Hayati Magufuli alionesha mara kadhaa kuwa ni mgonjwa wa moyo

Hayati Magufuli alionesha mara kadhaa kuwa ni mgonjwa wa moyo

Hu
Inawezekana ndio mana hata mikutano na maandamano ya wapinzani alizuia ili wasimuudhi akapata shida za huo mfumo..na kuzuia bunge live ili wasimuudhi.

Magonjwa ya kudumu huwa yanachosha mwili na akili na hivyo kuvuruga saikolojia ya mtu kitu kinacholeta hasira sana kwa mhusika.
Hayo matatizo yake ya moyo yalikuwa yanampeleka vibaya sana,maana ingefikia hatua angepiga marufuku matumizi binafsi ya smartphone maana sio kwa sheria hizi
 
Ni kweli unavyosema, ila tunahitaji sera yetu ya mambo ya nje ieleze khasa mwelekeo wetu na azma yetu ya kujitawala na kujiletea maendeleo wenyewe.

Na hawa jamaa ni lazima waambiwe bila ushirikiano wa 50/50 faida basi hakuna makubaliano yoyote.

Mkuu, mimi nimeishi nje katika nchi nyingi tu za hawa jamaa nawafamu uzuri sana,moja ya tabia yao kuu ni kujiona wao bora ziku zote na ndo wenye akili na hutaka siku zote kukuonyesha wazi.

Alipoingia Magufuli walimwita outsider na approach yake kwao ilikuwa imejaa sana suspicions than optimism.

Tuwakaribishe na tuwasikilize kisha tutoe uamuzi ama tunakubali au hatutaki.

Tusiwapige vijembe, tusikatae wito wao kufanya mazungumzo na tuwe tayari kwa offer zao na tuziangalie.

Kwa mfano, twahitaji sana teknolojia hivyo tuwahimize katika hilo kwamba ukitaka tushirikiane mkubali kutusaidia kwenye teknolojia..
Umesema vizuri sana. Labda tu nikwambie kwamba hatuwezi kwenda kwa approach ile ile ya tangu uhuru tukategemea matokeo tofauti. Vitu kama elimu, ujuzi, teknolojia ndio msingi wa maendeleo na kujitegemea. Vitu kama hivi haviombwi ili upewe kama msaada (hapa ndipo tunapokosea); vitu hivi hununuliwa kwa gharama nyingi sana. Mzungu haji eti akusaidie teknolojia, na ni kitu hakiyamkiniki, mtu katumia gharama kubwa sana kujenga ujuzi, maarifa, na teknolojia yake, aje akupe bure? Hizi ni intellectual property rights na hazigawiwi kama njugu, maana ndiyo siri yao ya mafanikio, nguvu na ukwasi.

Kama kweli tunataka kujitegemea, kujitawala na kupata nguvu kiasi ni lazima tuwe tayari kutumia pesa kuwekeza katika ujuzi, maarifa na teknolojia. Wachina walifanya hivyo wakapeleka watu wao Havard, MIT, Princeton ili wavune maarifa na teknolojia za kigeni, waliporudi wakaijenga nchi yao kwa mchanganyiko wa maarifa na teknolojia mpya na zile zilizobuniwa locally.

Sisi tulipeleka watu nje ya nchi na bado tunapeleka, lakini nadhani mwanzoni mwa uhuru mahitaji ilikuwa tupate watu wanaoweza kuongoza serikali kisasa. Msukumo huo bado uko hivyo hivyo na matokeo yake nchi yetu imejaa policy makers na makarani wengi badala ya kuwekeza kwenye watu wenye real talents za ubunifu wa teknolojia.

Kwa hiyo sisi tunaweza kufanya hivi, kwamba serikali iendelee kuweka msisitizo wa uwekezaji wa viwanda, na factories zinaoongeza thamani ya raw materials zetu. Watu wetu wakiajiriwa katika technical departments za uwekezaji huo ndio namna ya kujiongeza katika maarifa na teknolojia za kisasa. Wakati huo huo ziwepo jitihada za makusudi, za kupeleka vijana wetu wenye talent kwenye mataasisi ya kibabe huko duniani ya elimu za teknolojia. Hawa wawe national assets wakirudi wasiachwe kwenye mataa kama tulivyozoea. Wawe incubated kama sehemu ya private na public sector, na ndivyo China ilivyofanya, ndivyo Ulaya inavyofanya, nashangaa kwa nini sisi tunafanya tofauti.
 
