Nenda kazikwe nae huko chattleChuki zitakuua mpumuliwa kisogoni, binadamu hafi, anafariki...hutoishi milele.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nenda kazikwe nae huko chattleChuki zitakuua mpumuliwa kisogoni, binadamu hafi, anafariki...hutoishi milele.
Viroba kumi vyenye miili mlisema ni Wakimbizi wa Ethiopia.
Sasa hata nikikutajia utaakanusha..usinipotezee Bando langu.
Lissu pia mlisema 'kajishambulia'.
Mvua ni neema, huletwa kwa maombi. Aliyeko sijui kama anajua kusaliKwa hiyo JPM alikuwa rais wa mvua pia?
Muda ni mwalimu mzuri sana!
Tulipowambia kina makamba wameenda pale na hali ya umeme ni mbaya mkaanza kumtetea eti sukuma gang wanaona wivu. Sasa vilio kila kona kuanzia ufipa hadi moshi ni vilio vya umeme tu.
Na bado
Watu wengi wamepotea wewe,acha UZUZU! Zitto alitaja list ya watu 300 waliopetea kusini na pia Kigoma! Kuna wale waliokuwa wanatekwa Facebook,Twita na instagram na Kundi la kina DAB,Mwanaharakati huru hao nikna kanguye,gwanda,ben saa8 ,rwajabe ni wanajulikana kwenye jamii.
😱 😱 😱 😱 😱 😱Mcha Mungu Magufuli alipokuwa hai hakukuwa na uhaba wa mvua na ukame nchini Kama sasa
Kuondoka tu mcha Mungu Magufuli nchi ukosefu wa mvua kila Kona, ni ukame nchi nzima na tishio la njaa kila kona ya nchi hali ya hewa vipimo vyao vinaona ukame, ukosefu wa mvua na njaa tu inayokuja...
Sawa kabisa Mkuu. We fikilia Jambo dogo sana. Mama anakuja na upumbavu wa salamu kwa ajili ya kukwepa kutaja Mungu na majinga yanakubali tu. Nawasalimia kwa jina la jamhuri.Watanzania tulizoea maombi na ndiyo yalikuwa mafanikio yetu. Sasa tumeingia awamu mpya hakuna cha maombi ...
Sasa nani anayedanganya,kwamba Mvua zinaangalia Borders,kwamba Mawingu yakifika Mtukula yanaacha kunyesha.Acha kudanganya mvua imekiwa vizuri zaid kwa Tanzania. Na hata majuzi hapa ndo ikatangazwa kuwa nchi yetu ni miongoni mwa nchi ambazo zina food security Africa
Abambikiwe Kesi.kama alikua ana uhakika lile shambulio linahusiana na serikali anaogopa nn kufunguka anaongea kwa mafumbo kila sku,
Ben saa8,kanguye,Roma, Mo, lwajabe, yule dogo wa mikumi,Nondo, Mdude,Azory Gwanda, mgombea ubunge ACT mbozi,,,Lema, dogo wa expansion joint etc(waliotekwa na kuuawa)Jpm katawala miaka 5 hebu orodhesha walau watu 10 waliotekwa na kuuawa
Kidogo tu kuna mwizi mmoja alitaka kutuchangisha mvua ya kutengeneza kutoka Thailand dah! Magu katuepusha na mengi, tungeambiwa mvua iliyonyesha miaka 5 ni ya wa Thailand na sio baraka za Mungu.Achana na dunia Mungu alitupiganua barabara kipindi Cha Magufuli Hakuna ukame Wala njaa Wala ukosefu wa mvua kipindi chake .Kuna msemo kuwa ohh Tanzania ni nchi Maskini wakati Kuna mabilionea akina...
Hivi yale ya Magufuli yalikuwa ni maombi au propaganda za kiserikali?
Serikali haina dini wala imani, ukiona serikali inajiingiza kwenye msititizo wa dini au imani basi ujue hizo ni hadaa za kisiasa (propaganda)...
Mbona unachukia kwa ghafla sana muhishimiwa?Au una mimba muhishimiwa?
😂😂Bila shaka wewe utakuwa mpenzi wa Chadema
Yes kama matukio ni ya kujirudia na aina ya watu wanaotekwa wanafanana kwann tusiamini hivyokila anaetekwa ni oda ya serikali? yeye mwenyewe kuna tetesi kuna watu walimtoa uhai, au alijiua?