Kadhi Mkuu 1
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 23,114
- 29,434
Acha uzushi eti walikuwa karibu nae Sasa wanaonesha kumpinga, Nani hao ebu wataje tuone akili zako unazo au umemwachia Lissu.Yeye kafa kauacha upinzani. Upinzani hawezi kufa kamwe, unaweza kudhoofisha vyama vya upinzani ila huwezi kuudhoofisha. Angalia sasa kuna watu walikuwa karibu sana na yeye wameanza kuonyesha kwamba walikuwa wapinzani wake
What alternative are you talking about sir/madam? My input was simple one: Lengo kuu la vyama vya siasa siyo kuongoza/kushika madaraka ya nchi bali ni kumletea mwananchi na nchi maisha bora na maendeleo. Kushika madaraka ni means tu ya ku-achieve lengo hilo. Sasa kama CCM (tuna assume) ikifanya vizuri na lengo likitimia upinzani utakuwa na justification gani tena ya kutaka kushika madaraka? NB: Najua wewe ni mwanasiasa na utabisha sana kwani ulishaaminishwa lengo la chama chochote ni kuongoza serikali!serious??
Upinzania hauna alternative ya kutatua matatizo ya watanzania, njia ya CCM ndio itakuwa pekee sahihi?
likely umeonyesha direct maana ya upinzani kwa mawazo potofu kabisa
Je,nguli wa mambo ya fedha Dr Kimei akipewa uwaziri wa fedha utahama nchi? Acha mambo ya ukabila,hapa hatutambiki!Lakini kitu kimoja kaacha kwa uhakika,nyie kina Mushi kamwe hamtokaa mtawale hii Nchi,wala hamtokaa tena kukalia ile Wizara ya Fedha, endeleeni kuneng’eneka hapa mtandaoni ila habari ndiyo hiyo.
Mwasisi wa siasa za kutekana na kupigana risasi ametangulia mbele za haki hivyo umebaki yatima. Hata pole hatukupi kwa kuwa hustahili.Kwa shari au kwa kheri yeyote anayeshirikiana na wanaojaribu kuinyonya Tanzania lazima wapotezwe awe mtu mmojamoja, chama cha siasa, ngo au shirika. wote kaburi lao ni moja
Hatutarudi nyuma hata risasi 200 utapigwa
Wapinzani hivyo, taja Rais aliyeongoza vizuri mkakubaliana nae, Nyerere?, Mwinyi?, Mkapa?, Kikwete?, Magufuli?Kama ataongoza vizuri, why not! Upinzani unakuwepo pale ambapo hukubaliani na anachofanya. Of course hawezi kuwa perfect kwa kila jambo lakini kama akijitahidi kuyafanyia marekebisho mapungufu yaliyokuwa yanasemwa kila mtu ataridhika na wapinzani wanaweza kujiunga kwenye serikali yake kumsaidia kama ataona kuna umuhimu.
Kwanini kuwa muongo, Kama haupo vunjeni bunge twende majimboni, acheni siasa za Maghufuli, fanyeni siasa Sasa, why mnajitoa ufaham wakati nyakati zilisha badilika?Hakuna upinzani tena...at least kwa muda wote ataotawala Mama Samia.
Bogeyman wa upinzani hayupo tena.
Huyu mama hawawezi kumsema vibaya.
Wakimsema vibaya, wataambiwa wanamsema vibaya kwa vile ni mwanamke.
Hawana jinsi tena. Ni kuunga mkono juhudi tu sasa.
Hivi hata we mwenyewe unaelewa ulichokiandika kweli?Kwa nini kua muhongo,,Kama haupo vujeni bunge twende majimboni, acheni siasa za Maghufuli, fanyeni siasa Sasa, why mnajitoa ufaham wakati nyakati zilisha badilika?
Kwani nyumbu mnataka Nini zaidi ya pingapinga? Hamueleweki mnapinga Nini maana kila siku kudandia hoja za CCM.Mataga hamjui mnachokiongea wala mnachokitaka.
Basi so far sielewi basi mungu akakupunguzie kile umeandika, na imekua hua sibishani na watu wajifanyao smart kumbe bure kabisaHivi hata we mwenyewe unaelewa ulichokiandika kweli?
Sijui wana hofu gani hawa vijana wa Lumumba sisi nguvu ya umma tunapo sema Mama ni Mama na tuta muunga mkono liwake juwa inyeshe mvua sijui kwanini hawa furahii au ndio wale waganga njaa alio sema jkUPUUZI MTUPU!!
Mkuu umeona nani analalama?Acheni kulalamika wapinzani njooni na hoja za msingi tuwaelewe mnataka nini
Haya ni maneno ya kutiana mioyo!Upinzani sio chama
Upinzani ni imani
Upinzani ni itikadi
Upinzani ni mwongozo