Je, yawezekana pia hayo matatizo yake ya moyo ndo yaliyomfanya asiwe anasafiri sana hususan nchi za nje?

Manake wakati mwingine ujinga unaweza ukamfanya mtu amhukumu kimakosa mtu mwingine.

Sisi tulikuwa tukitania ni kwa sababu alikuwa haongei vizuri Kiingereza na ndo maana alikuwa hasafiri sana kwenda nchi za nje.

Nimelifikiria sana hili suala na naona lina make sense.

Dah! I wish I knew he had some serious heart problems.
Na hata safari za ndani pia hakupenda sana kutumia ndege,Mungu ampe pumziko jema
 
Kosa kubwa kuliko yote aliyoyafanya ni alipoidharau corona na kufuata ushauri wa Msukuma

Tulikuwa tunasema anajiamini nini au ameshachanjwa?
Chanjo haizuii usiambukizwe au kuambukizwa,inajenga immunity tu
According to wataalam.
 
Pamoja na majonzi ya kuondokewa na Mh. Rais lakini ni vema tukakumbuka maisha aliyoishi.

Magufuli kwa kutambua kwamba ana maradhi yasiyotibika alienda kupata kikombe cha miujiza kwa Babu wa Liliondo . Baadaye iligundulika kwamba kikombe kile ulikuwa usanii tu hivyo JPM aliendelea kuwa mgonjwa.

Pili kwa kutambua kwamba ana matatizo ya moyo- Magufuli Mara kadhaa amekuwa akijiepusha kushiriki katika masuala ya simanzi Kama misiba kwa sababu za kiafya.

Hii misiba ya karibuni hasa wa Balozi Kijazi bila Shaka ilimuathiri sana Magufuli.

Naamini si CORONA Wala Mabeberu

Alale salama.
Mabeberu noma sana🤣
 
Chanjo haizuii usiambukizwe au kuambukizwa,inajenga immunity tu
According to wataalam.
Chanjo inakufanya usiugue sana hadi kulazwa
Mimi naamini Chanjo na Barakoa zingemuokoa Raisi wetu

Kilichomuangamiza ni Nyungu na Joseph Msukuma
 
Je, yawezekana pia hayo matatizo yake ya moyo ndo yaliyomfanya asiwe anasafiri sana hususan nchi za nje?

Manake wakati mwingine ujinga unaweza ukamfanya mtu amhukumu kimakosa mtu mwingine.

Sisi tulikuwa tukitania ni kwa sababu alikuwa haongei vizuri Kiingereza na ndo maana alikuwa hasafiri sana kwenda nchi za nje.

Nimelifikiria sana hili suala na naona lina make sense.

Dah! I wish I knew he had some serious heart problems.
Me too.
After reading the problem that he had, I just realized that his problem was the reason why aliprefer usafiri wa gari zaidi.
 
Umesema vizuri sana. Labda tu nikwambie kwamba hatuwezi kwenda kwa approach ile ile ya tangu uhuru tukategemea matokeo tofauti. Vitu kama elimu, ujuzi, teknolojia ndio msingi wa maendeleo na kujitegemea. Vitu kama hivi haviombwi ili upewe kama msaada (hapa ndipo tunapokosea); vitu hivi hununuliwa kwa gharama nyingi sana. Mzungu haji eti akusaidie teknolojia, na ni kitu hakiyamkiniki, mtu katumia gharama kubwa sana kujenga ujuzi, maarifa, na teknolojia yake, aje akupe bure? Hizi ni intellectual property rights na hazigawiwi kama njugu, maana ndiyo siri yao ya mafanikio, nguvu na ukwasi.

Kama kweli tunataka kujitegemea, kujitawala na kupata nguvu kiasi ni lazima tuwe tayari kutumia pesa kuwekeza katika ujuzi, maarifa na teknolojia. Wachina walifanya hivyo wakapeleka watu wao Havard, MIT, Princeton ili wavune maarifa na teknolojia za kigeni, waliporudi wakaijenga nchi yao kwa mchanganyiko wa maarifa na teknolojia mpya na zile zilizobuniwa locally.

Sisi tulipeleka watu nje ya nchi na bado tunapeleka, lakini nadhani mwanzoni mwa uhuru mahitaji ilikuwa tupate watu wanaoweza kuongoza serikali kisasa. Msukumo huo bado uko hivyo hivyo na matokeo yake nchi yetu imejaa policy makers na makarani wengi badala ya kuwekeza kwenye watu wenye real talents za ubunifu wa teknolojia.

