Hayati Magufuli alikuwa 'system disruptor', kwa bahati mbaya hakuimaliza kazi, kwa sasa hakuna tumaini tena

Ili Tanzania mpya izaliwe, ilikuwa ni lazima ile ya zamani ife. Hapa nazungumzia 'system' ya zamani. Yale makundi ya watu yaliyohodhi madaraka na mamlaka ya nchi, ambayo yanabadilishana tu kutoka kizazi kimoja hadi kingine.

JPM, labda kwa bahati mbaya au kwa mipango madhubuti ya wazalendo alikwenda ikulu kwa kazi hiyo. Ilikuwa ni vita kwelikweli.

Kwenye madaraka haitakiwi kuacha 'vacuum', unapo ua system ya zamani ni lazima ujenge 'sytem' mpya. System ya JPM ilikuwa bado changa, haina mizizi wala mtaji wa watu kwenye chama na serikali. Na sasa imefagiliwa mbali.

'System' ya zamani imeshinda vita na imerudi madarakani, Tanzania ya zamani inasonga mbele. Kwasasa hakuna matumaini tena ya kuziondoa zile familia za kifalme kwenye madaraka ya nchi.

RIP JPM, you tried.
System disruptor, halafu akaweka ndugu na jamaa zake !!! Ilikuwa sawa hiyo?
Tulilie katiba ambayo itatupa strong institutions , not strong leadership.
 
Ili Tanzania mpya izaliwe, ilikuwa ni lazima ile ya zamani ife. Hapa nazungumzia 'system' ya zamani. Yale makundi ya watu yaliyohodhi madaraka na mamlaka ya nchi, ambayo yanabadilishana tu kutoka kizazi kimoja hadi kingine.

JPM, labda kwa bahati mbaya au kwa mipango madhubuti ya wazalendo alikwenda ikulu kwa kazi hiyo. Ilikuwa ni vita kwelikweli.

Kwenye madaraka haitakiwi kuacha 'vacuum', unapo ua system ya zamani ni lazima ujenge 'sytem' mpya. System ya JPM ilikuwa bado changa, haina mizizi wala mtaji wa watu kwenye chama na serikali. Na sasa imefagiliwa mbali.

'System' ya zamani imeshinda vita na imerudi madarakani, Tanzania ya zamani inasonga mbele. Kwasasa hakuna matumaini tena ya kuziondoa zile familia za kifalme kwenye madaraka ya nchi.

RIP JPM, you tried.
Hapo ndipo JPM alipokosea sana. You cannot disrupt a system which has been in place for a long time and expect a positive outcome. Kaisome concept ya "Change Management" .
 
Ili Tanzania mpya izaliwe, ilikuwa ni lazima ile ya zamani ife. Hapa nazungumzia 'system' ya zamani. Yale makundi ya watu yaliyohodhi madaraka na mamlaka ya nchi, ambayo yanabadilishana tu kutoka kizazi kimoja hadi kingine.

JPM, labda kwa bahati mbaya au kwa mipango madhubuti ya wazalendo alikwenda ikulu kwa kazi hiyo. Ilikuwa ni vita kwelikweli.

Kwenye madaraka haitakiwi kuacha 'vacuum', unapo ua system ya zamani ni lazima ujenge 'sytem' mpya. System ya JPM ilikuwa bado changa, haina mizizi wala mtaji wa watu kwenye chama na serikali. Na sasa imefagiliwa mbali.

'System' ya zamani imeshinda vita na imerudi madarakani, Tanzania ya zamani inasonga mbele. Kwasasa hakuna matumaini tena ya kuziondoa zile familia za kifalme kwenye madaraka ya nchi.

RIP JPM, you tried.
mafisadi yote yamerudi kwa kasi
 
Kosa alilofanya ni huruma yake ya kutomdhoofisha master mind... angeruhusu hilo leo tungekuwa wapya....
 
Kwa kweli Magufuli ndiye alikuwa rais sahihi kwetu....yaani hapa kwa huyu Mam na Kikwete tumepigwa changa la macho. Angalia wanatuletea useless viongozi wale wale walioshindwa kazi na kufukuzwa, tunakwenda wapi jamani? Ujinga mwingine, Mama anampa zungu la unga (Ridhiwani Kikwete) uongozi wakati ilibidi dogo awe jela akila maharage ya kuoza.
 
Mbaya zaidi wenye hii system wameshashtuka hawata ruhusu tena ajipenyeze mtu nje ya system
LA kuvunda huwa halina dawa ! Huwa inatokea yule mnayemwamini sana kwamba ni mwenzenu kumbe akishafika huko juu anawabadilikieni !! Hata kama ni mwanenu !! Juhudi haishindi kudra !!
 
