Hayati Magufuli alipokuwa hai hakukuwa na uhaba wa mvua na ukame nchini kama sasa

Hayati Magufuli alipokuwa hai hakukuwa na uhaba wa mvua na ukame nchini kama sasa

Viroba kumi vyenye miili mlisema ni Wakimbizi wa Ethiopia.

Sasa hata nikikutajia utaakanusha..usinipotezee Bando langu.

Lissu pia mlisema 'kajishambulia'.

kama alikua ana uhakika lile shambulio linahusiana na serikali anaogopa nn kufunguka anaongea kwa mafumbo kila sku,
 
Muda ni mwalimu mzuri sana!

Tulipowambia kina makamba wameenda pale na hali ya umeme ni mbaya mkaanza kumtetea eti sukuma gang wanaona wivu. Sasa vilio kila kona kuanzia ufipa hadi moshi ni vilio vya umeme tu.

Na bado

[emoji38][emoji38][emoji38] et vilio,Fisi kapewa bucha tunategemea nini tena.
 
Watu wengi wamepotea wewe,acha UZUZU! Zitto alitaja list ya watu 300 waliopetea kusini na pia Kigoma! Kuna wale waliokuwa wanatekwa Facebook,Twita na instagram na Kundi la kina DAB,Mwanaharakati huru hao nikna kanguye,gwanda,ben saa8 ,rwajabe ni wanajulikana kwenye jamii.

kila anaetekwa ni oda ya serikali? yeye mwenyewe kuna tetesi kuna watu walimtoa uhai, au alijiua?
 
Mcha Mungu Magufuli alipokuwa hai hakukuwa na uhaba wa mvua na ukame nchini Kama sasa

Kuondoka tu mcha Mungu Magufuli nchi ukosefu wa mvua kila Kona, ni ukame nchi nzima na tishio la njaa kila kona ya nchi hali ya hewa vipimo vyao vinaona ukame, ukosefu wa mvua na njaa tu inayokuja...
😱 😱 😱 😱 😱 😱
 
Watanzania tulizoea maombi na ndiyo yalikuwa mafanikio yetu. Sasa tumeingia awamu mpya hakuna cha maombi ...
Sawa kabisa Mkuu. We fikilia Jambo dogo sana. Mama anakuja na upumbavu wa salamu kwa ajili ya kukwepa kutaja Mungu na majinga yanakubali tu. Nawasalimia kwa jina la jamhuri.

Hii salama ya kipumbavu kabisa. Msiyojua lengo ya hii salamu ni kukwepa kusema Asalama alekum.tumsifu Yesu kristo. Bwana asifiwe na salamu zingine za kumtaja Muumba wetu.

Na mazezeta yanakubali tu. ALAFU MNATAKA MVUA? ILO JINA LA JAMHURI MNALOLITAJA LILETE MVUA SI MNALIONA LA MAANA.
 
Acha kudanganya mvua imekiwa vizuri zaid kwa Tanzania. Na hata majuzi hapa ndo ikatangazwa kuwa nchi yetu ni miongoni mwa nchi ambazo zina food security Africa
Sasa nani anayedanganya,kwamba Mvua zinaangalia Borders,kwamba Mawingu yakifika Mtukula yanaacha kunyesha.
 
Jpm katawala miaka 5 hebu orodhesha walau watu 10 waliotekwa na kuuawa
Ben saa8,kanguye,Roma, Mo, lwajabe, yule dogo wa mikumi,Nondo, Mdude,Azory Gwanda, mgombea ubunge ACT mbozi,,,Lema, dogo wa expansion joint etc(waliotekwa na kuuawa)
 
Achana na dunia Mungu alitupiganua barabara kipindi Cha Magufuli Hakuna ukame Wala njaa Wala ukosefu wa mvua kipindi chake .Kuna msemo kuwa ohh Tanzania ni nchi Maskini wakati Kuna mabilionea akina...
Kidogo tu kuna mwizi mmoja alitaka kutuchangisha mvua ya kutengeneza kutoka Thailand dah! Magu katuepusha na mengi, tungeambiwa mvua iliyonyesha miaka 5 ni ya wa Thailand na sio baraka za Mungu.
 
Hahaaaa!!!!mm ni jiwe kwerkwer
Hivi yale ya Magufuli yalikuwa ni maombi au propaganda za kiserikali?
Serikali haina dini wala imani, ukiona serikali inajiingiza kwenye msititizo wa dini au imani basi ujue hizo ni hadaa za kisiasa (propaganda)...
 
Mungu FUNDI 🤣 🤣 🤣 Andamaneni mkahiji pale Chato.
 
kila anaetekwa ni oda ya serikali? yeye mwenyewe kuna tetesi kuna watu walimtoa uhai, au alijiua?
Yes kama matukio ni ya kujirudia na aina ya watu wanaotekwa wanafanana kwann tusiamini hivyo
 
Back
Top Bottom