Crimea
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 25,874
- 36,030
Uzi unasema Magu akikuwa mtakatifu?Sasa kwenye huu uzi umefuata nini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uzi unasema Magu akikuwa mtakatifu?Sasa kwenye huu uzi umefuata nini?
Umeelewa,ubarikiwe sana.Basi sawa mwanasayansi! Maana wewe ndo unajua sana! Dunia hii sio ya wanasayansi ni ya Mungu tena sio Mungu tu jina Mungu wa Ibrahim,Isaka,Yakobo na baba wa Bwana wetu Yesu kiristo!
Soma kichwa cha habari.Uzi unasema Magu akikuwa mtakatifu?
Kichwa cha habari hakisema popote kama JPM alikuwa mtakatifuSoma kichwa cha habari.
Baraka nazipokea ila nakwamnia neema ya mvua ni baraka kutoka kwa Mungu hata kama kutakuwa na mabadiliko ya tabianchi Mungu akiwa upande wetu tutakuwa na baraka tele ya vyakula!Umeelewa,ubarikiwe sana.
Uwezo wako wa kuchambua mambo ni mdogo saanaKichwa cha habari hakisema popote kama JPM alikuwa mtakatifu
Utaelewa tu,taratibu.Baraka nazipokea ila nakwamnia neema ya mvua ni baraka kutoka kwa Mungu hata kama kutakuwa na mabadiliko ya tabianchi Mungu akiwa upande wetu tutakuwa na baraka tele ya vyakula!
Nenda kale naona njaa imekuingia kwenye ubongo.Uwezo wako wa kuchambua mambo ni mdogo saana
Kwa hiyo Adam na Eva walikula Embe ndivyo unavyoamini?
Miaka mitano ni zaidi ya siku 1600 ebu taja watu kumi tuu maana umesema kila siku boya wewe.Fara ww ina maana huwajui, Ben sa8 yuko wapi? kikosi cha wasiojulikana kilikuwa na kaz gan? Mbona siku hakipo?
Taja watu 10 acha porojo!
[emoji23][emoji23][emoji23]neema ya matetemeko ya ardhi kagera daah,kweli tunasahau mapema sana,HIZI CHANGAMOTO ZIPO KWENYE KILA AWAMUWanasema kila kitabu na zama zake. Lakini kweli utawala wa JPM ulikuwa na neema ya mvua. Sijui ni kwa mapenzi ya Mungu au alibebwa na majila.
Huyu mama sijajua Neema ya uongozi wake nini au ndiyo hili jua na joto!!
kuna mikoa mvua bado inaendelea usikariri hata mwaka jana kuna mvua ilinyesha tarehe 13 october ambayo ilileta athari ya mafuriko na nyingine chache za mwezi april ambayo kiuhalisia hazikuwa mvua kama za miaka ya nyuma kama unakumbukumbu nzuri uhaba wa mvua umeanza tangu miaka ya 2013 na kama ni mkazi wa Dar siku nyingi utagundua miaka ya 90 ifikapo October kulikuwa hamna discussion mvua lazima zinyeshe ila kwa kuwa watu weusi hatunaga mambo ya Documentation ndo utasikia Magufuli kaondoka na MvuaMcha Mungu Magufuli alipokuwa hai hakukuwa na uhaba wa mvua na ukame nchini Kama sasa
Kuondoka tu mcha Mungu Magufuli nchi ukosefu wa mvua kila Kona ni ukame nchi nzima na tishio la njaa kila kona ya nchi hali ya hewa vipimo vyao vinaona ukame,ukosefu wa mvua na njaa tu inayokuja
Mwenyewe mcha Mungu angekuwepo haya yasingekuwepo
Serikali badala ya kuitisha maombi wanaenda kuhudhuria mkutano wa Mabadiliko ya Tabia nchi kuomba pesa kwa wazungu kwani pesa zaweza leta mvua msimu huu?
Magufuli angeshaitisha maombi ya kitaifa lakini kwa kuwa alikuwa mcha Mungu, Mungu alihakikisha kipindi chake mvua ipo ya kutosha ,ukame haupo na njaa haipo pamoja na yeye kutohudhuria mkutano wowote wa Mabadiliko ya Tabia nchi popote duniani.
Watu wengi wamepotea wewe,acha UZUZU! Zitto alitaja list ya watu 300 waliopetea kusini na pia Kigoma! Kuna wale waliokuwa wanatekwa Facebook,Twita na instagram na Kundi la kina DAB,Mwanaharakati huru hao nikna kanguye,gwanda,ben saa8 ,rwajabe ni wanajulikana kwenye jamii.
Uko sahihi Wana wa Israel wakikula nyama choma jangwani kusiko na kware.Na mikate wakati Hakuna ngano kule jangwani Tabia nchi haikuwa na effect kwaoBaraka nazipokea ila nakwamnia neema ya mvua ni baraka kutoka kwa Mungu hata kama kutakuwa na mabadiliko ya tabianchi Mungu akiwa upande wetu tutakuwa na baraka tele ya vyakula!
Achana na dunia Mungu alitupiganua barabara kipindi Cha Magufuli Hakuna ukame Wala njaa Wala ukosefu wa mvua kipindi chake .Kuna msemo kuwa ohh Tanzania ni nchi Maskini wakati Kuna mabilionea akina Bakhresa na akina Mo Dewji waliogoma kuwa sehemu ya hiyo sentensi ya kuwa Tanzania ni nchi MaskiniMabadiliko ya tabianchi (climate change) ni dunia nzima.Ndio maana UN ikaitisha mkutano wa kujadili kuhusu mabadiliko ya tabia nchi,na viongozi wa dunia nzima,wamekutana kwenye mkutano wa 26 wa nchi wanachama wa COP26 ,karibia nchi 200 huko Glasgow,Scotland.