Hayati Magufuli alikuwa 'system disruptor', kwa bahati mbaya hakuimaliza kazi, kwa sasa hakuna tumaini tena

Kama tulivyomwambia Mungu atusaidie kwa huyu jambazi ndivyo tutakavyomwambia kwa yule master minder wao (kila mtu anamfahamu). Mungu anaweza wakuu!
 
Kama angekuwa mwema angetuletea katiba nzuri ili ht siku akifa basi katiba iwe msaada wetu. Mfumo mbovu umeukumbatia alafu unajenga future kweli?
 
Kiongozi wa watu vs Mapaka😁😁😁
Your browser is not able to display this video.
Your browser is not able to display this video.
 
Huwezi kushindana na system,establishment,Raisi mwenyewe anaweza asiwe mmoja wa system,akileta za kuleta wanamtuliza!
Huyu kinana huyu anahusika na biashara ya nyara za serikali,meno ya tembo,
Sasa ghafla waziri wa maliasiri mwenye weredi,anatolewa,anawekwa mama alieshindwa hata kuwa balozi!hapo wameweka waziri atakae kimbizwa na wahuni,na tukumbuke huyu mama aliwahi kuwa balozi Kenya,akafanya madudu akarudishwa bongo na JPM,hapa naona mkono wa ujasusi wa Kenya katika kushawishi huyu mama awekwe kwenye hii wizara,Ili afanye maamuzi ya kujinufaisha Kenya.
 
System bila katiba bora yenye kujenga taasisi Imara ni sawa na kujilisha upepo tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…