ukastuck,,
Jpm nae alikuwa na kauli kuwa lazima serikali ifanye miradi mikubwa na pesa ziko nyingi tu kwa watu na zitapatikana, 😂,akaanza kushika mali za matajiri ambazo walizinunua kipindi cha Privatisation cha mkapa, mfano kama ulinunua mfano kiwanda cha ngozi na kiwe kimesimama, anakichukua.
Account bank zikaanza kutembelewa pia,matokeo yake,wawekezaji wakakosa confidence na kuanza
Hahaha...muulize alivyoaibishwa alivyoanza kumsema hayatiVipi!? Kapigwa risasi tena!?
Hujielewi, yani kila Mtu anayekukosoa uandishi wako mbovu basi tayari kashakujaza ujinga kuwa amesomea Arts?Kwa nini nyie mliosoma arts m apenda sana kukosoa miandiko badara ya akili. Akili haipimwi na kuandika vizuri mdogo wangu. Come on achaneni na ujinga huo kwanza kuandika ni kupoteza mda tu wengine walioendelea ni voice note tu
Hii inasaida nini!?"jaira" [emoji2960]
Hebu nielekeze nimekosea wapi? 😆Jomba nadhan hapa umeeleza kitu ambacho huna uelewa nacho,,umendandia gari kwa mbele..aibuu....Rudi ufanye tafiti zaidi usicopy maneno ya watu usiyoyaelewa..usiwe kama wale ambao hawana akili..ambao kazi yao ni kupinga tu..kiwe chema au kibaya
Kwamba anabishiwa kuwa jiwe hakuagiza apigwe risasi au!?Hahaha...muulize alivyoaibishwa alivyoanza kumsema hayati
Mbona sasa hapa umeandika vizuri tu?Yuleyule ambaye anahisi mwandiko ndo elimu. Tuna safari ndefu sana. Yaani umeshindwa kuelewa kwamba nilimaanisha kijiweni!!!
[emoji847]Comment yako mbona niya kipumbavu sana,hiyo ajirakubwa uliipataje.
You must be cheti feki wewe.
Haya nenda waulize wenyewe wanafanyana niniKwamba anabishiwa kuwa jiwe hakuagiza apigwe risasi au!?
Hata wewe unaweza ondoka hata leo.na hata kesho usinione kwani Kuna mtu Ana Mkataba na Mungu, mlete hapa...Inside job ndio ikaenda kuonda cctv camera pale Dodoma au sio!? Jiwe alikuwa na uchungu na maendeleo ya nchi ila alikuwa mshamba sana na katili. Naamini kuna sababu ndio maana kaondoka mapema.
Kutetea ujinga wa jiwe sometimes lazima ujitoe akili.Haya nenda waulize wenyewe wanafanyana nini
Mimi hapa Nina mkataba naye na siku akitaka kunichukua ataniambia tu mana nimeokoka haswaa. Mi siyo mpagani kama wafanyavyo wakatolikiHata wewe unaweza ondoka hata leo.na hata kesho usinione kwani Kuna mtu Ana Mkataba na Mungu, mlete hapa...
" wema hawafi" wanasema wenzake wa chama cha mambuziHata wewe unaweza ondoka hata leo.na hata kesho usinione kwani Kuna mtu Ana Mkataba na Mungu, mlete hapa...
Hii ni kufuru kwa Mungu..achana na biashara hii..usimjaribu Mungu...kwa hili..acha...!!Mimi hapa Nina mkataba naye na siku akitaka kunichukua ataniambia tu mana nimeokoka haswaa. Mi siyo mpagani kama wafanyavyo wakatoliki
Yule mzee ni mawazo yake tena ya kijinga ,,,sorry to say this...sio mawazo ya chama dola" wema hawafi" wanasema wenzake wa chama cha mambuzi
Wewe mshamba unatoka nje ya reli sasa. Muda mrefu hapa unajifanya daktari wakati wewe ni mburula mmoja tu. Kuokoka ndio kitu gani!?Mimi hapa Nina mkataba naye na siku akitaka kunichukua ataniambia tu mana nimeokoka haswaa. Mi siyo mpagani kama wafanyavyo wakatoliki
Ukizungumza haya ukumbuke ni kipindi chake kipi? Cha kwanza nchi ilikuwa na resesrve ya Mkapa ambaye aliuza mashirika ya umma...Ni JPM ndiye aliyekuja na vitu ambavyo ni vya ndani kujenga reserve ya nchi na alikuwa anaenda vizuri, kama asingekatizwa na kifo kipindi hiki ndiyo ungejua uchumi unajengwaje kwakua miradi yake yote ya kimkakati ingeanza kutema na ungeshangaa angeajiri mpaka wakakosekana wakuajiri...JPM hawezi kuwa evaluated kwakua hakufanikiwa kumaliza mipango yake according to plans kwakua plan yake ni 10 years wakati ameitekeleza kwa only 5 years, mchawi mchukie haki yake mpe...Kumbuka miaka mitano hakuweza kuajiri kabisa ndo chanzo Cha walimu, madaktari na manesi kujaa mtaani ambapo amempa shida sana mama kuwaabsorb wote Hawa. Kundi ni kubwa mno. Jk alikwenda vizuri sana ambapo alikuwa anaajiri sector hizi kwa maelefu labda ukatae mwenyewe kuajiriwa na serikali na ukumbuke enzi za jk private sector ilikuwa strong kiasi ambacho wengi hawakitaka kuajiriwa serikalini kabisa. Halafu ukumbuke miaka mitano yote hakuweza kuongeza kabisa mishahara ambapo jk alikuwa anaongeza kila mwaka na hii ikapelekea mzunguko wa pesa kuwa mkubwa. Hili neno vyuma vimekaza limeanza kuimbwa kipindi Cha jpm. Hii ni proof kwamba serikali ya jpm haikuwa na hela ila mabavu tu na ndo mana alitamani kuvifuta vyombo vyote vya habari ali asihojiwe kwa lolote na udictator umeanzia kwake.
Nimesema kitu chochote kibaya kuhusu JPM ukitaka kum test nenda mtaani kaongee na wananchi..utapata majibu..lakini unavyosema hivi hapa wewe ndio unaonekana mjingaKutetea ujinga wa jiwe sometimes lazima ujitoe akili.