Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,170
- 6,757
- Thread starter
- #21
Kizazi cha nyoka kimejaa upuuziAisee!! Hivi haiwezekani kabjsa kuchangia hii mijadala kwa kujenga hoja, badala ya kutukanana!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kizazi cha nyoka kimejaa upuuziAisee!! Hivi haiwezekani kabjsa kuchangia hii mijadala kwa kujenga hoja, badala ya kutukanana!!
utala
utalamba wewe mpaka mavi ya yule mfu wenu siyo watu wenye akili. Na kule kusini aliwafanyaje au kwasababu wale siyo wasukuma. Mama hajazuia mtu kuuza chakula amewashauri kuweka akiba ya kutosha ya chakula au waiuzie serikali ili ije kuwauzia kwa bei nafuu. Tunajua mnawashwa sana na mizimu ya yule mshamba wenu
Utawatukana wangapi hapa! Endelea tukuoneutala
utalamba wewe mpaka mavi ya yule mfu wenu siyo watu wenye akili. Na kule kusini aliwafanyaje au kwasababu wale siyo wasukuma. Mama hajazuia mtu kuuza chakula amewashauri kuweka akiba ya kutosha ya chakula au waiuzie serikali ili ije kuwauzia kwa bei nafuu. Tunajua mnawashwa sana na mizimu ya yule mshamba wenu
Mpaka leo kawazuwia wastolewe?Unafiki tu.
Aliyewaweka wabunge wenu kwa njia isiyoekeweka ni nani?
Nani alimweka Mdee bungeni, ni nani????
Kenge wewe
Mipaka imefungwa kwa mizengwe ya Wakenya hawataki Watanzania waakauze mahindi Kenya, wanataka waje wao wenyewe waende kununuwa mashambani kwa bei wanayoitaka wao.Bashe fungua mipaka
Bashe wewe ni jembe.
Mama amekupa rungu ili wakulima wapate pesa.
Hii nini sasaView attachment 2656339
Hayati alikuwa nabii,wameanza kukubali taratibuBashe fungua mipaka
Bashe wewe ni jembe.
Mama amekupa rungu ili wakulima wapate pesa.
Hii nini sasaView attachment 2656339
Mwambie mama yako Samia,sio sisiMazao Sio Mali ya serikali wakulima wauze popote watakapo pata faida
Kama unaona bei ya mazao ni kubwa kwa sababu wakulima walipewa ruhusa ya kuuza nje, basi nawe nenda kalime ili uuze ndani ya nchi.Bashe fungua mipaka
Bashe wewe ni jembe.
Mama amekupa rungu ili wakulima wapate pesa.
Hii nini sasaView attachment 2656339
Sawa lakini mipaka ipo waziBashe fungua mipaka
Bashe wewe ni jembe.
Mama amekupa rungu ili wakulima wapate pesa.
Hii nini sasaView attachment 2656339
Mkuu ukipita hapa Mungu ameondoa kauli kwenye midomo ya watawala na hapa Mungu anaratibu anguko la CCM...Bashe fungua mipaka
Bashe wewe ni jembe.
Mama amekupa rungu ili wakulima wapate pesa.
Hii nini sasaView attachment 2656339
Alikuachia vichanga wangapi una hasira kama mama mjamzitoutala
utalamba wewe mpaka mavi ya yule mfu wenu siyo watu wenye akili. Na kule kusini aliwafanyaje au kwasababu wale siyo wasukuma. Mama hajazuia mtu kuuza chakula amewashauri kuweka akiba ya kutosha ya chakula au waiuzie serikali ili ije kuwauzia kwa bei nafuu. Tunajua mnawashwa sana na mizimu ya yule mshamba wenu
Pumbavu wewe na wewe si ukalime ili uwauzie Bei rahisi? Unayejamba hapa hujui production cost na risks wanazokutana nazo wakulima.Wewe unaanika nyeti zako kijiweniwachache
Akhsante ndugu yanguchakula
Bashe fungua mipaka. Bashe wewe ni jembe. Mama amekupa rungu ili wakulima wapate pesa.
Hii nini sasa?
View attachment 2656339
====
Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ameshiriki Tamasha la Utamaduni la Bulabo Mkoani Mwanza leo June 13,2023 ambapo moja ya mambo aliyoyasema kwenye hotuba yake ni kuwaomba Wakulima kuhifadhi chakula na kutouza nje.
"Ndani ya Taifa let sasa akiba ya chakula ipo kama Tani laki 2 hadi laki 2 na Elfu 50 kwa kuanzia mwaka huu mavuno yaliyoanza tunakwenda kumwaga fedha kununua chakula, tunataka kuwa na hifadhi ya chakula Tani laki 5 kwa mwaka huu tunaoanzia, Nchi yetu iwe na Tani laki 5 tutakazohifadhi kwenye maghala yetu, nimeshampa kibali Waziri wa Kilimo a Waziri wa Fedha atoe fedha tuanze kununua mazao sasa"
"Niwaombe sana Wakulima mazao tusivushe kwenda nje tusubiri Wizara inakuja kununua mazao ili tuweke kwenye hifadhi, naziomba Familia zote za Wakulima waweke chakula cha kutosha kwa ajili yao, nitoe wito kwa Wakulima kutunza chakula cha kutosha, kuweka akiba ya chakula kwa matumizi va Familia na tusiuze chakula nie kibakie ndani kwa matumizi yetu, litakapokuja suala la uhaba wa chakula Tanzania tuwe tume iweka vizuri hauna shida ya chakula"
"Narudia tena tukumbuke kuweka akiba ya chakula, najua Ndugu zanguwa kisukuma mavuno hava tukishauza na bei zipo nzuri sasa wakina Baba tutakimbilia kuongeza nyumba za pili, mwenye mbili anakwenda ya tatu, si vibaya hatuna wivu hatukatai lakini mnapokumbuka kuongeza nyumba mkumbuke kuongeza a mashamba ili tuvune zaidi tuongeze chakula zaidi"
Chanzo: Millard Ayo
Atuambie na bei yake ya kununulia. Serikali haina tabia ya kununua mazao ya wakulima kwa bei ya kuridhisha.Bashe fungua mipaka. Bashe wewe ni jembe. Mama amekupa rungu ili wakulima wapate pesa.