Kwa hiyo sisi tunaweza kufanya hivi, kwamba serikali iendelee kuweka msisitizo wa uwekezaji wa viwanda, na factories zinaoongeza thamani ya raw materials zetu. Watu wetu wakiajiriwa katika technical departments za uwekezaji huo ndio namna ya kujiongeza katika maarifa na teknolojia za kisasa. Wakati huo huo ziwepo jitihada za makusudi, za kupeleka vijana wetu wenye talent kwenye mataasisi ya kibabe huko duniani ya elimu za teknolojia. Hawa wawe national assets wakirudi wasiachwe kwenye mataa kama tulivyozoea. Wawe incubated kama sehemu ya private na public sector, na ndivyo China ilivyofanya, ndivyo Ulaya inavyofanya, nashangaa kwa nini sisi tunafanya tofauti.
Huko nje wapo watanzania wengi tu wamesoma uzuri tuwatumie hawa kwa kuwatengenezea miundombinu katika maeneo watakayohitaji.

Iwe ni pilot programme na wapewe nafasi ya kushauri kitaalam maana wengine ni madaktari wazuri tu katika mahospitali makubwa tu.

Again, hawa pia tusiwanyanyapae bali tuwaonyeshe tunawajali na tuachukulie ni sehemu ya watanzania wote na wanastahiki kushiriki shughuli zozote za maendeleo ya taifa letu.

Kisha tufanye mpango mpya kwa kuchagua wanafunzi wenye vipaji katika fani ya sayansi na hesabu na kuwapeleka katika vyuo vikuu vya bei nafuu khasa katika nchi ya ilokuwa East Block na wengine wanakuwa wanasaidiwa sponsorship kwa nchi kama Uingereza na Marekani kupitia misuko maalum ya huko kama ule wa jumuiya ya madola.

Nilikuwa nawaza kwamba watoto wote waloanza sekondari mwaka 2015 ndio wawe "model" mpya iendayo na dira ya maendeleo ya 2015-2025.

Hivyo serikali ianze kufikiria nje ya box zaidi (natambua mzee JPM RIP) alikuwa akifanya hivyo lakini tuchagize zaidi kwa kuenzi maoni yake ya kimaendeleo iwe chachu kwa taifa zima.

Kinachoisumbua nchi yetu kwa sasa ni kutibuliwa kwa kiasi fulani kwa utamaduni wetu na kutuweka njia panda zaidi.

Tulirekebishe hili na tuwarudishe vijana kwenye mstari wa kuwa wao ni watanzania na nchi hii ndo mama ya na baba yao hivyo naunga mkono vijana kukaa kambini JKT mwaka mmoja kujenga nidhamu na utii kwa mamlaka na uzalendo zaidi kwa nchi yao.
 
Sasa ndiyo napata jibu ni kwanini alikuwa hapendi kupanda ndege mara kwa mara, na kwa upande mwingine naona namna tulivyo muonea na kumhukumu mtu huyu bila kuujua ukweli!!
Hakika..kumbe alikua ana sababu zake maskini..
 
Kama anafurahia, anafurahia kitu asichokijua!! Hivi anauhakika upi na Kesho yake, hata wewe mwenyewe!!

Na mwanaume wa kweli mwenye akili njema, hawezi kumwombea adui wake afe, huyo atakuwa muoga wa maisha, majitu yenye kujiamini huombea adui zao maisha marefu Ili siku moja waje wajionee ukuu wa Mungu na wao kukumbuka ubaya wa kuwatendea wengine ubaya!

Kitu ambacho Chama chenu chote kimekosa hii Hekima, mkiambiwa kuwa hamfai kwenye vita mtabisha?

Uzuri na ubaya, kila mtu ataonja umauti, na hakuna kifo eti kiitwe hiki ni kizuri kuliko kile, never!

R.I.P Jembe
bora amekufa tena kafia nje wakati anajiita mzalendo.ameharibu sana nchi huyu.alionywa akakataa kusikia.bora tuongozwe na mwanamke kuliko hilo shetani lililokufa.akili hana ndo maana alikuwa anatumia nguvu kwa kuua na kutesa wapinzani.haya kiko wapi kiburi kwisha.alivyokua anaua wapinzani mlikuwa mnachekelea haya sasa zamu yenu chekeni na nyie[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2].mtamlaumu nani ccm??angeuawa mngesema chadema.mnamwita tundu lissu mabaga fresh.haya sisi tukimwita magufuli mzoga hapo vipi????

