Hayati Magufuli aliua upinzani, Rais Samia Suluhu ameuzika rasmi

Hayati Magufuli aliua upinzani, Rais Samia Suluhu ameuzika rasmi

Kama ataongoza vizuri, why not! Upinzani unakuwepo pale ambapo hukubaliani na anachofanya. Of course hawezi kuwa perfect kwa kila jambo lakini kama akijitahidi kuyafanyia marekebisho mapungufu yaliyokuwa yanasemwa kila mtu ataridhika na wapinzani wanaweza kujiunga kwenye serikali yake kumsaidia kama ataona kuna umuhimu.
Hakuna lolote.

CCM ni ileile. Ilani yao ni ileile.

Katiba nayo bado ni ileile.

Binafsi sitegemei awe tofauti sana.

I’m managing my expectations.
 
Upinzani upo tena huu wasasa utakuwa mbaya sana maana utagusa makundi yatakayokuwa yanapigania maslahi ya kisiasa ndani ya CCM.

Wapo wale aliowateuwa JPM kushika nafasi mbalimbali kwa sababu ya ukanda/ukabila.

Wapo chawa waliopata ubunge kwasababu ya nguvu ya JPM(refer babu tale, mwanafa & the likes).

Wapo chawa na wapambe wa JK(hawa wanataka kurudi kwenye system kwa gharama yoyote).

Wapo chawa na wapambe wa Lowassa(nasikia hawa hawajakubali kushindwa).

Yapo makundi mapya ndani ya CCM yatakayoibuka kipindi hiki cha utawala wa mama Samia ili kujipendekeza.
 
Upinzani ni falsafa yenye mtizamo ya kutofautiana, kupingana au kushindana na yule anayetawala kwa muda huo.

Upinzani ulikuwepo, upo na utaendelea kuwepo milele kadri maisha na watu wanavyoendelea kuwepo. Ukitaka kuua upinzani kwenye jamii basi ondoa maisha na ondoa watu wasiwepo mahali ulipo.

Tanzania kikatiba ipo kwenye mfumo wa siasa za vyama vingi, hivyo upinzani ni suala la lazima kikatiba. Upende au usipende upinzani utaendelea kuwepo. Kama yalivyo maji na maisha ya mwanadamu, huwezi kuyakwepa.
Wanadhani upinzani ni CHADEMA na ACT

Akili za kijuha

Sent from my TECNO P703 using JamiiForums mobile app
 
Hakuna lolote.

CCM ni ileile. Ilani yao ni ileile.

Katiba nayo bado ni ileile.

Binafsi sitegemei awe tofauti sana.

I’m managing my expectations.
Akiendelea na business as usual upinzani hauwezi kufa. Magufuli alisema ataua upinzani amekufa yeye. Japo aliodhoofisha sana lakini ''aliulaza kitandani'' tu siyo kuuzika.
 
Huyu baba tuliyemzika juzi alikuwa muoga sana wa upinzani! Alitumia nguvu kubwa kinyume na katika kutaka kuua upinzani! Mungu kamchukua yeye kaucha upinzani upo hai! Tangu akiwa mbunge alijitahidi kununua wapinzani wake ili apite bila kupingwa!
 
Akiendelea na business as usual upinzani hauwezi kufa. Magufuli alisema ataua upinzani amekufa yeye. Japo aliodhoofisha sana lakini ''aliulaza kitandani'' tu siyo kuuzika.
Kufa kwa upinzani haimaanishi vyama visiwepo kabisa.

Kufa kisiasa ni kukosa mvuto.

Hebu nambie, huyu mama watakabiliana naye kivipi?
 
Upinzani ni kama imani hauonekani usoni bali upo moyoni kama uliamini upinzani ulikufa au umekufa pole sana!
 
Hata mimi kama huyu mama hataua watu , hatafunga Watanzania, atatenda HAKI , atawaachilia huru wanasiasa kufanya siasa zao kwa uhuru, hataiba kura za kuifanya CCM ishinde uchaguzi kwa hila nasema na huo UPINZANI kama unakufa acha UFE tuu.
 
Hakuna upinzani tena...at least kwa muda wote ataotawala Mama Samia.

Bogeyman wa upinzani hayupo tena.

Huyu mama hawawezi kumsema vibaya.

Wakimsema vibaya, wataambiwa wanamsema vibaya kwa vile ni mwanamke.

