alitumia njia gani kuuwa upinzani ?? Alitumie udhaifu wa Tume?
Wakati anaua upinzani unafikiri alikuwa anafanya hivyo akijua ataishi milele???Aliua upinzani au alidhani ataua upinzani lakini akafa yeye?
Hakuna upinzani tena...at least kwa muda wote ataotawala Mama Samia.
Bogeyman wa upinzani hayupo tena.
Huyu mama hawawezi kumsema vibaya.
Wakimsema vibaya, wataambiwa wanamsema vibaya kwa vile ni mwanamke.
Hawana jinsi tena. Ni kuunga mkono juhudi tu sasa.
serious??Mkuu upinzani siku zote huwa mkali pale ambapo kiongozi anakwenda kinyume na matarajio ya jamii anayoingoza. Kama atajitahidi kufanya vizuri mbona hatakuwa na upinzani? Ndiyo maana tulikuwa tunapiga kelele kipindi cha Magufuli kuwa asiue upinzani kwa kuunyima demokrasia kwani hatafaulu bali aue upinzani kwa kuongoza vizuri kulingana na matakwa ya watu.
Umefaidika nini sasa kwa upinzani kufa?, nyie ni wanafiki tu ,mnachojua ni kusifia hata ujinga.wakati anaua upinzani unafikiri alikuwa anafanya hivyo akijua ataishi milele???
Trust me, effect ya JPM kwa upinzani inaenda mpaka 2035, utamtaja sana tu JPM
Unaona saa hizi chuki zenu kwa JPM, zimefanya mumpende SAMIA?? samia si yuko CCM? unafikiri uko aliko JPM si ana smile????
JPM kaacha bunge la CCM, binafsi siipendi Tanzania ya chama kimoja.Ila kwa akili zenu hizo, acha alivyofanya imekuwa sawa tu. CCM kama chama pekee tawala bungeni , wataendelea hivyo mpaka 2030 na mama samia huyu.
kwa nini mmenasika kirahisi wakati ulikuwa mud wa kupeleka demands zenu kwa RAIS??
Hakuna upinzani tena...at least kwa muda wote ataotawala Mama Samia.
Bogeyman wa upinzani hayupo tena.
Huyu mama hawawezi kumsema vibaya.
Wakimsema vibaya, wataambiwa wanamsema vibaya kwa vile ni mwanamke.
Hawana jinsi tena. Ni kuunga mkono juhudi tu sasa.
Wewe unampenda?Wewe humpendi huyu mama unachochea wapinzani waanze kumponda mama wa watu bila kosa lolote.
Ha haha haaaAliua upinzani au alidhani ataua upinzani lakini akafa yeye?
Mkuu upinzani siku zote huwa mkali pale ambapo kiongozi anakwenda kinyume na matarajio ya jamii anayoingoza. Kama atajitahidi kufanya vizuri mbona hatakuwa na upinzani? Ndiyo maana tulikuwa tunapiga kelele kipindi cha Magufuli kuwa asiue upinzani kwa kuunyima demokrasia kwani hatafaulu bali aue upinzani kwa kuongoza vizuri kulingana na matakwa ya watu.