Hayati Magufuli alipokuwa hai hakukuwa na uhaba wa mvua na ukame nchini kama sasa

Kweli Magufuli alikuwa mungu...hebu rudia kusoma vizuri ulichoandika.
Magufuli iilikuwa mtu akisafiri akafika salama basi Magufuli amesaidia, hongera jpm
 
Kwa hiyo alikuwa Mungu wako mleta mvua?? Kumbe mlivyokuwa mnaabudu mlikuwa sahihi!!
 
Mcha Mungu unatia Lisu kilema cha maisha? kamungu
ka mtimbila au ka wapi?.
 
Lao umejitaidi kuandika kitu kilicho sambamba sana na uyatima, ujane na upumbavu wako! Siyo kuandika mambo ya wenye akili, tahadharisha na wenzako, bakieni kwa yesu wenu wa Lugola, anayeoza na ngozi ya kondoo, na hatafufuka kamwe!
 
Cheti feki ndo nini sasa????? Wenzako wanalima wewe unategemea ajira tena ya serikali ? Kama unafikiri wote wanaomchukia waliondolewa makazini basi upo mbali sana na ukweli.
Ukweli ni kwamba magufuli anachukiwa kwa ukatili wake na kutopenda haki?
Hakupambana na ufisadi wowote unajua kwenye ndege kaipata 10% shiling ngapi
 
Kwakuwa nimesoma ukweli? Ona yale yalikuwa yanafanywa na SABAYA! Ina maana hakujua alifanya nn zaidi ya kuntumia kupora pesa za watu?
Nakwambia wewe ni shetani maana shetani yuko ndani yako!
 
Watu waweza kukucheka lakini umeongea kama my sista ujue..
Kama mwezi umepita hivi alisema hii nchi siku hizi hatumtegemei Mungu yaani sijui tunaelekea wapi!hata Mungu hatajwi[emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]!!!sasa nakuelewa

Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
 
sipendi injili nyepesi ya namna hii, wewe unaweza kuwatamkia wazungu kuwa Mungu anatibu corona. Unahuo ujasiri siajabu hata uzi wa jamii forum huwezi kuandika.
 
Mchamungu???au ulidanganyika na zle fix zake kanisan????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…