Hayati Magufuli alionesha mara kadhaa kuwa ni mgonjwa wa moyo

Hayati Magufuli alionesha mara kadhaa kuwa ni mgonjwa wa moyo

Hao wakenya wapuuzi sana.
NA WALA SIO MARAFIKI WAZURI NI PANYA WANAONG'ATA NA KUPULIZA
..walete ushahidi wa nini wakati umeshaamua kufunga akili yako?

..watu waliodai kuwa Magu ni mzima anachapa kazi ndio unawaamini?
 
Na amejiachia legacy ya hovyo na ya ajabu.

Kupoteza watu, kuua watu, kukwapua ela za watu, kuanzisha bwawa la mamba kuwakomoa wakosoaji wake (mamba walikua wakiachwa mpaka wiki wakiwa na njaa akikaribia mtu kutupwa umu ili ukitupiwa tu umo mamba wanakutafuna mpaka viatu vyako na autaonekana milele), kudhalilisha wamama, kuua demokrasia ya nchi, wizi wa kura wa hatari, ujuaji wa kila kitu.
Kuigeuza nchi kuwa ya kidikteta.

Lijamaa lilikuwa la ovyooo kabisa.
Mnavyo mtetea!! [emoji849] Sasa kama alijua fika ana hayo matatizo, si angejipumzikia tu!! Alikuwa ni mbunge na waziri kwa miaka 20! Kipi kilichomvutia kugombea Urais? Tena kwa awamu mbili!! [emoji45]

Yaani hapa ishu ni kwamba corona ya awamu hii ya pili inawasakama sana watu wenye umri mkubwa na wale wenye magonjwa sugu ya kuambukizwa na pia yale yasiyo ya kuambukizwa.

Kwa bahati mbaya na mzee naye amekutwa na huo mkasa. Tukubali matokeo, na pia tuendelee kuchukua tahadhari. Full stop!![emoji56]
 
..walete ushahidi wa nini wakati umeshaamua kufunga akili yako?

..watu waliodai kuwa Magu ni mzima anachapa kazi ndio unawaamini?
Magu alikuwa na matatizo ya mooyo tangu mwaka 1991 hivi. Tarehe 28 February 2021 aliposhauriwa na madakatari ajipe mapumziko asifanye kazi, yeye aliendelea kufanya kazi na hivyo kukiuka ushauri wa madakari jambo ambalo linaweze kuwa limecost maisha yake. Mawaziri wote waliosema alikuwa akiendelea na kazi walikuwa right, ila huenda bila kujua kuwa jamaa alikuwa akifanya kazi kinyume na ushauri wa madaktari wake!
 
waliamua kukaa kimya kuwatoa watu HOFU.waliamini atarudi kwenye hali yake ya kawaida ila MUNGU hakupenda.
ila suala la magufuli alikwenda nairobi HUO NI UZUSHI WA WAKENYA.
Wale sio watu wazuri hata kidogo.
Alafu TISS ya miaka hii ni OVYO KABISA ukweli USEMWE
ukumbuke serikali pia ilisema yupo mzima anachapa kazi. mwingine akasema amepigiwa simu naye!unaiamini serikali ipi
 
Dokumenti za mhimbili unazo? halafu wakupe ushahidi wewe au nani mwingine anayeutaka?

..halafu it doesnt make sense mtu ana tatizo la MOYO halafu anatoka Jakaya Kikwete Cardiac Institute anakwenda kutibiwa Mzena Hospital. daktari aliyemuandikia hiyo discharge / transfer kwa maoni yangu atakuwa ni mwendawazimu.
 
Hao wakenya wapuuzi sana.
NA WALA SIO MARAFIKI WAZURI NI PANYA WANAONG'ATA NA KUPULIZA

..Wakenya ni watu wazuri sana kwasababu wananunua mahindi yetu.

..mahindi tunayouza Kenya kwa mwaka mmoja yanatuingizia pesa sawa na inayojenga daraja la Kigongo -- Busisi.
 
