Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,439
- 145,410
In all fairness, matatizo ya moyo si na yasiwe disqualification ya kugombea urais.Mimi simshangai bali namkubali kwa kitu kimoja. Akijuia kabisa ana shida ya moyo lakini bado alipata guts za kugombea nafasi ya juu kabisa katika utawala wa nchi yetu ...
Afu kuna pimbi nyingine zina complications ndogo tu kama BP na kisukari zinaogopa hata kuongoza vikao vya familia...
Nilikuwa namdis sana Magu, ila leo nimemvuia kofia rasmi...
Hahahaha. PhD holder anafuata ushauri wa msukuma. ChaaaaaaaaaaliKosa kubwa kuliko yote aliyoyafanya ni alipoidharau corona na kufuata ushauri wa Msukuma
Tulikuwa tunasema anajiamini nini au ameshachanjwa
Lwakatale??????????..
We unaumwa au .
Je, yawezekana pia hayo matatizo yake ya moyo ndo yaliyomfanya asiwe anasafiri sana hususan nchi za nje?
Manake wakati mwingine ujinga unaweza ukamfanya mtu amhukumu kimakosa mtu mwingine.
Sisi tulikuwa tukitania ni kwa sababu alikuwa haongei vizuri Kiingereza na ndo maana alikuwa hasafiri sana kwenda nchi za nje.
Nimelifikiria sana hili suala na naona lina make sense.
Dah! I wish I knew he had some serious heart problems.
Mbona alikuwa anaweza piga push ups wakati Lowassa mgonjwa alikuwa hawezi?Pamoja na majonzi ya kuondokewa na mh. Rais lakini ni vema tukakumbuka maisha aliyoishi.
Magufuli kwa kutambua kwamba ana maradhi yasiyotibika alienda kupata kikombe Cha miujiza kwa Babu wa Liliondo . Baadae iligundulika kwamba kikombe kile ulikuwa usanii tu hivyo JPM aliendelea kuwa mgonjwa.
Pili kwa kutambua kwamba ana matatizo ya moyo- Magufuli Mara kadhaa amekuwa akijiepusha kushiriki katika masuala ya simanzi Kama misiba kwa sababu za kiafya.
Hi misiba ya karibuni hasa wa Balozi Kijazi bila Shaka ilimuathiri sana Magufuli.
Naamini si CORONA Wala Mabeberu
Alale salama.
How I wish angetufahamisha ili baadhi ya maneno ya kumkejeli kuhusu uwezo wake wa kutumia kimombo ungepungua..ilifika wakati nikajiuliza kama hajui kimombo,si angetembelea nchi kama Urusi,ufaransa,ujerumani,japani, Scandinavian countries au ata Koreas... anyways now watawala wajifunze kutumia power of information..inasaidia Sana kupunguza sintofahamu katika jamii.
Sijui kuhusu mlinzi wa Magufuli kama kafaliki, lakini hili kuugulia Nairobi ni uwongo kabisa. Inawezekana naye kafariki kama ni kweli akiwa hosptali hiyo ya VIP Dar. Hospitali hiyo ya VIP Dar ni bora mara kumi kuliko NairobiCorona wengi waliomzunguka imewaua na mlinzi wake tunaambiwa, amefia Nairobi walikokua wanauguzana.
Moyo mbovu unapona vipi Corona
.Sijui kuhusu mlinzi wa Magufuli kama kafaliki, lakini hili kuugulia Nairobi ni uwongo kabisa. Inawezekana naye kafariki kama ni kweli akiwa hosptali hiyo ya VIP Dar. Hospitali hiyo ya VIP Dar ni bora mara kumi kuliko Nairobi
Vetting ya Tanzania iko very poor,unaruhusu vipi mtu mwenye serious heart problems kuwa Rais wa nchi? imetucost sanaPamoja na majonzi ya kuondokewa na mh. Rais lakini ni vema tukakumbuka maisha aliyoishi.
Magufuli kwa kutambua kwamba ana maradhi yasiyotibika alienda kupata kikombe Cha miujiza kwa Babu wa Liliondo . Baadae iligundulika kwamba kikombe kile ulikuwa usanii tu hivyo JPM aliendelea kuwa mgonjwa.
