Hayati Magufuli alikuwa na utashi lakini alikosa uwezo

waambie wajiajiri, watakufa masikini
Ndo maana tunamponda jpm aliharibu nchi na watu wake hasa vijana wenye ndoto zao akabaki anapendwa na mbumbumbu ambao hawajui chochote wakabaki wanafurahia tu kutumbua mtu ili afanane na umbulula wao na umaskini
 
Elewa nilichoandila. Fanya utafiti kwamba tajiri namba moja duniani Elon musk alianza kuajiriwa.
Embu soma hii

🤗
Benki ya Standard Chartered iliamua kufanya utafiti wa maisha halisi ya wastaafu wapatao 100 kutoka kwenye ajira za Serekalini, Mashirika ya Umma na Makampuni binafsi kwa muda wa miaka mitano (5) wakapata na matokeo yafuatayo:

1. Wastaafu 49 kati ya 100 (49%) walikuwa tegemezi kwa ndugu zao na jamaa zao. (walishindwa kujimudu).

2. Wastaafu 29 kati ya 100 (29%) walikufa kwa sababu ya msongo wa mawazo, masononeko na magonjwa ya moyo kutokana na ugumu wa maisha.

3. Wastaafu 12 kati ya 100 (12%) walifilisika na kuishiwa mali zote walizokusanya wakati wakiwa wanafanya kazi.

4. Wastaafu 5 kati 100 (5%) walilazimika kutafuta kazi nyingine za kuajiriwa baada ya kustaafu ili waweze kujikimu na ugumu wa maisha.

5. Wastaafu 4 kati ya 100 (4%) walikuwa na uhuru wa kifedha, waliweza kuyamudu mahitaji yao bila changamoto kwa kuwa waliwekeza.

6. Mstaafu 1 kati ya 100 (1%) alikuwa tajiri kwa kuwa alijiandalia vyanzo vya mapato wakati bado yuko kazini.

49 + 29 + 12+ 5 + 4 + 1 = 100%

Wewe uliyestaafu unajijua uko kundi gani na Mungu akusaidie na akutie Nguvu.(naomba Usinichukie mimi)

Wewe uliye kazini bado angalia mafungu hayo sita (6) na ujitafakari sasa utakuja kuishia fungu lipi.
 
Mtu ambae anasema mwenzake Hana utashi, hata kuandika vizuri tu hawez
 
Hivi umelewa kweli nilichoandila? Nimesemea kwamba aim ni kujiajiri ili kupata kipato kikubwa ila lazima upate pa kuanzia. Huwezi kujiajiri from no where. Ndo mana nikatoa mfano wa Elon musk
 
Umesema wewe ni Dakitari eeh?
 
Hapa ndo nimeamin Kama alivyo sema mtu hàoendwi na watu wote nisahihi
 
Ndo maana tunamponda jpm aliharibu nchi na watu wake hasa vijana wenye ndoto zao akabaki anapendwa na mbumbumbu ambao hawajui chochote wakabaki wanafurahia tu kutumbua mtu ili afanane na umbulula wao na umaskini
Wewe ni daktari siyo?

Wewe ni mjinga sjawahi ona, daktari gani unaandika kijinga namna hii
 
Enzi za jk akina Olimboka walipigwa na kutekwa kwakulamikia upungu huo wa madaktari na vifaa duni.magufuli ameingia madarakani hospital zote za mikoa na Wilaya zilikuwa azina mashine za MRI ma Tc-can wagonjwa wote walipewa rufaa ya kuja Muhimbili, napo walipokuwa wanafika Muhimbili wanambiwa mashine zimearibika waende hospital za private Regency,baada ya Magufuli kushika madaraka ndio mashine zote zilinunuliwa kila Mkoa na Wilaya na wataalamu wakaajiliwa ingawa sio wengi, vijijini hapakuwepo na umeme Magufuli ndiye aliyejitahidi kusambaza umeme vijiji vingi, wataalamu waliokuwa wakiperekwa huko walikuwa wakiacha kazi nakwenda private hapa dar kwasababu ya mazingira, katika watu waliojari madaktari wengi ni Magufuli kwasababu alijenga hospital nyingi na Zahanati hatukuwahi kusikia wala kuona madaktari wakilalamika kwamba wanaupungufu.
 