Kosa lake kubwa lilikuwa ni kujimilokisha maguvu yote, hakujua kwamba huo uwezo hana. Alitakiwa atengeneze taasisi imara zenye uwezo wa kuuma hata kama ingetokea yeye mwenyewe kukosea. Kwa kufanya haya, hii system ya sasa angeimaliza kabis. Nje ya haya, anabakia kuwa mtu wa hivyo zaidi kuliongoza taifa hili.
INAFIKIRISHA SANA !!! Pamoja na mapungufu yaliyokuwepo lakini njia imeonyeshwa kwamba kumbe inawezekana ! Hata katika yale tuliyokuwa tukidhani hayawezekani ! Kinachotakiwa ni uzalendo na ujasiri !! ( even Rome was not built in one day )
 
Mungu wa watanzania yuko kazini hata Sasa. Mtu

Mtume Mwingira alisema hadharani kuwa wakat wa awamu ya Tano SHETANI ALIKUWA AMEKAA IKULU WAKATI HUO, watu kupotea,lisu kupigwa risasi nk ilikuwa ni ishara kuwa mfumo alipkuwa anaujenga Magufuri ulikuwa niwa kuipeleka nchi yetu kuzimuni Kwa mjibu wa mtume Mwingira. Akina sabaya na makonda ni zao baya la mfumo huo. Tunamuombea raisi Samia Kwa Mungu Ili aongoze nchi yetu Kwa upendo,haki na uhuru Ili pawe ni mahali salama pa kuishi. Heri mfumo hou wa magufi ufe kuliko kuendelea kuwepo na kuleta matatizo Kwa watanzania. Hata Bashiru naye apewe ubalozi Ili atupishe hapa kwetu kama Pole pole alivyoondolewa
Hao wauza unga wanaoachiwa hivi sasa unadhani kutakuwa mahali salama kwa vijana huko mitaani?
 
Hivi sisi wananchi mchango wetu kwenye kuleta mabadiliko ni upi? Maana naona tumekaa tu tunaimba katiba mpya(mitandaoni) na kuishia kusema angebadili mifumo mara sijui utawala wake ulikuwa wa hovyo bora sasa yani tupo tupo tu, tunataka mambo yabadilike bila sie wenyewe kubadilika na kuwa kutoa mchango kwenye hayo mabadiliko.

Kukaa na kuanza kulaumu utawala wa Magufuli au utawala huu wa sasa haitusaidii lolote, hao wanasiasa wanafanya yao sie tunafanya nini?
 
Mbona Magufuri kampeleka mwinyi Zanzibar?.

Tena alijaza ndugu zake Kama doto James hazina na heri James uvccm.

Mpaka kabula nyumba ndogo alipata ubunge viti Maalum.
Mi mwenyewe nashangaa Jiwe alikosea alivyojipendelea tu. Mtu akiamua kukaza akaze kweli sio unawakazia wenzako we unaiba. To hell with him.
 
Ili Tanzania mpya izaliwe, ilikuwa ni lazima ile ya zamani ife. Hapa nazungumzia 'system' ya zamani. Yale makundi ya watu yaliyohodhi madaraka na mamlaka ya nchi, ambayo yanabadilishana tu kutoka kizazi kimoja hadi kingine.

JPM, labda kwa bahati mbaya au kwa mipango madhubuti ya wazalendo alikwenda ikulu kwa kazi hiyo. Ilikuwa ni vita kwelikweli.

Kwenye madaraka haitakiwi kuacha 'vacuum', unapo ua system ya zamani ni lazima ujenge 'sytem' mpya. System ya JPM ilikuwa bado changa, haina mizizi wala mtaji wa watu kwenye chama na serikali. Na sasa imefagiliwa mbali.

'System' ya zamani imeshinda vita na imerudi madarakani, Tanzania ya zamani inasonga mbele. Kwasasa hakuna matumaini tena ya kuziondoa zile familia za kifalme kwenye madaraka ya nchi.

RIP JPM, you tried.
Sema wewe ndio huna matumaini. Watanzania wamejawa na nyoyo za furaha na amani chini ya Rais Samia Suluhu Hasani.
 
Hivi sisi wananchi mchango wetu kwenye kuleta mabadiliko ni upi? Maana naona tumekaa tu tunaimba katiba mpya(mitandaoni) na kuishia kusema angebadili mifumo mara sijui utawala wake ulikuwa wa hovyo bora sasa yani tupo tupo tu, tunataka mambo yabadilike bila sie wenyewe kubadilika na kuwa kutoa mchango kwenye hayo mabadiliko.

Kukaa na kuanza kulaumu utawala wa Magufuli au utawala huu wa sasa haitusaidii lolote, hao wanasiasa wanafanya yao sie tunafanya nini?
Hatuwezi kupingana na wanaomiliki mitutu. Angalau tunaweza kuonesha hisia zetu kuwa hatupendi tunayofanyiwa japo kwa kutamka kwa maneno tu.
 
Taasisi imara ndio ilikuwa jibu ila tamaa zimempeleka kuzimu
Huwezi kuendesha nchi nzima peke yako mpaka uwe muuwaji haswa
Ila kama unataka marndeleo lazima uwe fair na kuweka mipango madhubuti bila kucheza na maisha ya watu

Ni dictator tu anaweza kuipelekesha nchi peke yake
 
Back
Top Bottom