Haiwezekani ufanye upumbavu halafu upite hivi hivi dikteta uchwara
tapatalk_1616154577902.jpeg
 
Je, yawezekana pia hayo matatizo yake ya moyo ndo yaliyomfanya asiwe anasafiri sana hususan nchi za nje?

Manake wakati mwingine ujinga unaweza ukamfanya mtu amhukumu kimakosa mtu mwingine.

Sisi tulikuwa tukitania ni kwa sababu alikuwa haongei vizuri Kiingereza na ndo maana alikuwa hasafiri sana kwenda nchi za nje.

Nimelifikiria sana hili suala na naona lina make sense.

Dah! I wish I knew he had some serious heart problems.
Kilichokuwa kinakera Ni kitendo Cha wapambe wake kuwakejeli watu wenye matatizo ya kiafya. Kumbe uhai wetu upo mikononi mwa Mungu
 
bora amekufa tena kafia nje wakati anajiita mzalendo.ameharibu sana nchi huyu.alionywa akakataa kusikia.bora tuongozwe na mwanamke kuliko hilo shetani lililokufa.akili hana ndo maana alikuwa anatumia nguvu kwa kuua na kutesa wapinzani.haya kiko wapi kiburi kwisha.alivyokua anaua wapinzani mlikuwa mnachekelea haya sasa zamu yenu chekeni na nyie[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2].mtamlaumu nani ccm??angeuawa mngesema chadema.mnamwita tundu lissu mabaga fresh.haya sisi tukimwita magufuli mzoga hapo vipi????

Haiwezekani ufanye upumbavu halafu upite hivi hivi dikteta uchwaraView attachment 1729930
Hahahahaa" utakwepa kifo wewe??? Wewe ni mzoga wa punde tu!!

Mwanaume halisi haombei kifo adui wake
 
Kama anafurahia, anafurahia kitu asichokijua!! Hivi anauhakika upi na Kesho yake, hata wewe mwenyewe!!

Na mwanaume wa kweli mwenye akili njema, hawezi kumwombea adui wake afe, huyo atakuwa muoga wa maisha, majitu yenye kujiamini huombea adui zao maisha marefu Ili siku moja waje wajionee ukuu wa Mungu na wao kukumbuka ubaya wa kuwatendea wengine ubaya!

Kitu ambacho Chama chenu chote kimekosa hii Hekima, mkiambiwa kuwa hamfai kwenye vita mtabisha?

Uzuri na ubaya, kila mtu ataonja umauti, na hakuna kifo eti kiitwe hiki ni kizuri kuliko kile, never!

R.I.P Jembe
we ndo tahira kweli.jiulize kwa nini watu wamefurahi??jiulize kwa nini serikali inalazimisha watu waomboleze.Pumbavuu kabisa ccm kwani msiba nalo ni jambo la kulazimishana???au unafikiri ni uchaguzi huu ambao mnaweza lazimisha kwa kuiba kura[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2].mmezoea wizi wizi.afe tu kwani nani anahitaji kuona watanzania wenzake wanauawa.mtu unaua halafu na wewe unakuja unakufa si ushoga huo
FB_IMG_1616184760515.jpeg
 
Apumzike kwa amani.

Ni kama vile ameondoka vizuri kiduchu. Maana alienda Morogoro kuzindua Soko kuu, akasamehe wale watumishi waliokuwa wanakula ela za vizinda (Hakuwatumbua akawaagiza warudishe fedha walizokuwa wanachukua). Akawashukuru watu wa Moro kwa kumpa kura nyingi kuliko mikoa yote

Kisha akarudi Dar kufungua Stendi mpya akakubali kuacha alama ya Jina lake litumike. Akakumbuka kuwaombea wamachinga waendelee kuwepo kwenye hiyo stand. Hizo zote ni baraka ambazo zitamsaidia apokelewe vizuri na kiongozi wa Malaika.

Kuhusu ugojwa, alianza kuwapoteza baadhi ya wasaidizi wake kwa Ugonjwa wa shida ya kupumua hivyo sishangai hata yeye aliyekuwa na matatizo ya moyo kuugua. RIP
Angewasamehe na waliobambikiwa kesi ,waliompinga au kwenda kinyume naye.Yesu pale msalabani aliwasamehe kwanza waliomtundika msalabani kwa maumivu makubwa.LUKA 23:34
 
Back
Top Bottom