Wewe ni daktari siyo?

Wewe ni mjinga sjawahi ona, daktari gani unaandika kijinga namna hii
Sisi hatuna mambo mengi siyo wanasiasa hatujasoma madomo yenu ya kijinga ya kukalili miaka na akina kinjekitile
 
Hivi umelewa kweli nilichoandila? Nimesemea kwamba aim ni kujiajiri ili kupata kipato kikubwa ila lazima upate pa kuanzia. Huwezi kujiajiri from no where. Ndo mana nikatoa mfano wa Elon musk
Pa kuanzia ni hiyo elimu yako mkuu?

Udaktari wako uliupatia wapi?
 
Hapa nilipo kiniweni tu Kuna madaktari watano hawana ajira ila Wana matumaini mama atasolve tatizo Hilo na wanafurahia sana kifo Cha jpm kwamba kimeleta unafuu wa maisha. Yaani wata walimu ilikuwa vilio wamejazana mtaani tu hata shule binafsi zikawa zinafunga biashara daily. Kwa Sasa angalau
 
Sisi hatuna mambo mengi siyo wanasiasa hatujasoma madomo yenu ya kijinga ya kukalili miaka na akina kinjekitilem

Mi nimeuliza tu uwezo wako kitaaluma! Unashindwaje kuelewa tu kwamba mtaji mkubwa wa kuanza nao ni elimu yako?
Unasubiri ajira wakati unaelimu mkononi mwako?

Utakufa ukisubiri ajira
 
Mkuu mimi nimeajiriwa kipindi jpm akiwa rais,tena kwa interview halali kabisa.

Naomba kujua unaposema hakuajiri kabisa una maana gani?
 
Pa kuanzia ni hiyo elimu yako mkuu?

Udaktari wako uliupatia wapi?
Enzi za jk. Mi kwa Sasa naweza jiajiri kwa sababu Nina ajira na imenipatia kipato. Lakini enzi jpm hakukuwa na jaira kabisa ikawa ni vilio kwa wasomi. Sisi kipindi Cha jk hatukukutana na dhahama hiyo kabisaa
 
Mkuu mimi nimeajiriwa kipindi jpm akiwa rais,tena kwa interview halali kabisa.

Naomba kujua unaposema hakuajiri kabisa una maana gani?
Alikuwa anadokoa dokoa ila jk hakuwa hivyo. Sisi muhimbili tulimaliza kama arobaini hivi ma wote tuliajiriwa pasi na kuomba Wala mainterview ya kijinga ya kipindi Cha jpm
 
Ni kweli. Hakuwa na upeo wa kuwa rais. Lakini bado angeweza kufanya vizuri kama asingekuwa mbishi na akakubali kuweka watu wenye maono wawe wanamuongoza.
 
Enzi za jk. Mi kwa Sasa naweza jiajiri kwa sababu Nina ajira na imenipatia kipato. Lakini enzi jpm hakukuwa na jaira kabisa ikawa ni vilio kwa wasomi. Sisi kipindi Cha jk hatukukutana na dhahama hiyo kabisaa
una takwimu za wanaomaliza vyuo mbalimbali ni wangapi kwa mwaka?

Je wanaoajiriwa kwa mwaka ni wangapi pia?

Ukishajua haya ujiulize pia kwamba, wale ambao hawapati ajira huwa wanaenda wapi?

Ukisha jibu hilo utajiona jinsi ulivyo!

Watu tunasoma ili elimu yetu itusaidie kusonga ili kuyakabili maisha, itokee tunaajiliwa ama hapana!

We daktari wa nini vile?
 
Mi nimeuliza tu uwezo wako kitaaluma! Unashindwaje kuelewa tu kwamba mtaji mkubwa wa kuanza nao ni elimu yako?
Unasubiri ajira wakati unaelimu mkononi mwako?

Utakufa ukisubiri ajira
Haiwezekani unless unatoka kwenye familia ambayo angalau wanauwezo wa kupata hata elfu moja kwa siku. Vijana wengi wametoka kwenye familia ambazo ni hohehahe ambazo hata kula tu ni shida. Acheni hizo theory zenu bwana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…