XASKEYGY
Senior Member
- Mar 29, 2020
- 127
- 101
Wengine walisema unatumia machine...!Kina Yericko walikuja na propaganda kuwa ana moyo wa plastiki
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wengine walisema unatumia machine...!Kina Yericko walikuja na propaganda kuwa ana moyo wa plastiki
Dokumenti za mhimbili unazo? halafu wakupe ushahidi wewe au nani mwingine anayeutaka?
ukumbuke serikali pia ilisema yupo mzima anachapa kazi. mwingine akasema amepigiwa simu naye!hao hao ndio wanajumuika bila tahadhari za corona kumuenzi mzee. unaiamini serikali ipiNazitaka mimi ndio.
serikali ndo imesema alikuwa muhimbili na mzena FULL STOP.
..walete ushahidi wa nini wakati umeshaamua kufunga akili yako?
..watu waliodai kuwa Magu ni mzima anachapa kazi ndio unawaamini?
Mnavyo mtetea!! [emoji849] Sasa kama alijua fika ana hayo matatizo, si angejipumzikia tu!! Alikuwa ni mbunge na waziri kwa miaka 20! Kipi kilichomvutia kugombea Urais? Tena kwa awamu mbili!! [emoji45]
Yaani hapa ishu ni kwamba corona ya awamu hii ya pili inawasakama sana watu wenye umri mkubwa na wale wenye magonjwa sugu ya kuambukizwa na pia yale yasiyo ya kuambukizwa.
Kwa bahati mbaya na mzee naye amekutwa na huo mkasa. Tukubali matokeo, na pia tuendelee kuchukua tahadhari. Full stop!![emoji56]
Magu alikuwa na matatizo ya mooyo tangu mwaka 1991 hivi. Tarehe 28 February 2021 aliposhauriwa na madakatari ajipe mapumziko asifanye kazi, yeye aliendelea kufanya kazi na hivyo kukiuka ushauri wa madakari jambo ambalo linaweze kuwa limecost maisha yake. Mawaziri wote waliosema alikuwa akiendelea na kazi walikuwa right, ila huenda bila kujua kuwa jamaa alikuwa akifanya kazi kinyume na ushauri wa madaktari wake!..walete ushahidi wa nini wakati umeshaamua kufunga akili yako?
..watu waliodai kuwa Magu ni mzima anachapa kazi ndio unawaamini?
ukumbuke serikali pia ilisema yupo mzima anachapa kazi. mwingine akasema amepigiwa simu naye!unaiamini serikali ipi
Dokumenti za mhimbili unazo? halafu wakupe ushahidi wewe au nani mwingine anayeutaka?
Hao wakenya wapuuzi sana.
NA WALA SIO MARAFIKI WAZURI NI PANYA WANAONG'ATA NA KUPULIZA
Alikwenda Mzena na madtakari kutoka JKI. Vifaa vyote vilivoke JKI vipo Mzena pia..halafu it doesnt make sense mtu ana tatizo la MOYO halafu anatoka Jakaya Kikwete Cardiac Institute anakwenda kutibiwa Mzena Hospital. daktari aliyemuandikia hiyo discharge / transfer kwa maoni yangu atakuwa ni mwendawazimu.
..Wakenya ni watu wazuri sana kwasababu wananunua mahindi yetu.
..mahindi tunayouza Kenya kwa mwaka mmoja yanatuingizia pesa sawa na inayojenga daraja la Kigongo -- Busisi.
Sawa amefanya kwa sehemu yake ila naamini alikuwa hajamfikia mzee Mkapa.Pole sana mkuu!
Rais Magufuli ni aina ya watu wenye energy na determination sana, na aina ya watu hao kitu pekee cha kuwastopisha ni kifo tu.
Ndio maana suala la corona aliliona ni kikwazo katika determination yake akaamua kulipuuza. Kwake ilikuwa bora afie vitani kuliko kujikunyatia ndani kwa sababu ya corona. Kwake suala la maendeleo ya nchi ilikuwa suala la vita. You either win or lose, but retreating is not an option.
Amekufa kishujaa, na kumbukumbu yake itabaki kama Rais bora kabisa wa nchi yetu, baada ya baba wa taifa.
Kweli mkuuUshauri wa msukuma Na huyu Mama wa afya ndio umemaondoa
..Magu alishakufa ila huku kitaa Majaliwa, Kipilimba, na Chalamila, wakawa wanadai yuko busy ofisini anachapa kazi.Magu alikuwa na matatizo ya mooyo tangu mwaka 1991 hivi. Tarehe 28 February 2021 aliposhauriwa na madakatari ajipe mapumziko asifanye kazi, yeye aliendelea kufanya kazi na hivyo kukiuka ushauri wa madakari jambo ambalo linaweze kuwa limecost maisha yake. Mawaziri wote waliosema alikuwa akiendelea na kazi walikuwa right, ila huenda bila kujua kuwa jamaa alikuwa akifanya kazi kinyume na ushauri wa madaktari wake!
Kesho? Hapo mbona umenipendelea sana? Sina uhakika walau wa kujua kama nitakuwepo baada ya nusu saa ijayo...In all fairness, matatizo ya moyo si na yasiwe disqualification ya kugombea urais.
Na ni wazi matatizo hayo hayakumzuia kufanya kazi.
Hakuna binadamu mwenye guarantee ya uhai sekunde ijayo, dakika ijayo, lisaa lijalo, siku ijayo, na kadhalika.
Hata twaweza amka tukapata habari Mama Samia hatunaye tena.
Mi mwenyewe sina uhakika nitaamka nikiwa hai kesho. Na sina matatizo ya moyo wa kiafya niyajuayo.
Wewe una uhakika wa kuiona kesho Komredi?
FACT!..alikuwa hasafiri kwasababu ya tatizo la moyo.
..alikuwa ana-promote kiswahili kwasababu kiingereza kilikuwa kinampa shida.
Speculation tupu. watu nilioongea nao Mhimbili kabla JPM hajaenda kulazwa Mzena wana taarifa tofauti kabisa na hizi za uzushi...Magu alishakufa ila huku kitaa Majaliwa, Kipilimba, na Chalamila, wakawa wanadai yuko busy ofisini anachapa kazi.
Binafsi hata sitaki kuona tena hao niliowaona wanatosha, nawaombea kwa Mungu wabadilike na wachukue tahadhariItakuwa ndiyo sababu ya yeye kukataa kuvaa barakoa, pumzi ilikuwa ndogo. Naona watu wake wanaiga kukataa kuvaa barakoa. Ngoja tuone.
Alikuwa na wengi dear, but yule ni maarufu na tu vimacho vyakeKwani alikuwa na mlinzi mmoja tu[emoji1][emoji1][emoji1]