Hawana jinsi tena. Ni kuunga juhudi tu sasa.
Wewe humpendi huyu mama unachochea wapinzani waanze kumponda mama wa watu bila kosa lolote.
 
How? This is general statement can you substantiate please?

Asante sana.

Hizi ni zama za ustaarabu ni mwendo wa "Naomba" then "ukishindwa utuambie tukusaidie" yaani very polite but FIRM.
 
upinzani upo tena huu wasasa utakuwa mbaya sana maana utagusa makundi yatakayokuwa yanapigania maslahi ya kisiasa ndani ya ccm.

wapo wale aliowateuwa jpm kushika nafasi mbalimbali kwa sababu ya ukanda/ukabila.

wapo chawa waliopata ubunge kwasababu ya nguvu ya jpm(refer babu tale, mwanafa & the likes).

wapo chawa na wapambe wa JK(hawa wanataka kurudi kwenye system kwa gharama yoyote).

wapo chawa na wapambe wa lowassa(nasikia hawa hawajakubali kushindwa).

yapo makundi mapya ndani ya ccm yatakayoibuka kipindi hiki cha utawala wa mama samia ili kujipendekeza.
Upinzani ulioko CCM ni dhaifu zaidi kuliko ulioko nje kwa sababu wa CCM ni wa kimaslahi ila wa nje ni wa kifalsafa.

Magufuli alifanikiwa kuua upinzani ndani ya CCM kwa kuwaahidi vyeo tu na kauli za sitawaangusha na wote walikaa kimya hoping for a better tomorrow wakati wa nje uliendelea kuchipua na kuimarika kwa nguvu ya ajabu.

Watu wanapima kupendwa kwa Magufuli kwa kutumia msiba wake mnasahau kuwa kwenye uchaguzi mkuu 2020 alikuwa na hali mbaya kuliko hata kipindi cha Lowassa 2015.

Hata Samia ni rahisi kuwadhibiti wanaccm kuliko wapinzani wa nje ya CCM.

Kwanza wanasiasa waliopo ndani ya CCM sasa hivi hawana mvuto kwa wananchi hivyo hawana nguvu yoyote beyond makundi ya vijana njaa wa UVCCM.

Mwanasiasa dhaifu kama Mwigulu Nchemba ana nguvu gani nje ya CCM inayoweza mtingisha Mama Samia?
 
How? This is general statement can you substantiate please?

Asante sana.

Hizi ni zama za ustaarabu ni mwendo wa "Naomba" then "ukishindwa utuambie tukusaidie" yaani very polite but FIRM.
Hiki kinge ulinilipia ada?
 
Hakuna upinzani tena...at least kwa muda wote ataotawala Mama Samia.

Bogeyman wa upinzani hayupo tena.

Huyu mama hawawezi kumsema vibaya.

Wakimsema vibaya, wataambiwa wanamsema vibaya kwa vile ni mwanamke.

Hawana jinsi tena. Ni kuunga juhudi tu sasa.

Wapinzani wako kwa ile hali “ukimeza nchale,ukitema nchale” hapa wapo ambao wakimsema vibaya JPM wanapewa za uso,wakimu attack Mama,tu nawaambia wanamuonea kwakuwa ni Mwanamke, tunachagiza na ile tabia yao ya Ukaskazini hasa kwa hao wanaojiita Chama kikuuu cha upinzani, kwisha habari yao,acha nisip my Glass of Wine hapa Mlashi Bar Bariadi nikiwachora tu
 
Hakuna upinzani tena...at least kwa muda wote ataotawala Mama Samia.

Bogeyman wa upinzani hayupo tena.

Huyu mama hawawezi kumsema vibaya.

Wakimsema vibaya, wataambiwa wanamsema vibaya kwa vile ni mwanamke.

Hawana jinsi tena. Ni kuunga mkono juhudi tu sasa.
Alitumia njia gani kuuwa upinzani ?? Alitumie udhaifu wa Tume?
 
Aliua upinzani au alidhani ataua upinzani lakini akafa yeye?

Lakini kitu kimoja kaacha kwa uhakika, nyie kina Mushi kamwe hamtokaa mtawale hii Nchi, wala hamtokaa tena kukalia ile Wizara ya Fedha, endeleeni kuneng’eneka hapa mtandaoni ila habari ndiyo hiyo.
 
Back
Top Bottom