Hayati Magufuli aliua upinzani, Rais Samia Suluhu ameuzika rasmi

Hayati Magufuli aliua upinzani, Rais Samia Suluhu ameuzika rasmi

Yeye kafa kauacha upinzani. Upinzani hawezi kufa kamwe, unaweza kudhoofisha vyama vya upinzani ila huwezi kuudhoofisha. Angalia sasa kuna watu walikuwa karibu sana na yeye wameanza kuonyesha kwamba walikuwa wapinzani wake
Acha uzushi eti walikuwa karibu nae Sasa wanaonesha kumpinga, Nani hao ebu wataje tuone akili zako unazo au umemwachia Lissu.
 
Mama Samia kauzika upinzani kama Magufuli alivyozikwa juzi?
 
serious??

Upinzania hauna alternative ya kutatua matatizo ya watanzania, njia ya CCM ndio itakuwa pekee sahihi?

likely umeonyesha direct maana ya upinzani kwa mawazo potofu kabisa
What alternative are you talking about sir/madam? My input was simple one: Lengo kuu la vyama vya siasa siyo kuongoza/kushika madaraka ya nchi bali ni kumletea mwananchi na nchi maisha bora na maendeleo. Kushika madaraka ni means tu ya ku-achieve lengo hilo. Sasa kama CCM (tuna assume) ikifanya vizuri na lengo likitimia upinzani utakuwa na justification gani tena ya kutaka kushika madaraka? NB: Najua wewe ni mwanasiasa na utabisha sana kwani ulishaaminishwa lengo la chama chochote ni kuongoza serikali!
 
Badala ya kuwaza mambo ya maendeleo munawaza ujinga!

Kazi ya Rais ni kuua upinzani?

Ukiona Rais anahangaika kuua upinzani ujue kazi imemshinda. Anataka kuendesha nchi kama kampuni yake bila wa kumhoji.
 
Lakini kitu kimoja kaacha kwa uhakika,nyie kina Mushi kamwe hamtokaa mtawale hii Nchi,wala hamtokaa tena kukalia ile Wizara ya Fedha, endeleeni kuneng’eneka hapa mtandaoni ila habari ndiyo hiyo.
Je,nguli wa mambo ya fedha Dr Kimei akipewa uwaziri wa fedha utahama nchi? Acha mambo ya ukabila,hapa hatutambiki!
 
Kwa shari au kwa kheri yeyote anayeshirikiana na wanaojaribu kuinyonya Tanzania lazima wapotezwe awe mtu mmojamoja, chama cha siasa, ngo au shirika. wote kaburi lao ni moja
Hatutarudi nyuma hata risasi 200 utapigwa
Mwasisi wa siasa za kutekana na kupigana risasi ametangulia mbele za haki hivyo umebaki yatima. Hata pole hatukupi kwa kuwa hustahili.
 
Kama ataongoza vizuri, why not! Upinzani unakuwepo pale ambapo hukubaliani na anachofanya. Of course hawezi kuwa perfect kwa kila jambo lakini kama akijitahidi kuyafanyia marekebisho mapungufu yaliyokuwa yanasemwa kila mtu ataridhika na wapinzani wanaweza kujiunga kwenye serikali yake kumsaidia kama ataona kuna umuhimu.
Wapinzani hivyo, taja Rais aliyeongoza vizuri mkakubaliana nae, Nyerere?, Mwinyi?, Mkapa?, Kikwete?, Magufuli?
Acheni unyumbu kudandia kila hoja halafu mchana mnakubali usiku mnapinga hamueleweki.
 
Hakuna upinzani tena...at least kwa muda wote ataotawala Mama Samia.

Bogeyman wa upinzani hayupo tena.

Huyu mama hawawezi kumsema vibaya.

Wakimsema vibaya, wataambiwa wanamsema vibaya kwa vile ni mwanamke.

Hawana jinsi tena. Ni kuunga mkono juhudi tu sasa.
Kwanini kuwa muongo, Kama haupo vunjeni bunge twende majimboni, acheni siasa za Maghufuli, fanyeni siasa Sasa, why mnajitoa ufaham wakati nyakati zilisha badilika?
 
Aliua akafa yeye upinzani upo na huyu hajaua anatekeleza majukumu yake kwa mujibu wa katiba na sheria akijaribu kuuzika atazikwa yeye kwanza. Uongozi ni kufuata Katiba na sheria ukiivunja katiba unakufa kwakuwa ni laana kuvunja katiba ambayo uliapa huku umeshika kitabu kutakatifu. Usimzulie uchuro mama kwa ujinga wako
 
Semeni msemavyo sisi wapinzani wote wote wote tena wote kabisa tuna muunga mkono Mama 100% + 100% ata tuondolea ushamba wa kijinga kabisa wakutekana ! Note Mama hajawahi kuwa na roho mambaya roho ya kichawi roho ya kinafiki!
Screenshot_20210328_195127_com.android.gallery3d.jpg

Sisi kama nguvu ya umma tumuunga mkono ata ccm msipo muunga mkono na kura tutampigia sisi ni Watanzania wenye Roho na hofu ya kweli na Mungu!
Eti hajui kupinga kwa hoja mnajua kuteka tu ushamba wa kiwango cha lami!
Kwa akili yenu sijuwi mmelaaniwa nani aliwadanganya mkiteka na kuuwa ndio ndio mtama liza mijadala au mkiiba watu hawata sema?
 
Kafa yeye upinzani bado upo mioyoni mwa watanzania hata huyo mama akivurunda tutampinga tu
 
CCM mnafikiri mama wa kiislamu mwenye hofu ya Mungu mnadhani ataendelea atashiriki hiyo dhurma yenu ya haki?

Mambo yamebadikika - uchato sasaaaaa............."
 
UPUUZI MTUPU!!
Sijui wana hofu gani hawa vijana wa Lumumba sisi nguvu ya umma tunapo sema Mama ni Mama na tuta muunga mkono liwake juwa inyeshe mvua sijui kwanini hawa furahii au ndio wale waganga njaa alio sema jk
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Huku mtaani wameanza michango ya simenti na kokoto wamjengee sanamu[emoji125][emoji125][emoji125]
 
Back
Top Bottom