Mashirika yapi yaliuzwa kwa hela nyingi?, BORA au makaa ya mawe mchuchuma? 😂,
NBC iliuzwa hadi mwalimu alitaka kuzuia, mkapa akauza,, KAUMA sijui nayo iliingiza ngapi,, SUKITA nayo hatujui,
Kiufupi mashirika ya umma hata mwinyi aliyakuta yako hoi bin taabani,, government centred economy ilikua imefail,, IMF walitaka yafanyike mageuzi ya kisiasa na kiuchumi ili watoe misaada,
Nwalimu hakukubali, akang'atuka, wakati mwinyi anashika madaraka, tayari mashirika yashakua hoi, ndo akaanzia structual adjustment programme,, ambao ulikua mpango wa IMF kufufua uchumi wa nchi za dunia ya tatu,
Mkapa aliendeleza tu kwa kubinafsisha mashirika, kwani IMF walitaka serikali ijitoe katika kufanya biashara,
Wakati jk anaingia ndo alikuta sector binafsi ndo ikijikongoja kunyanyuka ndo akafungua fursa zaidi ya private sector, market economy🤷🏾♂️