Kifurukutu
JF-Expert Member
- Aug 29, 2013
- 4,700
- 6,825
Katiba Mpya....hili tu linatosha kumuyumbisha madam....kama atalikwepa kina Warioba wapo hai ujueHakuna upinzani tena...at least kwa muda wote ataotawala Mama Samia.
Bogeyman wa upinzani hayupo tena.
Huyu mama hawawezi kumsema vibaya.
Wakimsema vibaya, wataambiwa wanamsema vibaya kwa vile ni mwanamke.
Hawana jinsi tena. Ni kuunga juhudi tu sasa.
Katiba Mpya....hili tu linatosha kumuyumbisha madam. Kama atalikwepa. Kina Warioba wapo hai ujueHakuna upinzani tena...at least kwa muda wote ataotawala Mama Samia.
Bogeyman wa upinzani hayupo tena.
Huyu mama hawawezi kumsema vibaya.
Wakimsema vibaya, wataambiwa wanamsema vibaya kwa vile ni mwanamke.
Hawana jinsi tena. Ni kuunga juhudi tu sasa.
Kama ataongoza vizuri, why not! Upinzani unakuwepo pale ambapo hukubaliani na anachofanya. Of course hawezi kuwa perfect kwa kila jambo lakini kama akijitahidi kuyafanyia marekebisho mapungufu yaliyokuwa yanasemwa kila mtu ataridhika na wapinzani wanaweza kujiunga kwenye serikali yake kumsaidia kama ataona kuna umuhimu.Hakuna upinzani tena...at least kwa muda wote ataotawala Mama Samia.
Bogeyman wa upinzani hayupo tena.
Huyu mama hawawezi kumsema vibaya.
Wakimsema vibaya, wataambiwa wanamsema vibaya kwa vile ni mwanamke.
Hawana jinsi tena. Ni kuunga juhudi tu sasa.
Mkuu upinzani siku zote huwa mkali pale ambapo kiongozi anakwenda kinyume na matarajio ya jamii anayoingoza. Kama atajitahidi kufanya vizuri mbona hatakuwa na upinzani? Ndiyo maana tulikuwa tunapiga kelele kipindi cha Magufuli kuwa asiue upinzani kwa kuunyima demokrasia kwani hatafaulu bali aue upinzani kwa kuongoza vizuri kulingana na matakwa ya watu.Turuhusiwe kufanya Siasa za Majukwaani ili Mama atawale kwa Amani
Mchakato wa Katiba Mpya uanze kama mtatuona tukimsimanga