#COVID19 Hayati Magufuli alitia sumu masuala ya chanjo, Serikali nywesheni maziwa

Hayati Magufuli kwa ushamba wake na kukosa exposure alijikuta anachafua hali ya hewa kuhusu chanjo. Alikuwa na imani duni kuhusu masuala ya chanjo.

Hali hiyo imechangia sana wananchi wamekuwa wakipuuza chanjo kwa imani potofu. Wananchi wengi wanaamini chanjo ni mpango wa kibeberu kuwaangamiza waafrika.

Serikali ya mama ina kazi ya kufanya kuondoa sumu aliyotia Magufuli

Wewe fyatu kidogo sio bure.
Ivi hujasikia serikali imesema chanjo ni hiyari.
 
Labda hujanipata ipasavyo.

Narudia tena kwa herufi kubwa:

CHANJO ZA CORONA NI UCHAFU WENYE SUMU.

Kwa tafsiri ya kizungu ninamaanisha hivi:

CORONA VACCINES ARE TOXIC RUBBISH.

Kwa kikerewe:

ICHANJO YA CORONA IS TOXIC GARBAGE.
Hayo majitu yanajitoa akili kwa kuuliza maswali ya kipumbavu, wewe unaongelea chanjo ya korona yeye anaongelea chancho zingine.
 
Hawezi kutokea MWENDAWAZIMU mwingine kama Magufuli kwa Tanzania hii na kuwa Rais. Nawalaumu CC ya CCM maana TISS walishakuwa na faili lake la UKICHAA mwaka 2015
AJAYE,Hatotumia nguvu sana kama uncle kuongoza.

Katiba mpya itakuja na mifumo mizuri itakayoendana na Maono ya nchi.

Amen.
 
Nyie ndio wale mliokuwa mnazimia na mifuko ya sangara mkononi ?

View attachment 2284585
CDM kwenye msimamo juu ya CORONA mlitepeta.

Mbowe alidai WATANZANIA wote wadungwe CHANJO Kwa LAZIMA. Pia alidai tupigwe LOCKDOWN.

Tuweke mbali siasa, tuseme Kweli.

Ivi unajua MAGU aliokoa kudidimia Uchumi wa watu wa kipato Cha chini Kwa kiwango Gani Kwa kuzuia lockdown?

Yule mtu HATOSAHAULIKA. Amen
 
Ni uchumi upi ambao haukudidimia ?
 
Hayati Magufuli kwa ushamba wake na kukosa exposure alijikuta anachafua hali ya hewa kuhusu chanjo. Alikuwa na imani duni kuhusu masuala ya chanjo.

Hali hiyo imechangia sana wananchi wamekuwa wakipuuza chanjo kwa imani potofu. Wananchi wengi wanaamini chanjo ni mpango wa kibeberu kuwaangamiza waafrika.

Serikali ya mama ina kazi ya kufanya kuondoa sumu aliyotia Magufuli
Binafsi ni shahidi ..mwaka huu serikali ilizindua chanjo ya Polio kwa watoto chini ya miaka , serikali wali amua kuipeleka huduma hii mtaani kwa siku 4, aisee ilikuwa ni shida unakutana na mtu mzima mwanamama ana mtoto chini ya 5 lkn ana kataa mtoto wake kupewa chanjo ..aisee kuanzia pale nika amini ya kuwa maneno ni sikaha na ni sumu sanaa
 
This is serious case mkuu. Hali ipo hivyo
 
Yes mm nilishuhudia ilo.. tena imagine ilikuwa hapa hapa Dsm ...je huko maeneo ya ndani ndani hali ilikuwaje ? Na.mbaya zaid tayari nchi jirani ya Malawi au Zambia kama sijakosea walisha ripoti kisa cha mlipuko
 
Hayati Magufuli kwa ushamba wake na kukosa exposure alijikuta anachafua hali ya hewa kuhusu chanjo. Alikuwa na imani duni kuhusu masuala ya chanjo.

Hali hiyo imechangia sana wananchi wamekuwa wakipuuza chanjo kwa imani potofu. Wananchi wengi wanaamini chanjo ni mpango wa kibeberu kuwaangamiza waafrika.

Serikali ya mama ina kazi ya kufanya kuondoa sumu aliyotia Magufuli
Cheki ushuzi huyu pumbav huyu kibaraka!!
duara zenu huwa zinawasha msipomzungumzia Magu
 
Alikuwa mshamba sana. Chanjo za surua, pepopunda, ndui n.k tumechanjwa hao wazungu walishindwa kuweka hizo sumu zao?
Madawa karibu yote tunaagiza nje, kwa nini wasiweke hizo sumu? Nguo pia?

vyakula, mfano ngano , mafuta, kumbe inatoka Ukraine, si wangeweka hizo sumu?

Ila ana wafuasi wengi waliomuamini,
Haishangazi watu wa aina hiyo kuwa na wafuasi wengi nchini, ukichukulia kuwa kuna mapumbavu milion 20 na mataahira karibia million 22.
 
Kwa nini hizo chapa wasiziweke kwenye dawa za Ukimwi tunazotumia zaidi?
Unajaribu reason kutumia akili Yako kushughulika na mambo YASIYOONEKANA!!!!

Ukitumia njia hiyo pekee utajichosha Bure.

Anyway ni Ombi langu Mungu akupe "MACHO" ya Roho uone clear.

Mambo yote uyaonayo huanzia Rohoni kabla ya Kutokea Ulimwengu huu. Amen
 
Back
Top Bottom