Hayati Magufuli alipozuia chakula kisiuzwe nje mlikebehi, sasa mmeonja joto ya jiwe na kusalimu amri

Unafiki tu.
Aliyewaweka wabunge wenu kwa njia isiyoekeweka ni nani?
Nani alimweka Mdee bungeni, ni nani????
Kenge wewe
 
Ndugu huwezi kucomment kwa ustaarabu tu?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Utawatukana wangapi hapa! Endelea tukuone
 
Bashe fungua mipaka

Bashe wewe ni jembe.

Mama amekupa rungu ili wakulima wapate pesa.

Hii nini sasaView attachment 2656339
Kama unaona bei ya mazao ni kubwa kwa sababu wakulima walipewa ruhusa ya kuuza nje, basi nawe nenda kalime ili uuze ndani ya nchi.

Hakuna mkulima anailimia serikali au anawalimia watanzania, mkulima analima kwa maslahi yake na familia yake, atataka kuuza popote penye bei nzuri ili kufidia gharama za kilimo na kupata chochote. Soko la nje ni uhakika na lina bei nzuri kwa mkulima. Kwanini uingilie uhuru wa mkulima katika kuuza?
 
Mchele Kyela miaka yote wakati huu wa mavuno kwa kg 20 bei huwa 20 elf hadi 24 elf... mwaka huu ni elfu 37 wakati wa mavuno tungojee december kama watoto wa kapuku watakula wali. Hakika maji wataita mma
 
Alikuachia vichanga wangapi una hasira kama mama mjamzito
 
Pumbavu wewe na wewe si ukalime ili uwauzie Bei rahisi? Unayejamba hapa hujui production cost na risks wanazokutana nazo wakulima.Wewe unaanika nyeti zako kijiweni
utegemee mkulima Skype kwa Bei itakayopangwa na mtu aliyekaa ofisini
 
  • Na bei zikishuka mitaji ikafa msije kutulilia humu.
  • Kulima ni uwekezaji, si hisani ya kuwalisha raia.
  • Kila mtu atunze chakula chake, serikali inashusha bei ili ijinununulie.
  • Narudia tena: KULIMA NI UWEKEZAJI!
 
Ila ni aibu kwa taifa hili kuagiza chakula kutoka nje tunatumia dolla kuagiza chakula ni hatari kwa uchumi wetu
 
Umeelewa tangazo ww lakini, hakuna katazo ila wakulima waleshauriwa wasiuze nje
Unajua faida za export ?

Alafu tuache ujinga wa kupima hoja kwa kuangalia awamu huo ni upambaavu
Tuangalie hoja ina to maslahi gani kwa wananchi walio wengi



 
Atuambie na bei yake ya kununulia. Serikali haina tabia ya kununua mazao ya wakulima kwa bei ya kuridhisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…