Songambele
JF-Expert Member
- Nov 20, 2007
- 4,710
- 2,587
Mataga kumbe bado mpo, ila mna roho ngumu nyie. Kwa hali waliyokuwa nayo watanzania Mungu angeongeza na ukame hivi yangebaki madaraja na midege iliyopaki tu.Mcha Mungu Magufuli alipokuwa hai hakukuwa na uhaba wa mvua na ukame nchini Kama sasa
Kuondoka tu mcha Mungu Magufuli nchi ukosefu wa mvua kila Kona ni ukame nchi nzima na tishio la njaa kila kona ya nchi hali ya hewa vipimo vyao vinaona ukame,ukosefu wa mvua na njaa tu inayokuja
Mwenyewe mcha Mungu angekuwepo haya yasingekuwepo
Serikali badala ya kuitisha maombi wanaenda kuhudhuria mkutano wa Mabadiliko ya Tabia nchi kuomba pesa kwa wazungu kwani pesa zaweza leta mvua msimu huu?
Magufuli angeshaitisha maombi ya kitaifa lakini kwa kuwa alikuwa mcha Mungu, Mungu alihakikisha kipindi chake mvua ipo ya kutosha ,ukame haupo na njaa haipo pamoja na yeye kutohudhuria mkutano wowote wa Mabadiliko ya Tabia nchi popote duniani.