..halafu it doesnt make sense mtu ana tatizo la MOYO halafu anatoka Jakaya Kikwete Cardiac Institute anakwenda kutibiwa Mzena Hospital. daktari aliyemuandikia hiyo discharge / transfer kwa maoni yangu atakuwa ni mwendawazimu.
Alikwenda Mzena na madtakari kutoka JKI. Vifaa vyote vilivoke JKI vipo Mzena pia
 
Shida wana kimbele mbele.
..Wakenya ni watu wazuri sana kwasababu wananunua mahindi yetu.

..mahindi tunayouza Kenya kwa mwaka mmoja yanatuingizia pesa sawa na inayojenga daraja la Kigongo -- Busisi.
 
Pole sana mkuu!

Rais Magufuli ni aina ya watu wenye energy na determination sana, na aina ya watu hao kitu pekee cha kuwastopisha ni kifo tu.

Ndio maana suala la corona aliliona ni kikwazo katika determination yake akaamua kulipuuza. Kwake ilikuwa bora afie vitani kuliko kujikunyatia ndani kwa sababu ya corona. Kwake suala la maendeleo ya nchi ilikuwa suala la vita. You either win or lose, but retreating is not an option.

Amekufa kishujaa, na kumbukumbu yake itabaki kama Rais bora kabisa wa nchi yetu, baada ya baba wa taifa.
Sawa amefanya kwa sehemu yake ila naamini alikuwa hajamfikia mzee Mkapa.
Kama ni mfuatiliaji pitia uhalisia wa hali aliyoikuta nchi yetu na alikoiacha, usisahau kupitia reform program zote alizoanzisha na matokeo yake!.
 
Magu alikuwa na matatizo ya mooyo tangu mwaka 1991 hivi. Tarehe 28 February 2021 aliposhauriwa na madakatari ajipe mapumziko asifanye kazi, yeye aliendelea kufanya kazi na hivyo kukiuka ushauri wa madakari jambo ambalo linaweze kuwa limecost maisha yake. Mawaziri wote waliosema alikuwa akiendelea na kazi walikuwa right, ila huenda bila kujua kuwa jamaa alikuwa akifanya kazi kinyume na ushauri wa madaktari wake!
..Magu alishakufa ila huku kitaa Majaliwa, Kipilimba, na Chalamila, wakawa wanadai yuko busy ofisini anachapa kazi.
 
In all fairness, matatizo ya moyo si na yasiwe disqualification ya kugombea urais.

Na ni wazi matatizo hayo hayakumzuia kufanya kazi.

Hakuna binadamu mwenye guarantee ya uhai sekunde ijayo, dakika ijayo, lisaa lijalo, siku ijayo, na kadhalika.

Hata twaweza amka tukapata habari Mama Samia hatunaye tena.

Mi mwenyewe sina uhakika nitaamka nikiwa hai kesho. Na sina matatizo ya moyo wa kiafya niyajuayo.

Wewe una uhakika wa kuiona kesho Komredi?
Kesho? Hapo mbona umenipendelea sana? Sina uhakika walau wa kujua kama nitakuwepo baada ya nusu saa ijayo...
 
..Magu alishakufa ila huku kitaa Majaliwa, Kipilimba, na Chalamila, wakawa wanadai yuko busy ofisini anachapa kazi.
Speculation tupu. watu nilioongea nao Mhimbili kabla JPM hajaenda kulazwa Mzena wana taarifa tofauti kabisa na hizi za uzushi.
 
Itakuwa ndiyo sababu ya yeye kukataa kuvaa barakoa, pumzi ilikuwa ndogo. Naona watu wake wanaiga kukataa kuvaa barakoa. Ngoja tuone.
Binafsi hata sitaki kuona tena hao niliowaona wanatosha, nawaombea kwa Mungu wabadilike na wachukue tahadhari
 
Back
Top Bottom