Dokta Uchwara
JF-Expert Member
- Apr 29, 2022
- 1,370
- 3,152
Sikiliza hii we nyumbu wa machanjo StuxnetAliyechanja hatoruhusiwa kufanya Blood Donation. Haruhusiwi kuchangia Damu.
Jiulize wameweka nn ndani ya miili ya watu.
Watawala msipokuwa na huruma na waliowachagua,
Adhabu Kutoka Kwa Mungu inawahusu. Amen
Hatujafika hiyo 70% ambayo target yake ni desemba
Mkuu achana na mataahira. Mtoa mada ni mojawapo ya mataahira.Hata huko zinapotoka Kuna mamilion ya watu wamezigomea chanjo. Nick minaj ni mmoja wa star mkubwa kuzigomea chanjo
Hao nao walimsikiliza Magufuli?
Mle mlikuwa hamna Rais Wallah tena ! Ashukuriwe sana MunguHayati Magufuli kwa ushamba wake na kukosa exposure alijikuta anachafua hali ya hewa kuhusu chanjo. Alikuwa na imani duni kuhusu masuala ya chanjo.
Hali hiyo imechangia sana wananchi wamekuwa wakipuuza chanjo kwa imani potofu. Wananchi wengi wanaamini chanjo ni mpango wa kibeberu kuwaangamiza waafrika.
Serikali ya mama ina kazi ya kufanya kuondoa sumu aliyotia Magufuli
Unachanja au huchanji?The target is futile AB INITIO.
Unaelewa maana ya FUTILE we nyumbu wa machanjo?
Magufuli hakustahili kuwa Rais wa Tanzania, na hili Mungu anajuwa na ndiyo maana katusaidia kumpeleka kuzimu pale Machi 17, 2021nimeandika haya kwa sababu kuna jamii imeanza kukataa kila chanjo. kuna chanjo mpaka zinaisha muda wake watu hawataki kuchanja. Hawa wanaopinga ndio akili kama za jiwe
Ni maoni yake tunayaheshimu.
Baada ya kupatikana KATIBA mpya 2026.Magufuli hakustahili kuwa Rais wa Tanzania, na hili Mungu anajuwa na ndiyo maana katusaidia kumpeleka kuzimu pale Machi 17, 2021
Njoo nikuchanje makalio.Unachanja au huchanji?
Jibu swali,unachanja au huchanji?Njoo nikuchanje makalio.
SICHANJI.Jibu swali,unachanja au huchanji?
Hawezi kutokea MWENDAWAZIMU mwingine kama Magufuli kwa Tanzania hii na kuwa Rais. Nawalaumu CC ya CCM maana TISS walishakuwa na faili lake la UKICHAA mwaka 2015Baada ya kupatikana KATIBA mpya 2026.
Anarudi kiongozi mwenye maono aina ya Magufuli. Amen
Mtu yeyote mwenye akili na ufahamu hawezi kuwaweka kwenye risk watu wake kwa majaribio ya chanjo...chanjo ya ukimwi process yake imechukua zaidi ya miaka 10 na bado haijapitishwa kikamilifu...Ni ajabu mpaka sasa kuna watanzania wanapuuza hatua zilizochukuliwa na Tanzania kupambana na covid. ...usione bado watu wanavaa barakoa ni sababu tu ya ule msaada!!Hayati Magufuli kwa ushamba wake na kukosa exposure alijikuta anachafua hali ya hewa kuhusu chanjo. Alikuwa na imani duni kuhusu masuala ya chanjo.
Hali hiyo imechangia sana wananchi wamekuwa wakipuuza chanjo kwa imani potofu. Wananchi wengi wanaamini chanjo ni mpango wa kibeberu kuwaangamiza waafrika.
Serikali ya mama ina kazi ya kufanya kuondoa sumu aliyotia Magufuli
Nyie ndio wale mliokuwa mnazimia na mifuko ya sangara mkononi ?Ni maoni yake tunayaheshimu.
Bt Watanzania wengi Magufuli alituepusha na balaa la CHANJO.
Kila mwanadamu ana MAZURI na mabaya yake.
Uncle amefanya mengi MAZURI kuliko mabaya. TUTAMKUMBUKA.
Amen
Hawezi kutokea MWENDAWAZIMU mwingine kama Magufuli kwa Tanzania hii na kuwa Rais. Nawalaumu CC ya CCM maana TISS
Atakuwa mwenye kaliba ya Magufuli bt hatotumia nguvu sana kudeal na wabadhilifu.Hawezi kutokea MWENDAWAZIMU mwingine kama Magufuli kwa Tanzania hii na kuwa Rais. Nawalaumu CC ya CCM maana TISS walishakuwa na faili lake la UKICHAA mwaka 2015
Uufyate hivyo hivyo kama gwajima,wanaochanja msiwabughudhi ila siku itafika mtachanja Kwa lazima.SICHANJI.
wanaochanja msiwabughudhi
Kama nyie tumbili mnaohangaika humu mitandaoni kupotosha.Kuna mtu amewashika makalio?