Haiku
JF-Expert Member
- Mar 31, 2018
- 2,941
- 2,088
👊👊Upinzani wa nje ni rahisi sana kuliko wa ndani.
👊👊Upinzani wa nje ni rahisi sana kuliko wa ndani.
Yaani wanasaccos mtakuwa tayari mwenyekiti wenu akose ruzuku? Sidhani Kama atakubali.Hata mimi kama huyu mama hataua watu ,hatafunga watanzania,atatenda HAKI ,atawaachilia huru wanasiasa kufanya siasa zao kwa uhuru, hataiba kura za kuifanya ccm ishinde uchaguzi kwa hila nasema na huo UPINZANI kama unakufa acha UFE tuu.
Andika kilugha tu, kuna mtu atatutafsiria...Kwa nini kua muhongo,,Kama haupo vujeni bunge twende majimboni, acheni siasa za Maghufuli, fanyeni siasa Sasa, why mnajitoa ufaham wakati nyakati zilisha badilika?
Hahaaaaa! Walewale wakalimani wa Dodoma?!Andika kilugha tu, kuna mtu atatutafsiria...
Dhana halisi ya upinzani si chama, bali ni mawazo tofauti, kinaweza kikafa chama cha upinzani lakini mawazo kinzani hayafi.
Kufa kwa chama haimaanishi sasa watu wote wanakipenda au wataunga mkono chama tawala.
Wapinzani walikuwepo hata enzi ya chama kimmoja maana wapo waliopinga chama tawala na fikra za mwenyekiti, sembuse leo hii?? tena upinzani ulizaliwa toka kwenye chama tawala maana wapinzani wengi kama si wore walikuwa wafuasi wa chama tawala.
Yatosha kusema, upinzani halisi haufi, vitakufa vyama tu, upinzani upo mioyoni na fikrani mwa watu...
Wewe sijui umevimbiwa maharage ya wapi?Jiwe angeua upinzani asinge tumia dola kupora Kura mchana kweupe,kwenye uchaguzi uliopita!Tangu 2015 JPM alipoingia madarakani, kubwa zaidi alifanikiwa ni kuua upinzani na CCM ilipata kutamba kweli kweli pasi na kupingwa na chama chochote
Kwani kipindi Cha Jk kulikuwa na demokrasia lakini mbona alikumbana na upinzani mkubwa?Kwa siasa za Tanzania ,upinzani unakuwepo pale mtawala anapofanya mambo yanayopingana na Katiba! Mfano ni pale nyama vinapozuiwa kufanya shuhuri zake halali za kisiasa. Kama Rais Samia atatawala kwa sheria na sio kwa mabavu ,utawala wake hautapata misukosuko isiyo ya lazima.
Anaweza kuwapoza wapinzani kwa kuwaalika kufuturu Ikulu basi, kwani nao watajiona wanaheshimiwa!!! Kikwete walikuwa anawakata ngebe zao kwa kuwapa juisi Ikulu!!!
Mnapenda kauli za upole mbona hamumpingi huyo mbwatukaji wenu Lissu kwa kuropoka ovyo? Mwambieni huyo nae awe na kauli za upole siyo mkibwatuka nyie iwe sawa halafu wengine wawe wapole.How? This is general statement can you substantiate please?
Asante sana.
Hizi ni zama za ustaarabu ni mwendo wa "Naomba" then "ukishindwa utuambie tukusaidie" yaani very polite but FIRM.
Atuachie huru tufanye siasa,uhuru wa vyombo vya habari, Haki, uchaguzi huru, akomeshe mauaji ya wanaompinga na wapinzani. Wallahi nahamia CCM. Tuko hapaYaani wanasaccos mtakuwa tayari mwenyekiti wenu akose ruzuku? Sidhani Kama atakubali.
Mzee hebu vaa ndala kwanza, mbona upo juu juu?Mnapenda kauli za upole mbona hamumpingi huyo mbwatukaji wenu Lissu kwa kuropoka ovyo? Mwambieni huyo nae awe na kauli za upole siyo mkibwatuka nyie iwe sawa halafu wengine wawe wapole.
Kwani kipindi Cha Jk kulikuwa na demokrasia lakini mbona alikumbana na upinzani mkubwa?
Mimi silipendi chama lake tu,kuhusu yeye sijui sina harakaWewe unampenda?