Crimea
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 25,874
- 36,030
Wale walikuwa magaidi wa msumbijiViroba kumi vyenye miili mlisema ni Wakimbizi wa Ethiopia.
Sasa hata nikikutajia utaakanusha..usinipotezee Bando langu.
Lissu pia mlisema 'kajishambulia'.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wale walikuwa magaidi wa msumbijiViroba kumi vyenye miili mlisema ni Wakimbizi wa Ethiopia.
Sasa hata nikikutajia utaakanusha..usinipotezee Bando langu.
Lissu pia mlisema 'kajishambulia'.
Mfano watu walipokuwa sio wacha Mungu kupindukia kupindukia Hali ya hewa ilibadilika ikashuka gharika ikateketeza dunia nzimaMtu aliyekula fedha za Tetemeko la Kagera, na kuwalaumu kuwa limesababishwa na Kijiji cha Katerero na Mto ngono🤔
Ili kunitoa ujinga nitajie watu 10 waliotekwa na kuuawa!
10 tu, maana mnasema kila siku walikuwa wanatekwa na kuuawa
Watanzania siku hizi hamwombi Mungu, mpo mpo tu hata Marekani matajiri humtanguliza Mungu kwa kila kitu. Mmejifanyia sanamu ndio mnaiabuduMcha Mungu gani huku alikuwa hafati katiba na watu kukutwa kwenye viroba?
Unafiki ni janga nchi hii
Sent from my TECNO PR651H using JamiiForums mobile app
Binadamu hasa kutoka Tanzania kwa kufuata mkumbo hawajambo, umempa zoezi dogo tu kukutajia hao watu 10 waliotekwa? Kang’ang’ania ben saanane hao wengine mbona hawataji?
🤣 Mkuu mbona swali jepesi tu sa ya haja gani kupanic namna hiyo.?Viroba kumi vyenye miili mlisema ni Wakimbizi wa Ethiopia.
Sasa hata nikikutajia utaakanusha..usinipotezee Bando langu.
Lissu pia mlisema 'kajishambulia'.
Siku ikijajulikana mzee wa watu hana hatia na damu ya huyo kijana nadhani wengi mtajutia sana midomo yenu..RIP Ben Saanane
Sasa katika hao mia 3 unashindwa vipi kutaja watu 10 tu?Watu wengi wamepotea wewe,acha UZUZU! Zitto alitaja list ya watu 300 waliopetea kusini na pia Kigoma! Kuna wale waliokuwa wanatekwa Facebook,Twita na instagram na Kundi la kina DAB,Mwanaharakati huru hao nikna kanguye,gwanda,ben saa8 ,rwajabe ni wanajulikana kwenye jamii.
Angalia Miaka mitano iliyopita Hali ya hewa Afrika ya Mashariki yote Mvua zilinyesha vizuri.Mfano watu walipokuwa sio wacha Mungu kupindukia kupindukia Hali ya hewa ilibadilika ikashuka gharika ikateketeza dunia nzima
Sodoma na gomora watawala watu wengi wakiharibika Hadi joto likawa Kali Hadi sodoma na gomora ikawaka Moto
Dhambi zina uwezo zikizudi zinaweza kubadilisha Hali ya hewa iwe ya kimapato,kikazi,kibiashara,kimafanikio nk iwe kwa taifa au mtu binafsi
Kagera Dhambi nyingi za majority zina athari kwa mkoa
Vita za Kagera zao,ukimwi kwa wingi wao Mafuriko na vimbunga vyao,minyauko ya migomba yao,matetemeko ya ardhi yao nk mlitaka Magufuli afanyanyaje amwambie Mungu asiwaadhibu au? Matatizo yao ndio maana aliruka kuwa hakuyaleta yeye wasisukumie serikali
Kagera watubu warejee kwa Mungu Kama Wana Kagera
Magufuli hahusiki wamalizaneni na Mungu sio serikali
Uongo Kenya tu hapo Hali ilikuwa mbaya mno vyakula walitoa Tanzania tulikuwa donor country kwenye vyakula kwa kenya walikuwa hoi kwa ukame na nzigeAngalia Miaka mitano iliyopita Hali ya hewa Afrika ya Mashariki yote Mvua zilinyesha vizuri.