Pili kwa kutambua kwamba ana matatizo ya moyo- Magufuli Mara kadhaa amekuwa akijiepusha kushiriki katika masuala ya simanzi Kama misiba kwa sababu za kiafya.
Hi misiba ya karibuni hasa wa Balozi Kijazi bila Shaka ilimuathiri sana Magufuli.
Naamini si CORONA Wala Mabeberu
Alale salama.
siyo dhambi kufia nairobi, lakini hadithi siyo siyo sahihi. Nimeshaongea na mmoja wa madakatria waliokuwa wanamtibu hapo Dar..
.kwani ni dhambi kufia Nairobi?
..si tunaweza kumsifia kuwa angeweza kwenda Ulaya kutibiwa lakini akaamua kutibiwa na Waafrika wenzake Nairobi?
Yaani hawa jamaa wana mzaha sana.ficha upumbavu wako..
ina maana hata vyombo vya habari hamsikilizi.??
unadhani kwanin vijana wengi hawafi kwa corona bali watu wazima na wazee.???
corona inapenda sana watu wenye matatizo ya moyo, sukari, presha e.t.c
refer hata kwa viongozi waliokufa RWAKATARE, MAHIGA, KIJAZI, MKAPA ,MAGUFULI,..
hawa wote angalia umri wao ulizia historia zao za maradhi..
siyo dhambi kufia nairobi, lakini hadithi siyo siyo sahihi. Nimeshaongea na mmoja wa madakatria waliokuwa wanamtibu hapo Dar.
Hivi ni mlinzi wake huyo aliyefariki?kuna yule bodyguard na kuna wale wanaosimamia nyuma walikua wawili wakipeana zamu ,ni yupi kati yao?Corona wengi waliomzunguka imewaua na mlinzi wake tunaambiwa, amefia Nairobi walikokua wanauguzana.
Moyo mbovu unapona vipi Corona
Feni sikua naiona jamani [emoji23]Kila alipotokea hadharani alikua na feni nyuma yake. Hakua anasimama muda mrefu. Na inawezekana miguu yake ilikua inavimba kila mara ndiyo maana alikua na muda mwingi wa kufanyia kazi Chato akiwa amepumzika.
Hizi taarifa unazotoa zilisha expire siku nyingi.Kwa nini tangu 2015 hukuzitoa unazitoa leo baada ya yeye kufariki? Zinatusaidia nini.Unasema alikuwa mgonjwa vipi na alikuwa anapiga push up kwenye mikutanao.Usituongopee hapa.Mmezoea kuongopa na kutupa habari za uongo kama huyu alisema,ameongea naye kwenye simu ni mzima wa afya.Haya huyu naye akasema anachapa kazi kama kawaida, mnataka kukutana naye kariakoo,mwingine akasema,Rais sio.............Hizi kauli sijui walizipata wapi.Afadhali hata mngesema afya ya mzee sio nzuri tufunge na kuomba.Mmetusikitisha sana.Pamoja na majonzi ya kuondokewa na mh. Rais lakini ni vema tukakumbuka maisha aliyoishi.
Magufuli kwa kutambua kwamba ana maradhi yasiyotibika alienda kupata kikombe Cha miujiza kwa Babu wa Liliondo . Baadae iligundulika kwamba kikombe kile ulikuwa usanii tu hivyo JPM aliendelea kuwa mgonjwa.
Pili kwa kutambua kwamba ana matatizo ya moyo- Magufuli Mara kadhaa amekuwa akijiepusha kushiriki katika masuala ya simanzi Kama misiba kwa sababu za kiafya.
Hi misiba ya karibuni hasa wa Balozi Kijazi bila Shaka ilimuathiri sana Magufuli.
Naamini si CORONA Wala Mabeberu
Alale salama.
Hata kuna wakati walimshauri "mzee vaa barakoa" ila yeye akasema hapana, sitavaa na hata walionizunguka sitaki wavae. Kwa kutojua kwetu hatukulalama....hata kuna wakati walimshauri "mzee leo pumzika"
ila yeye akasema hapana Nitajitahidi nitaenda,ila huku nnje kwakutokujua kwetu tulikua tukilalama.
Feni sikua naiona jamani [emoji23]
Moyo, kisukari +ngono vinapunguza kinga kwa wanaume.Eti mkuu, Kwa nini wengiwao wanakuwa ni wanaume ati?