Hayati Magufuli alipokuwa hai hakukuwa na uhaba wa mvua na ukame nchini kama sasa

Mcha Mungu Magufuli alipokuwa hai hakukuwa na uhaba wa mvua na ukame nchini Kama sasa

Kuondoka tu mcha Mungu Magufuli nchi ukosefu wa mvua kila Kona ni ukame nchi nzima na tishio la njaa kila kona ya nchi hali ya hewa vipimo vyao vinaona ukame,ukosefu wa mvua na njaa tu inayokuja

Mwenyewe mcha Mungu angekuwepo haya yasingekuwepo

Serikali badala ya kuitisha maombi wanaenda kuhudhuria mkutano wa Mabadiliko ya Tabia nchi kuomba pesa kwa wazungu kwani pesa zaweza leta mvua msimu huu?

Magufuli angeshaitisha maombi ya kitaifa lakini kwa kuwa alikuwa mcha Mungu, Mungu alihakikisha kipindi chake mvua ipo ya kutosha ,ukame haupo na njaa haipo pamoja na yeye kutohudhuria mkutano wowote wa Mabadiliko ya Tabia nchi popote duniani.
Kweli Magufuli alikuwa mungu...hebu rudia kusoma vizuri ulichoandika.
Magufuli iilikuwa mtu akisafiri akafika salama basi Magufuli amesaidia, hongera jpm
 
Mcha Mungu Magufuli alipokuwa hai hakukuwa na uhaba wa mvua na ukame nchini Kama sasa

Kuondoka tu mcha Mungu Magufuli nchi ukosefu wa mvua kila Kona ni ukame nchi nzima na tishio la njaa kila kona ya nchi hali ya hewa vipimo vyao vinaona ukame,ukosefu wa mvua na njaa tu inayokuja

Mwenyewe mcha Mungu angekuwepo haya yasingekuwepo

Serikali badala ya kuitisha maombi wanaenda kuhudhuria mkutano wa Mabadiliko ya Tabia nchi kuomba pesa kwa wazungu kwani pesa zaweza leta mvua msimu huu?

Magufuli angeshaitisha maombi ya kitaifa lakini kwa kuwa alikuwa mcha Mungu, Mungu alihakikisha kipindi chake mvua ipo ya kutosha ,ukame haupo na njaa haipo pamoja na yeye kutohudhuria mkutano wowote wa Mabadiliko ya Tabia nchi popote duniani.
Kwa hiyo alikuwa Mungu wako mleta mvua?? Kumbe mlivyokuwa mnaabudu mlikuwa sahihi!!
 
Mcha Mungu unatia Lisu kilema cha maisha? kamungu
ka mtimbila au ka wapi?.
 
Mcha Mungu Magufuli alipokuwa hai hakukuwa na uhaba wa mvua na ukame nchini Kama sasa

Kuondoka tu mcha Mungu Magufuli nchi ukosefu wa mvua kila Kona ni ukame nchi nzima na tishio la njaa kila kona ya nchi hali ya hewa vipimo vyao vinaona ukame,ukosefu wa mvua na njaa tu inayokuja

Mwenyewe mcha Mungu angekuwepo haya yasingekuwepo

Serikali badala ya kuitisha maombi wanaenda kuhudhuria mkutano wa Mabadiliko ya Tabia nchi kuomba pesa kwa wazungu kwani pesa zaweza leta mvua msimu huu?

Magufuli angeshaitisha maombi ya kitaifa lakini kwa kuwa alikuwa mcha Mungu, Mungu alihakikisha kipindi chake mvua ipo ya kutosha ,ukame haupo na njaa haipo pamoja na yeye kutohudhuria mkutano wowote wa Mabadiliko ya Tabia nchi popote duniani.
Lao umejitaidi kuandika kitu kilicho sambamba sana na uyatima, ujane na upumbavu wako! Siyo kuandika mambo ya wenye akili, tahadharisha na wenzako, bakieni kwa yesu wenu wa Lugola, anayeoza na ngozi ya kondoo, na hatafufuka kamwe!
 
2925143_download_3.jpeg

Hebu waangalieni hawa wapuuzi..

neneleakes-happy.gif
 
Wewe ni taahira! Unajuaje sio Mungu aliyekuwa anamwabudu? Wewe na wazazi wako **** mtu alikuwa na cheti feki au fisadi ndo maana unakuja hapa na kelele za kipumbavu! Hata Imani huna maana Bwana Yesu alisema kitoe kijinga kilichoko kwenye jicho lako kabla ya kukitoa cha mwenzako! Na usihukumu usije ukahukumiwa! Sasa nashangaa sana wewe unahukumu hapa! Je wewe ni mwema?
Cheti feki ndo nini sasa????? Wenzako wanalima wewe unategemea ajira tena ya serikali ? Kama unafikiri wote wanaomchukia waliondolewa makazini basi upo mbali sana na ukweli.
Ukweli ni kwamba magufuli anachukiwa kwa ukatili wake na kutopenda haki?
Hakupambana na ufisadi wowote unajua kwenye ndege kaipata 10% shiling ngapi
 
Kwakuwa nimesoma ukweli? Ona yale yalikuwa yanafanywa na SABAYA! Ina maana hakujua alifanya nn zaidi ya kuntumia kupora pesa za watu?
Nakwambia wewe ni shetani maana shetani yuko ndani yako!
 
Mcha Mungu Magufuli alipokuwa hai hakukuwa na uhaba wa mvua na ukame nchini Kama sasa

Kuondoka tu mcha Mungu Magufuli nchi ukosefu wa mvua kila Kona, ni ukame nchi nzima na tishio la njaa kila kona ya nchi hali ya hewa vipimo vyao vinaona ukame, ukosefu wa mvua na njaa tu inayokuja.

Mwenyewe mcha Mungu angekuwepo haya yasingekuwepo

Serikali badala ya kuitisha maombi wanaenda kuhudhuria mkutano wa Mabadiliko ya Tabia nchi kuomba pesa kwa wazungu kwani pesa zaweza leta mvua msimu huu?

Magufuli angeshaitisha maombi ya kitaifa lakini kwa kuwa alikuwa mcha Mungu, Mungu alihakikisha kipindi chake mvua ipo ya kutosha, ukame haupo na njaa haipo pamoja na yeye kutohudhuria mkutano wowote wa Mabadiliko ya Tabia nchi popote duniani.
Watu waweza kukucheka lakini umeongea kama my sista ujue..
Kama mwezi umepita hivi alisema hii nchi siku hizi hatumtegemei Mungu yaani sijui tunaelekea wapi!hata Mungu hatajwi[emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]!!!sasa nakuelewa

Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
 
Yule Magufuli hakumtanguliza Mungu kamwe, hilo nimekukatalia. Nenda kasome Injili ya Mathayo 7:21

"Si kila aniambiaye, 'Bwana, Bwana', ataingia katika ufalme wa mbinguni; ila ni yule tu anayetimiza matakwa ya Baba yangu aliye mbinguni."

Magufuli muuaji wa akina Ben Saanane hatoboi mbunguni kwa kutamka tu kuhusu Mungu, wakati matendo yake ni machafu
sipendi injili nyepesi ya namna hii, wewe unaweza kuwatamkia wazungu kuwa Mungu anatibu corona. Unahuo ujasiri siajabu hata uzi wa jamii forum huwezi kuandika.
 
Mchamungu???au ulidanganyika na zle fix zake kanisan????

Back
Top Bottom