Kwahiyo mtazamo wako wa Kishamba ina maana Uhuru,Mseveni,Kagame nao ni Watakatifu kama huyo Chizi wako?
Mwovu hulipwa Kwa uovu wake,hivyo hili linaweza kuwa ni kumbusho kwetu tubadili njia zetu ovu na tuifuate njia iliyoofu na kuachakubaguanaMcha Mungu Magufuli alipokuwa hai hakukuwa na uhaba wa mvua na ukame nchini Kama sasa
Kuondoka tu mcha Mungu Magufuli nchi ukosefu wa mvua kila Kona ni ukame nchi nzima na tishio la njaa kila kona ya nchi hali ya hewa vipimo vyao vinaona ukame,ukosefu wa mvua na njaa tu inayokuja
Mwenyewe mcha Mungu angekuwepo haya yasingekuwepo
Serikali badala ya kuitisha maombi wanaenda kuhudhuria mkutano wa Mabadiliko ya Tabia nchi kuomba pesa kwa wazungu kwani pesa zaweza leta mvua msimu huu?
Magufuli angeshaitisha maombi ya kitaifa lakini kwa kuwa alikuwa mcha Mungu, Mungu alihakikisha kipindi chake mvua ipo ya kutosha ,ukame haupo na njaa haipo pamoja na yeye kutohudhuria mkutano wowote wa Mabadiliko ya Tabia nchi popote duniani.
Taja watu 10 waliouawa mbona mnakuwa wagumu kuelewa?Watu wengi wamepotea wewe,acha UZUZU! Zitto alitaja list ya watu 300 waliopetea kusini na pia Kigoma! Kuna wale waliokuwa wanatekwa Facebook,Twita na instagram na Kundi la kina DAB,Mwanaharakati huru hao nikna kanguye,gwanda,ben saa8 ,rwajabe ni wanajulikana kwenye jamii.
Tunasubiri pia utuambie kipindi cha magufuri ulikuwa unagongwa mala sita kwa siku sasa hivi unagongwa mala mbili kwa siku.Mcha Mungu Magufuli alipokuwa hai hakukuwa na uhaba wa mvua na ukame nchini Kama sasa
Kuondoka tu mcha Mungu Magufuli nchi ukosefu wa mvua kila Kona ni ukame nchi nzima na tishio la njaa kila kona ya nchi hali ya hewa vipimo vyao vinaona ukame,ukosefu wa mvua na njaa tu inayokuja
Mwenyewe mcha Mungu angekuwepo haya yasingekuwepo
Serikali badala ya kuitisha maombi wanaenda kuhudhuria mkutano wa Mabadiliko ya Tabia nchi kuomba pesa kwa wazungu kwani pesa zaweza leta mvua msimu huu?
Magufuli angeshaitisha maombi ya kitaifa lakini kwa kuwa alikuwa mcha Mungu, Mungu alihakikisha kipindi chake mvua ipo ya kutosha ,ukame haupo na njaa haipo pamoja na yeye kutohudhuria mkutano wowote wa Mabadiliko ya Tabia nchi popote duniani.
Wambie kabisa wasijesema hawajaambiwaMjue Sisi Chadema tupo hatujalala.....Ooh. hoooooooh
Uchokozi huo.
Kweni tunaongelea mwaka gani?Acha uzwazwa wewe!
Kenya mpkaa shirika la chakula duniani walisma kabisa mapema kwamba kuna watu milioni 2+ wanakabiliwa na balaa la njaa kutokana na ukame!
Sasa hiyo mvua ilinyesha wapi?
Tatizo lako unafikri Kenya ni Nairobi tu
Miaka 5 nyumaKweni tunaongelea mwaka gani?
Hivi kabla ya 'kuondoka kwake' aliwahi kuwaomba msamaha wale MASHANGAZI wa akina Majaliwa, Nape et all?Apumzike kwa Amani, Baba wa watu kaondoka na baraka zote 🥲